Sheria ya kukagua chumba cha hoteli inaniudhi

Kuna hoteli huwa napenda kushukia mara kwa mara ktk safari zangu za kikazi! Leo wameniudhi Sana ile katika Nakabidhi funguo, mhudumu anasema akakague chumnba kwanza! Sasa nafikiria wanafikiri nimewaibia nini! Taulo, Tv, au nini? yani wameniudhi! na sitaenda tena ktk hoteli Yao!! Wamiudhi!
duuh hatari sanaa hiii
 
Kwa halo ilivyo sasa uaminifu hakuna, nilishuhudia guest moja dada WA mapokezi alikuwa analalamika mteja wake aliyempangisha kaiba panga boi, nilipo amini siyo wateja wote wanakuja kwa Nia nzuri wengine Ni wezi wakishindwa kuwaibia wateja wanaishia kuiba vitu vya gesti, hivi ushawahi kujiuliza kwa nini kandambili nyingi za guest zimekatwa pembeni

Qwi qwi qwi... wazoefu wa guest houses utawajua tu
 
hakuna haja ya kukasirika mkuu! au walikukagua wakakuta umetoka na kitu??
 
Kuna mbunge mmoja wa ccm alishadakwa kaiba mataulo hotelini bwana. Ulivaa nguo za chama?
 
Ni sawa siku hizi watu wanafanya mauaji wanasepa
 
kuna hoteli huwa napenda kushukia mara kwa mara ktk safari zangu za kikazi! Leo wameniudhi sana ile katika nakabidhi funguo, mhudumu anasema akakague chumnba kwanza! Sasa nafikiria wanafikiri nimewaibia nini! Taulo, tv, au nini? Yani wameniudhi! Na sitaenda tena ktk hoteli yao!! Wamiudhi!

wengne wanawaua wapenzi wao
 
Mwaka jana natoka guest flani mitaa ya Sakina..dada wa reception akaniambia nisubiri aje afanye ukaguzi..nikamuuliza vipi tena? akaanza kuniambia kuna mteja aliiba ule utumbo wa ndani wa TV yao ya chogo akaacha li box tu...
 
Yani wameniudhi kweli! Sijui walifikiria nimewaibia!nimearibu kitu au sijui nini! Niliwapasha palepale siendi tena ktk hoteli Yao japo kwa wastani Ni pazuri, nimepachukia ghafla!

Umewapasha!!! Bora ungewachamba.
 
Hiyo ni kwa faida yako na yao, tena ulipaswa kuwapongeza na kuwashukuru. Wee unadhani mhudumu wao akiingia akaiba vifaa vya hotel akasingizia ni mgeni aliyetoka hujapata kesi polisi hapo? Hata ukija kushinda huo usumbufu na mda wako unaufidia vipi? Jiongeze mkuu, kila haki ina wajibu pia.
 
Mwaka jana natoka guest flani mitaa ya Sakina..dada wa reception akaniambia nisubiri aje afanye ukaguzi..nikamuuliza vipi tena? akaanza kuniambia kuna mteja aliiba ule utumbo wa ndani wa TV yao ya chogo akaacha li box tu...
Huyo mwizi wa Utumbo wa ndani wa TV chogo lazima atakuwa ni Fundi Tv tu.
 
Mwaka jana natoka guest flani mitaa ya Sakina..dada wa reception akaniambia nisubiri aje afanye ukaguzi..nikamuuliza vipi tena? akaanza kuniambia kuna mteja aliiba ule utumbo wa ndani wa TV yao ya chogo akaacha li box tu...

Hatari sana!
 
Yani wameniudhi kweli! Sijui walifikiria nimewaibia!nimearibu kitu au sijui nini! Niliwapasha palepale siendi tena ktk hoteli Yao japo kwa wastani Ni pazuri, nimepachukia ghafla!

Mkuu usiwalaumu sana hao. Anza na watu kama yule Mbunge wa vitu maalum toka Mbeya ambaye alikwapua mataulo Hotelini. Hao ndio wanaoleta usumbufu kwa watu wngine kwa tabia zao za wizi mdogo mdogo na tamaa zilizopitiliza. Sasa Mbunge kweli ni wa kuiba mataulo?
 
Yani wameniudhi kweli! Sijui walifikiria nimewaibia!nimearibu kitu au sijui nini! Niliwapasha palepale siendi tena ktk hoteli Yao japo kwa wastani Ni pazuri, nimepachukia ghafla!

wewe ni ke o me
"niliwapasha" imenistua,huend wakat unaandika hii umeshika kiuno
 
Kuna hoteli huwa napenda kushukia mara kwa mara ktk safari zangu za kikazi! Leo wameniudhi Sana ile katika Nakabidhi funguo, mhudumu anasema akakague chumnba kwanza! Sasa nafikiria wanafikiri nimewaibia nini! Taulo, Tv, au nini? yani wameniudhi! na sitaenda tena ktk hoteli Yao!! Wamiudhi!
Sio kila mtu anayelala hotelini ni mwaminifu. Wengine wanaiba vitu vya hotelini na ndio maana wanakagua.
 
Back
Top Bottom