Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa.
Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo imeondolewa na unatamani ingetumika tena.
Kwangu mimi uwa naikumbuka Sheria ya Goli la Dhahabu ambayo iliondolewa, nakumbuka katika fainali za Kombe la dunia mwaka 2002, Senegal anamtoa Sweden kwa Goli la dhahabu,,
Je unaikumbuka Sheria ipi ya soka ambayo unatamani iendelee kutumika.