Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,955
Mchumba huyo jamani munamuonaje?
![]()
Life is goes on
![]()
Life is goes on
picha inatingishika,mbona nikifungua hii picha nahisi maluweluwe! Kulikoni au macho yangu tu!
Bibie.@v Sio Mdoli huyoo mtoto wa kiarabu huyooo mpe sifa yake mzuri mashallah...........huyo mbona mdoli
Mkuu AshaDii Ni kweli mimi ni mtu wa kupenda na kupendwa nikipenda kitu huwa sitaki mchezo Raha ya dunia uwe na mke mwenye tabia nzuri na watoto wema hii ndio zawadi toka kwa Allah Aaza Wajal.
Mkuu Gwangambo unataka kuniibia sikupatiing'oo namba ya simu utakufa nacho kijiba cha roho.................
Bibie farkhina mkuu naona huyu mlala ovyo pono anataka namba ya simu ya mchumba wangu ninampasha apashuke aliye mpa haluli dawa ya tumbo amtafutie nanii.......... toilet.Hahahahaha naona unampasha mwenzio
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
bibie ndetichia mtoto yupo hot anavutia kila sehemu sipati kukwambia bibie hatari mtoto Moto wa kuotea mbali huyooooooooooooommmmmhhhh wat a smile she looks cool...
Bibie AshaDii Amin asante sana kwa dua yako inshallah nitapata mwenye kujuwa kupendwa naye nikampenda........Mzizi Mkavu... Nice selection... Asante kwa huu wimbo.
Naomba nikupongeze kwa kujiachia upande wa mapenzi maana wanaume wengi ni woga sana! hahaha! Inshaallah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akujaalie upate mtu ambae anakupenda vile ambavo wampenda.