sasa kinachokufanya utoke povu ni nini? acha hizo bwana...kama mlishawahi kukutana kuna wasiwsi wa nini tena mara ooh huyu kajiunga leo na jf, huyu kajiunga kae=rne moja iliyopita...acha kubagua wenzako hata aliyejiunga dakika hii ana haki kama wewe ulijiunga humu karne iliyopita...hongera sana kwa kuwa na kitambo sana hapa jf...!
Ha ha haaaaaaaa......jukwaa la siasa linakufaa, kule watu hutokwa mapovu.Sisi huku tunapendana, Anyway....
Imekaaje vibaya mpendwa BADILI TABIA?
Watu tunakutana kama kawa tunapiga pombe na nyama choma. Tunaalikana kwenye mirusho na tunakutana kwenye kufarijiana kama tunanawa. Acha woga weye...
Kwa kuanzia mwana Chit Chat mwenye mahaba ya kuonana na ODM anyooshe mikono juu....
Kwa ajili yako bebii nitanyoosha mikono juu.... Na miguu pia
wakuu kwa hiyo mnaamuaje?
tumeamua kubanjuana..
una upendo wewe?
:A S confused::A S confused:hunaga jema king'asti! haya kaka endelela na moyo huo!