😂 😂 😂 😂wapige nyeto sio
Kaka unajua familia zetu za kiafrica huyu mama mkwe ana watoto wanne tu na wote wakiume tu, wa kwanza ndo huyu tunaemzungumzia alikua na maisha yke ameshapoteza Chanel, wapili ni Mr na wengine wawili ambao Mr anawasomesha mmoja yupo chuo mwingine katafutiwa biashara anafanya japo haijasimama Sana so kila mmoja kaja kivyake kwa kifupi Mr ndo wanaemtegemea kwa kila kitu,Duh mashemeji watatu plus mama mkwe na watoto wa shemeji aisee huo mzigo sio wa kitoto . huyo mumeo ndo anaendekeza uboya hao mashemeji zako angewatafutia pakuishi au kuwarudisha huko tarime muwasaidie wakiwa huko mbaki tu na mama. Mnaishije sasa hapo mbn kama kakijiji lazima uharibufu utatokea tu kama hilo linaloshinda home na dada wa kazi unategemea nn dada?
Huko tarime ndo ukweni kwangu, ndo alipokua anaishi piaKwa hiyo umesema huyo Shem wako katoka tarime au umemsingizia
Nimejibu kama alivyotaka tunaongelea inshu za muhimu analeta mizaha ha ha ha potezea mkuu@HawachiMkuu haya maandishi nilijiuliza maswali mengi nikapotezea[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hana simuHuyo dada wako wa kazi ana simu???
Una roho ya pekee sanaKaka unajua familia zetu za kiafrica huyu mama mkwe ana watoto wanne tu na wote wakiume tu, wa kwanza ndo huyu tunaemzungumzia alikua na maisha yke ameshapoteza Chanel, wapili ni Mr na wengine wawili ambao Mr anawasomesha mmoja yupo chuo mwingine katafutiwa biashara anafanya japo haijasimama Sana so kila mmoja kaja kivyake kwa kifupi Mr ndo wanaemtegemea kwa kila kitu,
Atawapeleka wapi ndugu zake, na mzee wao alifarik kitambo ndo akamchukua mamaake na alikua anaishi na wajukuu zake ikabid awachukue wote
Kwangu naona kawaida sion shida yoyote ila shida ni huyu Shem wangu anaependa penda ovyo
Ukishindwa kuchukua huu ushauri usijelalalama tena hapa jf@Ndukidi amemaliza yote.Yaani hii ni kama mnaishi kwa kumwogopa huyo jamaa, kwanini mumeo hamwelezi direct kuwa wewe mjinga huu upuuzi ukiendelea utaondoka hapa? yaani mumeo anakuwa kama mtoto mdogo? Nini maana ya kuwa baba mwenye nyumba sasa? Mambo ya kipumbavu kabisa, au anataka mpaka akutongoze wewe ndio aelewe kuwa huyo ni kiazi?
Sasa my dear, solution ni kunyamaza kimya?Yaan mrsleo tukirudi nyumban unamkuta ni mpole katulia huwezi amin kama ni yeye anaefanya mambo ya ajabu, alafu kumbuka tunaheshimiana hatujawah kumfumania utamuweka MTU mIma kikao atakwambia una uhakika gani na wakat huna ushahidi c anaweza kukukana na akakuletea sababu juu kwamba hamnitaki na lawama kibao, HV jaman hamjui lawama za ndugu.
Mr hamuogopi ila wanaheshimiana hakuona baya lolote ila anamjua kuwa jamaa hatar, mm ndo huwa namwambia habar za nyumban so ataanzaje kumweleza wakat hajawah kumkuta wala kumuona mm ninaoshinda na hao mabint ndo najua sababu wananiambia
Mtafutie kasimu basi..nilitaka namba yake nimfanyie counselling kidogoHana simu
Wakuu niende kwenye mada.
Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman
Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa kaz na ndugu yke (Mume wangu) akiwa bado anatafutiwa cha kufanya muda wote anashinda home ni kubadili Chanel anangalia TV kwanzia asbh mpaka jion, na huyu sio wa kuondoka Leo wala kesho maana amekuja full na kila kitu chake tumempa chumba kabisaaa,
Alikua na maisha mazur sana kushinda hats sisi nyumba magar na nimaarufu sana huko tarime walimuita majina yote ya kipaaa lakin mambo yalimuharibikia akauza vyote sasa hv amechoka mbaya ndo yupo kwangu na wanawe wawili
Sasa kitu kinachonikwaza na kuniuma sna amekua mtu wa kutongoza tongoza ovyo, ndugu zangu wa kike wakija lazima atawatongoza. Kuna mdogo wangu mmoja alimtongoza akaniambia nikamsih sana achana nae kwan ni mtu ana mkewe na mkewe yupo kwao ameenda jifungua atakupotezea muda na bado ni muhun sana kila nikija na rafik yangu atawachangamkia mala wamepeana no, yule dogo naona sasa hv kakolea nashem wangu muda wote wanachat, nimeachana nae ni mkubwa na anajielewa akipata anachotaka atatulia
Sasa hv amehamia kwa Dada wa kazi, mm na mume wangu hatushindi nyumban tunarudi jion, wanabak wenyewe na watoto tu, huyu bint nilianza kuona changes Mr, akaniambia ongea na huyu bint kakaangu ni fisi huyo akupata matatizo kwangu hakai hapa, nikaongea nae akasema sawa nimekuelewa Dada,
Juz nimerud namkuta bint kanivalia Tait na kitop na nyuma bint kajaaliwa, Shem wangu yupo kwenye sofa miguu juu anatingisha anakunywa juicy nikawasalimia bint kuniona akaenda vaa kanga, sikumsemesha nikaendelea na mambo yangu ya jikon yy muda wote hajafanya kaz yoyote kajikwatua wanachek movie tu
Kunachoniumiza huyu bint ni yatima nimemtoa kwenye mazingira magumu Sana, alikua anapalilia mashamba ya watu ndo apate pesa ya kula na bibiake nawaza nikimrudisha kwao atakuaje c atapata mimba akateseke na bibiake ananitegemea mm kupitia mshahara wake nilimchukua mdogo hat kusoma hakusoma, lakin nimekaa nae na nimemsaidia mengi lakin ndo hivyo cjui balehe inamchanganya sielew namfanyaje
Na huyu shemeji kumfukuza cwez ni kakaake na Mr wangu, na familia yote inamjua kwa tabia zake nifanyeje kumnusuru huyu bint, maana anajua kumtreat huyu bint mala amsaidie kuosha vyombo, yaan anajiweka karibu nae na mm najua mwisho wa yote atamgonga tu.
Nifanyaje jaman nisaidien nikimfukuza mkoo mzima utasema sitak ndugu wa mume na hapa ninaishi na mashemeji wawili ukiongeza nayy watatu na mama mkwe na wajukuu wa wili
my point exactly, yani asipokuwa makini iko siku atalia kilio cha kufiwa, ubakaji mwingi huanzia kwenye familia tena wale ndugu wa karibu, mafisi kama huyo shemji yakeMpeleke kituo cha afya,apange uzazi wa mpango then utulie kama hujui kitu.
Hofu si ni mimba pekee? Ila atakuja kuwadharirisha hadi watoto wako wa kuzaa si mnamwita fisi?
Fuatilia matukio mengi ya ubakaji na ufiraji ngazi ya familia utagundua unaishi na nyoka ndani ya familia.
Acha wivu!Wakuu niende kwenye mada.
Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman
Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa kaz na ndugu yke (Mume wangu) akiwa bado anatafutiwa cha kufanya muda wote anashinda home ni kubadili Chanel anangalia TV kwanzia asbh mpaka jion, na huyu sio wa kuondoka Leo wala kesho maana amekuja full na kila kitu chake tumempa chumba kabisaaa,
Alikua na maisha mazur sana kushinda hats sisi nyumba magar na nimaarufu sana huko tarime walimuita majina yote ya kipaaa lakin mambo yalimuharibikia akauza vyote sasa hv amechoka mbaya ndo yupo kwangu na wanawe wawili
Sasa kitu kinachonikwaza na kuniuma sna amekua mtu wa kutongoza tongoza ovyo, ndugu zangu wa kike wakija lazima atawatongoza. Kuna mdogo wangu mmoja alimtongoza akaniambia nikamsih sana achana nae kwan ni mtu ana mkewe na mkewe yupo kwao ameenda jifungua atakupotezea muda na bado ni muhun sana kila nikija na rafik yangu atawachangamkia mala wamepeana no, yule dogo naona sasa hv kakolea nashem wangu muda wote wanachat, nimeachana nae ni mkubwa na anajielewa akipata anachotaka atatulia
Sasa hv amehamia kwa Dada wa kazi, mm na mume wangu hatushindi nyumban tunarudi jion, wanabak wenyewe na watoto tu, huyu bint nilianza kuona changes Mr, akaniambia ongea na huyu bint kakaangu ni fisi huyo akupata matatizo kwangu hakai hapa, nikaongea nae akasema sawa nimekuelewa Dada,
Juz nimerud namkuta bint kanivalia Tait na kitop na nyuma bint kajaaliwa, Shem wangu yupo kwenye sofa miguu juu anatingisha anakunywa juicy nikawasalimia bint kuniona akaenda vaa kanga, sikumsemesha nikaendelea na mambo yangu ya jikon yy muda wote hajafanya kaz yoyote kajikwatua wanachek movie tu
Kunachoniumiza huyu bint ni yatima nimemtoa kwenye mazingira magumu Sana, alikua anapalilia mashamba ya watu ndo apate pesa ya kula na bibiake nawaza nikimrudisha kwao atakuaje c atapata mimba akateseke na bibiake ananitegemea mm kupitia mshahara wake nilimchukua mdogo hat kusoma hakusoma, lakin nimekaa nae na nimemsaidia mengi lakin ndo hivyo cjui balehe inamchanganya sielew namfanyaje
Na huyu shemeji kumfukuza cwez ni kakaake na Mr wangu, na familia yote inamjua kwa tabia zake nifanyeje kumnusuru huyu bint, maana anajua kumtreat huyu bint mala amsaidie kuosha vyombo, yaan anajiweka karibu nae na mm najua mwisho wa yote atamgonga tu.
Nifanyaje jaman nisaidien nikimfukuza mkoo mzima utasema sitak ndugu wa mume na hapa ninaishi na mashemeji wawili ukiongeza nayy watatu na mama mkwe na wajukuu wa wili
Usiseme kuwa kapoteza channel. Please be wise enough. In life there are ups and downs. So hata huyo Mr. Wako anaweza poteza channel maana hakuna mwenyewe guarantee ya maisha mazuri/ bora.Kaka unajua familia zetu za kiafrica huyu mama mkwe ana watoto wanne tu na wote wakiume tu, wa kwanza ndo huyu tunaemzungumzia alikua na maisha yke ameshapoteza Chanel, wapili ni Mr na wengine wawili ambao Mr anawasomesha mmoja yupo chuo mwingine katafutiwa biashara anafanya japo haijasimama Sana so kila mmoja kaja kivyake kwa kifupi Mr ndo wanaemtegemea kwa kila kitu,
Atawapeleka wapi ndugu zake, na mzee wao alifarik kitambo ndo akamchukua mamaake na alikua anaishi na wajukuu zake ikabid awachukue wote
Kwangu naona kawaida sion shida yoyote ila shida ni huyu Shem wangu anaependa penda ovyo
Kwahiyo unamaanisha kuwa kuna CONFLICT OF INTEREST Mkuu? that means, Madam Vivian Original anamhitaji Shemeji yake wakati huo huo House maid naye anamhitaji jamaa. Ni zaidi ya hatari Mkuu.Au ww ndo unataka akugongeeee huyo binti Wa kazi anataka naye mkuyenge sasa ukiwa unambania ivoo unataka afanyaje Dada acha wagongane tuu ila wambie watumie condom au wanunulie kabisa