Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 82
Wazo pia.Lipia deni mnachotaka kugawana walau akiondoka umemaliza deni.
Wazo pia.Lipia deni mnachotaka kugawana walau akiondoka umemaliza deni.
Nafikiri hili jambo ni muhimu likaenda mahakamni ili kuset precident...sheria huwa inazaliwa inakuwa na inakufa...so nenda mahakaman katoe hoja thibitisha kwamba pesa hizo ndizo zilizoleta hyo assent, lazma kutakuwa na consideration.Sheria ya ndoa ya mwaka 77 hailitambui deni kama Mali,
Sheria imejikita zaidi kwenye Asset na liability!
Madeni ni kama ni Jina la mtu hayarithiwi, wala kugawanyika, ukiondoka ondoka na madeni yako
Kuna kawaida watu wakitengana wanagawana mali walizochuma pamoja.
Sasa ikiwa mali zilikopwa na bado mtu anadaiwa ,je na deni pia ligawanywe?
NB:swala limefika mahakamani.
liability=deniSheria ya ndoa ya mwaka 77 hailitambui deni kama Mali,
Sheria imejikita zaidi kwenye Asset na liability!
Madeni ni kama ni Jina la mtu hayarithiwi, wala kugawanyika, ukiondoka ondoka na madeni yako
Kama sheria iko hivi na kama familia ina deni ambalo limepatikana kwa sababu ya kuhudumia familia wakati wa ndoa basi kuna umuhimu wa kuuza mali kabla ya kupeana talaka ili kulipia deni. KInachobaki ndiyi kigawanywe.Sheria ya ndoa ya mwaka 77 hailitambui deni kama Mali,
Sheria imejikita zaidi kwenye Asset na liability!
Madeni ni kama ni Jina la mtu hayarithiwi, wala kugawanyika, ukiondoka ondoka na madeni yako
Kwakweli mambo yamekalia kohoni, mwanamke anataka yugawane assets zote bila huruma.mali zinaanza kuhesabiwa baada ya kutoa madeni hivyo usihofu hilo deni linawahusu wote ni kupata tu msaada wa kisheria
tafuta ushauri wa mwanasheria ili mgawane na madeni kwa sababu yote yalipatikana wakati wa ndoaKwakweli mambo yamekalia kohoni, mwanamke anataka yugawane assets zote bila huruma.
Mkuu naona umeelezea kile ambacho sheria yetu ya ndoa haijasema.Sheria ya ndoa ya mwaka 77 hailitambui deni kama Mali,
Sheria imejikita zaidi kwenye Asset na liability!
Madeni ni kama ni Jina la mtu hayarithiwi, wala kugawanyika, ukiondoka ondoka na madeni yako
Samahani iyo namba 2 unadhibitishaje mchango wa mwenza kama alikuwa mama wa nyumbani tuMkuu naona umeelezea kile ambacho sheria yetu ya ndoa haijasema.
Ni hivi kupitia kifungu cha 114(2) cha Sheria ya ndoa sura ya 29, mahakama zimepewa mamlaka ya kugawanya mali za wanandoa baada ya ndoa kuvunjwa na mahakama.
Kwa mujibu wa kifungu hicho, mahakama inapogawa mali za wanandoa ambao ndoa yao imevunjwa lazima izingatie mambo yafuatayo;
1. Tamaduni za mahali ambako wahusika wanaishi.
2. Kiwango cha kila mmoja alivyochangia ktk upatikanaji wa mali hizo za ndoa.
3. DENI lolote ambalo liliingiwa wakati ndoa ipo na kwa manufaa ya wanandoa wote
4. Mahitaji ya watoto(kama wapo)
So kwenye situation ya mleta uzi, kwa vile swala liko mahakamani basi ahakikishe zamu yake kutoa ushahidi ikifika awasilishe ushahidi wa deni hilo ambalo liliingiwa kwa lengo la kupata mali za familia. Kama kuna nyaraka za kuthibitisha hilo deni, eg mkopo benki basi awasilishe.
Ktk utoaji wa hukumu, mahakama lazima itazingatia namna ambavyo hizo mali zilipatikana...na haki itatendeka kwa wote.
Authority!!that he has to go to the marriage reconciliation board, at that stage if it is a catholic marriage he has to prove that there was no consent when he contracted that marriage and that is the only reason to breach a catholic marriage, the priest (catholic priest) argues that consent is the only thing that validated the marriage so if he will prove contrary then he will be awarded
Kama ni mama wa nyumbani tu bado mchango wake upo ktk upatikanaji wa mali zilizopatikana wakati wa ndoa.Samahani iyo namba 2 unadhibitishaje mchango wa mwenza kama alikuwa mama wa nyumbani tu
Mkopo na yeye utamhusu, kibachofanyika wanacheki katika assets mlizonazo kama zinaweza kulipa mkopo, zitatumikabthen kinachobakia mnagawana!!Kuna kawaida watu wakitengana wanagawana mali walizochuma pamoja.
Sasa ikiwa mali zilikopwa na bado mtu anadaiwa ,je na deni pia ligawanywe?
NB:swala limefika mahakamani.
Wasilisha vielelezo vya hilo deni, vitakuokoa sana kwenye mgawanyo.Kuna kawaida watu wakitengana wanagawana mali walizochuma pamoja.
Sasa ikiwa mali zilikopwa na bado mtu anadaiwa ,je na deni pia ligawanywe?
NB:swala limefika mahakamani.
Ndoa zote huthibitishwa na Mamlaka za Nchi na si dini tuu.Hapa ndipo utajua ukristo ni dini ya ujanja ujanja tu si dini ya Mungu.
Haiwezekani suala la kidini lisuluhishwe na mambo ya kimahakama ambayo hayafuati misingi ya kidini.
Atafute kwanza ushaidi waa kueleweka. Hayo ni mapenzi na hata hao wanaotatua wanapitia katika mapenzi hayo hayo,Nashukuru Daisy,kaka ameondoka nyumbani kwake huu ni mwezi wa 3 sasa,ameamua aishi mwenyewe. Walifikia pabaya coz alishamjeruhi kaka mara kadhaa,alishamuwekea sumu kwenye chakula na sasa anampigia simu kumtishia kuwa atamfanyia kitu mbaya kama hatarudi nyumbani kuishi na yeye(mwanamke). Ngoja nimwambie aurudishe mchakato baraza la usuluhishi kata.