sherehe ya wana JF

mie ntakuwa ninayetembea kama jogoo kaona mtetea.

Na kabawa kangu katakuwa kanagusa chini nazunguruka tu 'ko ko kooo kooooooooooo'
 
Mkuu hapa jf tunawajibu mbovu hata wakuu fulani fulani si watatuma mabomu ya kujitoa mhanga huko mkutanoni.

Yaani we acha tu!
Tutapewa za uso huko mkutanoni mpaka wenyewe tutajuta kilichotufanya tufahamiane laivu.
Kwa kweli kwa hapo Mh!
Sijaliafiki,na watu walivyokuwa na midomo humu,acha tu Mamndenyi,
Tutapigikajeee....!!!!
 
three years back pale salenda bridge club kina Fidel80 wamehudhuria sana, once niliwahi hudhuria JJ pale, watu kibao tulikuwepo
 
Yaani huko fesibuku kuna groups kama 10, na wote wanapanga hafla za kukutana! Ndugu zako tu wa kitunda hujawaona mwaka unaisha, hebu tokeni hapa!

Mtoa mada, ww choma kmoto ama mbuzi, nipm nije bwana!
 
mbona una wasiwasi sana mkuu? kama huna ubaya na mtu unajishuku nini!au umeharibu sana nini? sina mtu wa kumtwanga zaidi ningependa tu umoja uwe juu, thats all! usiwe na hofo kama hujafanya jambo baya kwa mtu humu...
We labda kuna mtu unamtafuta ili umtwange sio. Basi umechemsha kaka tafuta njia nyingine kumbuka hapa wote tumepevuka
 
hunaga jema king'asti! haya kaka endelela na moyo huo!
Yaani huko fesibuku kuna groups kama 10, na wote wanapanga hafla za kukutana! Ndugu zako tu wa kitunda hujawaona mwaka unaisha, hebu tokeni hapa!

Mtoa mada, ww choma kmoto ama mbuzi, nipm nije bwana!
 
jamani, msema ukweli huwa anajiamini katika mambo yake...kwa nini watu wengi hapa hamjiamini? kwani kusema ukweli na dhambi? au hii jf inakuwa ni ya kutengeneza uadui na mtu au kushare ideas na kurekebishana pale inapobidi? tuache kuwa na hulka za ajabu ajabu jamani...tujiamini kwa kile tufanyacho...hapigwi mtu maana ulinzi mkali utakuwepo!
Yaani we acha tu!
Tutapewa za uso huko mkutanoni mpaka wenyewe tutajuta kilichotufanya tufahamiane laivu.
Kwa kweli kwa hapo Mh!
Sijaliafiki,na watu walivyokuwa na midomo humu,acha tu Mamndenyi,
Tutapigikajeee....!!!!
 
haya wewe unayejiona wa kitambo una mpya gani? kila mtu na mawazo yake bwana kama wewe hukuwa na wazo hili tangu milele hiyo uliyokuwepo humu acha wenzako wenye wazo hilo waseme...sio dhambi jamani, ni wazo tu...mbona watu mna jazba sana?
Umekuja juzi tu leo unataka kuwaona watu.
 
Watu wa humu wambeyaaa yaani sikukuu zote mnazofanyaga hamridhishi mpaka mkutane na wanaJF tu ndo mtaridhika. Haya subirini muone kama hamjakutana na mama zenu nao wako JF na huwaga mnawasarandiaga na avator zetu za mashamsham
 
ndio mjifunze kuwa na lugha nzuri na ustaarabu hata kwa watu msiowajua na sio kijiropokearopokea tu ili nanyi muonekana mnajua kila kitu!
Watu wa humu wambeyaaa yaani sikukuu zote mnazofanyaga hamridhishi mpaka mkutane na wanaJF tu ndo mtaridhika. Haya subirini muone kama hamjakutana na mama zenu nao wako JF na huwaga mnawasarandiaga na avator zetu za mashamsham
 
King'asti nimekupenda bure bila hela, kujuana ndo mwanzo wa umbea........

Facebuku wengine wanageuza mtaji, mwanzo ilikuwa kukutaba bure, sasa hivi
utaambiwa kukutana tuchange elfu 15...... Ndo huku tutakoelekea......

Usikute mty ana miaka kumi hajakutana na wajomba zake kijijini anataka kukutana na wana jf....

Yaani huko fesibuku kuna groups kama 10, na wote wanapanga hafla za kukutana! Ndugu zako tu wa kitunda hujawaona mwaka unaisha, hebu tokeni hapa!

Mtoa mada, ww choma kmoto ama mbuzi, nipm nije bwana!
 
Last edited by a moderator:
mie ntakuwa ninayetembea kama jogoo kaona mtetea.

Na kabawa kangu katakuwa kanagusa chini nazunguruka tu 'ko ko kooo kooooooooooo'

Na ko ko ko yako bado utakua cha mtoto!
Kwani haitatuzuia sie Mwewe kupitia vifaranga, na ko ko ko ikiendelea.
 
Yaani we acha tu!
Tutapewa za uso huko mkutanoni mpaka wenyewe tutajuta kilichotufanya tufahamiane laivu.
Kwa kweli kwa hapo Mh!
Sijaliafiki,na watu walivyokuwa na midomo humu,acha tu Mamndenyi,
Tutapigikajeee....!!!!

Acha uoga wewe! Jiamini, alokwambia utanyonywa damu nani ?
Hata kama itatokea wakakunaniliu tatizo nini ?
Kwani wataondoka nayo?
Si ni baada mibwedo asset inabaki palepale, mi sioni shida.
 
Back
Top Bottom