sherehe ya wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sherehe ya wana JF

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by jamiif, Jun 25, 2012.

 1. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  habarini za leo! hivi mnaonaje ikapangwa kama tafrija moja hivi kwa ajili ya wana JF kukutana na kufahamiana na kujenga uhusiano mzuri? tuonane na kina erotica, king'asti, mtotowamjini, boflo, na wengine wengi..labda kwa kuwa tupo katika maeneo tofauti na wengine nje ya nchi, basi hata kwa vitongoji km dar, arusha, wanajipanga tu na kukutana jamani...imekaaje? ni wazo tu!
   
 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hmmm..! hii ni hatari sana..! LABDA KUSIWEPO KUTAJA MAJINA YETU YA HUMU JAMVINI..?? manake kuna watu tunawaponda na wanahasira na sisi. siku wakituona live ..ni NGUMI KWENDA MBELE!
   
 3. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazo poa tatizo mda na majukumu,ila wazo ni zuri sana,mukishatujua hata tukipost vitu ndivyo sivyo itakuwa rahisi kwa wahusika kutunasa!
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nije nikutane na zomba,allykombo wanipasue bure mie nimewajibu mbovu unajitambulisha tu unaambulia makofo hahahah wazo zuri lakini
   
 5. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Arusha wanafanyaga hii kitu kila mwaka
   
 6. papason

  papason JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Sharti ngumi ziwepo, binafsi nitajitolea kuzichapa na bucho na zomba!
   
 7. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mi nitazichapa na yule atakayewapiga wote au atakayeonekana ni greatest fighter! You know what, I just wanna harm one person only!
   
 8. G

  GTesha JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha Napendekeza Avata ndo zikutane but not real people
   
 9. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,370
  Likes Received: 6,551
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri....tuingie kwa codes na sio majina wala usernames ...unapewa code number yako..unaingia nayo getini , unaichana ukiingia humo ndani..fulu kutojuana..unless ukitaka kujitambulisha kwa jirani yako
   
 10. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  mmhh hii kitu hapana...kitu nyuma ya kiibodi ndo mpango mzima..
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Jamiif!

  Umeangusha uzi nzuri kweli na ingependeza sana tukutanie kwenye jiji la utalii (Arusha) kwn kwanza WanaJF wa hapo A town wao wana Wing mmoja nzuri sana na ndio itakuwa vema wakafanya mapokezi kwa wageni wote waalikwa!

  Ingependeza ikifika nyakati ya sikukuu hizi ndiyo tukutane,Sikukuu ya wafanyakazi ama Sikukuu ya wakulima (nane nane)

  Ingependeza sana wajamen!!
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Umesikiagaeeee!!
   
 13. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Mkikutana this time let me know.
   
 14. m

  mandemba Senior Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani mnamtaka ubaya wasira akija huko mtakoma........
   
 15. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  uje ukutane na mod Erickb52 halafu sura iwe ngumu si utaambulia ban kila siku,i'm kidding
   
 16. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  We labda kuna mtu unamtafuta ili umtwange sio. Basi umechemsha kaka tafuta njia nyingine kumbuka hapa wote tumepevuka
   
 17. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Umekuja juzi tu leo unataka kuwaona watu.
   
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hehehe Asnam mi sitoi ban ovyo bana lol
  Natoa kwa watukutu km Bishanga
  Wazee wa Arusha tuko poa...makutano km kawa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  naona katumwa na waliompa sumu mwakihembe
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa jf tunawajibu mbovu hata wakuu fulani fulani si watatuma mabomu ya kujitoa mhanga huko mkutanoni.
   
Loading...