johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,138
Hiyo ndio itifaki!Wakati wa Komando Salmeen alikuwa anaingia Mwisho uwanjan na kutoka kabla ya Mzee Mkapa
Kwa hiyo Leo Mtakubali nyie machatoziHiyo ndio itifaki!
Kwani nani aliwahi kuvunja hiyo itifaki?!Kwa hiyo Leo Mtakubali nyie machatozi
Sema Rais wa Tanzania Bara na Rais wa Tanzania Visiwani.Sherehe hizi zitarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Azam tv, ITV nk
Rais Magufuli wa JMT na Rais Shein wa Zanzibar watawaongoza maelfu ya watanzania katika maadhimisho hayo.
Karibuni!
Hakuna Rais wa Tanzania bara bwashee!Sema Rais wa Tanzania Bara na Rais wa Tanzania Visiwani.
Zanzibar ni nchi na ina mamlaka kamili. Mbona mnawanyanyapaa sana.
Haya nipo hapa uwanjani naona jk kaingia akafuata karume anaingia haya naona mkapa baada karumeKwani nani aliwahi kuvunja hiyo itifaki?!
Ila!?Hakuna Rais wa Tanzania bara bwashee!
Saa 3 asubuhi.Zinaanza saa ngapi? Na kutakuwepo na nini cha ajabu ambacho hakijawahi kuwepo miaka mingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sherehe hizi zitarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Azam tv, ITV nk
Rais Magufuli wa JMT na Rais Shein wa Zanzibar watawaongoza maelfu ya watanzania katika maadhimisho hayo.
Karibuni!
Kuongoza sherehe na kuongoza watanzania ni vitu viwili tofauti bwashee!Acha uongo! Wataongozaje wawili? Sema Rais Mohammed Shein ataongoza sherehe hizo akishuhudiwa na waalikwa wote akiwamo John Magufuli, Samia, Lowassa, Bw. Juma Khamisi, Abdalla, Joseph, JohntheBaptist nk.
Mkuu wa nchi ni yule anayepigiwa mizinga na ndiye last in first out uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app