Shemeji yenu huyu jamani munamuonaje

Shemeji yenu huyu jamani munamuonaje

Mkuu AshaDii Ni kweli mimi ni mtu wa kupenda na kupendwa nikipenda kitu huwa sitaki mchezo Raha ya dunia uwe na mke mwenye tabia nzuri na watoto wema hii ndio zawadi toka kwa Allah Aaza Wajal.


i like this comment
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mzizimkavu mchumba katulia sana zaidi ya yote hongera kwa picha ya pili naona imejaa maujanja ya kutikisika.
 
Hongera: would enjoy the kiss!


420789_388012787938630_951235889_n.jpg


Mchumba huyo jamani munamuonaje?
 
Back
Top Bottom