Sheria ya kumpa mimba mwanafunzi wa chuo!

Wakuu nilikuwa nauliza kuwa kunasheria ya kumshtaki mtu aliempa mwanachuo level ya certificate mimba?
Mwanachuo si mtu mzima huyo mkuu yaani 18+? Kama kapigwa mimba si kwa utashi wake kabisa na vyuo vingi vinaruhusu binti mwenye mimba kuendelea na masomo? Au alibakwa?
 
Kama yupo above 18 na anasoma chuo hiyo siyo kesi. Huyo mshua anaweza tu kukutia jamba jamba lakini at the end of the day hakuna kesi hapo.
 
Haitwi mwanafunzi wa chuo ! Anaitwa mwanachuo full stop !
Mwanafunzi ni msingi na sekondari.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom