incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,229
- 3,525
Wakuu nilikuwa nauliza kuwa kunasheria ya kumshtaki mtu aliempa mwanachuo level ya certificate mimba?
Mwanachuo si mtu mzima huyo mkuu yaani 18+? Kama kapigwa mimba si kwa utashi wake kabisa na vyuo vingi vinaruhusu binti mwenye mimba kuendelea na masomo? Au alibakwa?Wakuu nilikuwa nauliza kuwa kunasheria ya kumshtaki mtu aliempa mwanachuo level ya certificate mimba?
Amezaliwa 1997 yupo above 18+ ila was was wangu nikajua nitafungwa maana baba yake anapesa ukilingajisha na maisha ya mimiMwanachuo si mtu mzima huyo mkuu yaani 18+? Kama kapigwa mimba si kwa utashi wake kabisa na vyuo vingi vinaruhusu binti mwenye mimba kuendelea na masomo? Au alibakwa?
Akiamua anakufunga.Amezaliwa 1997 yupo above 18+ ila was was wangu nikajua nitafungwa maana baba yake anapesa ukilingajisha na maisha ya mimi
Ni dada yako au mdogo ako nini?Wakuu nilikuwa nauliza kuwa kunasheria ya kumshtaki mtu aliempa mwanachuo level ya certificate mimba?
Dem wanguNi dada yako au mdogo ako nini?
MwalimuHuoo utakiwa uzembe wa mwarimu
Ivi 97 ni above 18 aiseee kumbe nazeeka sasaAmezaliwa 1997 yupo above 18+ ila was was wangu nikajua nitafungwa maana baba yake anapesa ukilingajisha na maisha ya mimi
Mzazi anayohaki ya kukushtaki kwa kumuharibia maisha mtoto wake. Huwezi kushindana na mwenye pesaAmezaliwa 1997 yupo above 18+ ila was was wangu nikajua nitafungwa maana baba yake anapesa ukilingajisha na maisha ya mimi
Kumbe uoga umeisha maana nilikuwa wenge najua nafka kwa pilatoHaitwi mwanafunzi wa chuo ! Anaitwa mwanachuo full stop !
Mwanafunzi ni msingi na sekondari.