Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

Naogopa burn ingawa mkuu unachefua kwa hoja dhaifu 3Dr Jk alivyokuwa anakata mitaa ya majuu kipindi chote cha mgomo wa Doctor watu walikuwa hawafi sio?jua ndoa huwa zimepangiwa tarehe maalumu hujui uliza acha majungu wewe.

Na hii serikali yenu yenye huruma ndio ikafanya dhambi kuu kwa kuruhusu meli mbovu ibebe abiria kisha watu waje kwenye msiba huku wakionyesha sura za majonzi? kati ya chadema na mabwepande nani asiye na huruma kwa watanzania? yaani shida zote hizi zinaletwa na mfumo wa 10% za viongozi wa magamba, ninauhakika kama si kuruhusu meli mbovu leo hii tusingekua na msiba mkubwa namna hii.
 
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.

Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu

KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI

z3.jpg
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimsikiliza mmoja wa walionusurika katika ajali ya meli jana Bw Kitwana Makama Haji ambaye kalazwa katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja leo July 19, 2012

DSC_1137.JPG
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.

MY TAKE.
HAPA KAMA DK SLAA ANGALIKUWA NDIO RAIS TUSHALIWA KICHWA WAZT. KIKWETE JUU YA UDHAIFU WAKE TUNAOLAZIMISHWA TUMAINI NA CHADEMA. LKN WA DK SLAA KUBURUDIKA LEO NI WAZI SIO UDHAIFU WA KIUTENDAJI BALI NI UDHAIFU WA ROHO
kwa hiyo mnafanya uzembe wa kuokoa watu ili watu wasifanye sherehe,etu tushukuru mungu katuonesha,ni kweli ametuonesha nia ya serikali yetu ya mafisadi ambayo haiwezi kusimama na kueleza idara hata moja iliyokamilika,viongozi wanafiki na wabinafsi washirikina waliojaa usuda na ufidhuri wa hali ya juu.wachawi wanyekutoa kafara watu wasiokuwa na hatia kabisa huku familia zao zikiishi maisha ya anasa na ufahari kama shetani na malaika zake.nawachukia sana wauaji wakubwa nawewe kama unahusika utajijua no matter unapenda kutokuwa na utu shauri yako.tena koma kutujumuisha wengine kwenye hizo shukurani zako.wezi wakubwa nyie,meli imepata tatizo saa tisa ,unajishaua kuaanza kuokoa baada ya masaa 16 eti tuwe na moyo wa subira ndugu zetu watapatikana,maneno ya kinafiki hiyo subira ingetoka rohoni mungesema kila kitu katika kweli.wanyama wabaya nyie,
 
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.

Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu

KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI

z3.jpg
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimsikiliza mmoja wa walionusurika katika ajali ya meli jana Bw Kitwana Makama Haji ambaye kalazwa katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja leo July 19, 2012

DSC_1137.JPG
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.

MY TAKE.
HAPA KAMA DK SLAA ANGALIKUWA NDIO RAIS TUSHALIWA KICHWA WAZT. KIKWETE JUU YA UDHAIFU WAKE TUNAOLAZIMISHWA TUMAINI NA CHADEMA. LKN WA DK SLAA KUBURUDIKA LEO NI WAZI SIO UDHAIFU WA KIUTENDAJI BALI NI UDHAIFU WA ROHO

We kwa uelewa wako unafikiri njia bora ya kuwaenzi ni kukaa na kuomboleza?itasaidia nini?we jifikirie kwamba tufanyaje km wananch kuona ajari ingine haitokei tena,,?
 
kweli njaa noma....utakufa mdomo wazi kwa kujipendekeza...
Ukiwaona bungeni wakitetea maslahi ya wanachi utaamini ni watu. Angalia wakisahau tu utawaua ukweli wao
leo Mh tundu Lissu alitaka kujienyesha anawapenda watz kwa kutaka kuleta Hoja ya Meli ya ZANZIBAR.kumbe akitaka Kumtia ubayani mama yetu.

Ikiwa Tanzania inamaombelezi kupata msiba. Dk slaa anafurahika na Kunywa. kula na vigelegele juuu.
huku wabunge wake wakijifanya wanalia Kilio cha Kudangaya, Kumbe Jioni wanakimbilia DANSI kukata kucheza, kuimba na Kupiga bia.

watz tushukuru na tuamke kwamba Mungu ametuonyesha Mapema jinsi wanasiasa hasa Chadema wasivyojali watu

KESHO MAGAZETI MENGI YATATOA TAHAHARIRI NA PICHA ZA DK SLAA AKIPIGA MZIKI HUKU TAIFA LIKIWA KWENYE MAOMBOLEZI

z3.jpg
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimsikiliza mmoja wa walionusurika katika ajali ya meli jana Bw Kitwana Makama Haji ambaye kalazwa katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja leo July 19, 2012

DSC_1137.JPG
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.

MY TAKE.
HAPA KAMA DK SLAA ANGALIKUWA NDIO RAIS TUSHALIWA KICHWA WAZT. KIKWETE JUU YA UDHAIFU WAKE TUNAOLAZIMISHWA TUMAINI NA CHADEMA. LKN WA DK SLAA KUBURUDIKA LEO NI WAZI SIO UDHAIFU WA KIUTENDAJI BALI NI UDHAIFU WA ROHO
 
Hivyo kuvaa hivyo vivazi vichwani hamjui vinafunika akili zenu? Unasifia mtu ambaye hawezi kusemea juu ya nchi anayoiongoza? Pengine angekuwa mtu makini sheria za manunuzi ya vyombo kama meli chakavu zingekuwa kali ili kudhibiti watu kama huyu aliyenunua na kuwangamiza watu unafurahia nini? Mwaka jaa wakati wa majira hayohayo ya kujitakasa kweni lilitokea hili hili unasifia watu kufa!
 
hv dr.slaa anaoa mke wa ngapi na kanisa gani? au ndo lilelile linaloruhusu vilev.ccm cdm wote dhaifu tu msituchanganye.
 
kWANI THITHIEMU hamjamsuck wa Sumttt na Upepo kama namna ya kuomboleza maana hawatoa mrudisho ni vipi walifanya kazi zao. Watupe inspection report ya mwisho kwa hiyo meli na comp;laince check ya procedure report then upepo atupe recorded thauti ya radio upepo ya kuwaambia hali chafu baharini. Maana twajua mnavyojua kuhani misiba mliyotengeza. Damu za watu zitawalilia nyie tttem.
 
Kwani wewe unajua hao viongozi wa CCM walipotoka hapo walielekea wapi?Acha kuleta habari zisizo na kichwa wa miguu hapa!
 
Kweli Kengemumaji hata hii serikali yetu haina huruma kabisa kwa wananchi wake. Yaani watu tunaenda ofisini kufanya kazi wakati wenzetu wamekufa zanzibar? Ilitakiwa tupate likizo ya siku kama tatu hivi za maombolezo ili tushirikiane na waombolezaji.

Pia hata hawa TFF hawana huruma kabisa ilikuwaje wakaruhusu michano ya kombe la kagame iendelee wakati kuna maombolezo? Yaani wao wameona kusimama dakika chache kuwakumbuka marehemu inatosha? Ilitakiwa waahirishe mechi za Kagame mpaka maombolezo ya siku tatu yaishe.
 
Mchungaji tunaomba sadaka yote ya jumapili upeleke ofisi ya waziri mkuu kama msaada kwa wahanga wa ajali ya meli. Usitupige sound na maneno matupu wakati tuko kwe maombolezo na watu wanahitaji msaada.
Unapiga debe hapa wakati ukienda eneo la tukio unawaombea waathirika gagari halafu unawaambia watoe sadaka wewe hujapata tatizo lolote unaondoka nazo?

Kama serikali iliweza kutoa million kumi (10,000,000/-) kwa yule Familia ya Kanumba ambaye kifo chake hata hakikuhusiana na uzembe wa serikali yetu, Hivi hawa wanaokufa kwenye mameli mabovu yaliyoruhusiwa na serikali kufanya biashara inatakiwa walipwe kiasi gani vile??

Badala ya kuomba pesa za sadaka............. waambie wachote kwenye kodi zetu!!
 
Kenge mumaji ni jk himself,aachi kumwogopa slaa kila siku,jk mshambulie dr slaa kiuwazi kuliko kuja humu jf na kujificha na id ya kenge mumaji..coward
 
Kuzaliwa, kuji enjoisha na kufu vipo kila siku lakini havizuii maisha kusonga mbele!
 
Ama mkweli kila mtu hujitambulisha ni wa namna gani kwa kauli zake mwenyewe... Mtoa hii mada umeonesha udhaifu mkubwa na pengine unasumbuliwa na chuki binafsi, na ni ngumu kupata wa kukuunga mkono!
 
Back
Top Bottom