Shemeji yangu anatongoza ovyo wadogo zangu.

Hapo hakikisha ndom zinakuwa karibu yaan sehem ya wazi maana hhakuna namna
 
Wakuu niende kwenye mada.
Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman

Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa kaz na ndugu yke (Mume wangu) akiwa bado anatafutiwa cha kufanya muda wote anashinda home ni kubadili Chanel anangalia TV kwanzia asbh mpaka jion, na huyu sio wa kuondoka Leo wala kesho maana amekuja full na kila kitu chake tumempa chumba kabisaaa,

Alikua na maisha mazur sana kushinda hats sisi nyumba magar na nimaarufu sana huko tarime walimuita majina yote ya kipaaa lakin mambo yalimuharibikia akauza vyote sasa hv amechoka mbaya ndo yupo kwangu na wanawe wawili

Sasa kitu kinachonikwaza na kuniuma sna amekua mtu wa kutongoza tongoza ovyo, ndugu zangu wa kike wakija lazima atawatongoza. Kuna mdogo wangu mmoja alimtongoza akaniambia nikamsih sana achana nae kwan ni mtu ana mkewe na mkewe yupo kwao ameenda jifungua atakupotezea muda na bado ni muhun sana kila nikija na rafik yangu atawachangamkia mala wamepeana no, yule dogo naona sasa hv kakolea nashem wangu muda wote wanachat, nimeachana nae ni mkubwa na anajielewa akipata anachotaka atatulia

Sasa hv amehamia kwa Dada wa kazi, mm na mume wangu hatushindi nyumban tunarudi jion, wanabak wenyewe na watoto tu, huyu bint nilianza kuona changes Mr, akaniambia ongea na huyu bint kakaangu ni fisi huyo akupata matatizo kwangu hakai hapa, nikaongea nae akasema sawa nimekuelewa Dada,

Juz nimerud namkuta bint kanivalia Tait na kitop na nyuma bint kajaaliwa, Shem wangu yupo kwenye sofa miguu juu anatingisha anakunywa juicy nikawasalimia bint kuniona akaenda vaa kanga, sikumsemesha nikaendelea na mambo yangu ya jikon yy muda wote hajafanya kaz yoyote kajikwatua wanachek movie tu

Kunachoniumiza huyu bint ni yatima nimemtoa kwenye mazingira magumu Sana, alikua anapalilia mashamba ya watu ndo apate pesa ya kula na bibiake nawaza nikimrudisha kwao atakuaje c atapata mimba akateseke na bibiake ananitegemea mm kupitia mshahara wake nilimchukua mdogo hat kusoma hakusoma, lakin nimekaa nae na nimemsaidia mengi lakin ndo hivyo cjui balehe inamchanganya sielew namfanyaje

Na huyu shemeji kumfukuza cwez ni kakaake na Mr wangu, na familia yote inamjua kwa tabia zake nifanyeje kumnusuru huyu bint, maana anajua kumtreat huyu bint mala amsaidie kuosha vyombo, yaan anajiweka karibu nae na mm najua mwisho wa yote atamgonga tu.

Nifanyaje jaman nisaidien nikimfukuza mkoo mzima utasema sitak ndugu wa mume na hapa ninaishi na mashemeji wawili ukiongeza nayy watatu na mama mkwe na wajukuu wa wili
Hongera yaani aondugu wamejaaje kwako na kuhusu huyo binti ongea naye mara kwa mara labda anaweza akaelewa unavyomkanya maana balehe zinasumbua sana
 
Nje ya mada......
Kati ya watu wagumu kabisa duniani kuishi nao ni mtu ambae alishawahi kushika pesa halafu akaishiwa..! Mbaya zaidi ukute kipindi akiwa na pesa aliwahi kukusaidia hata kama alikupa kandambili. Huwa ni watu wabishi, walalamishi, wakorofi, dharau, walevi.. yaani ni kama wanakua wamechanganyikiwa ivi. Na ni ngumu sana kumtafutia kazi mtu kama huyo maana kila kazi utayomuambia afanye anaona haina hela za kutosha. Ni changamoto kuishi na mtu wa aina hiyo.
 
We nae mtupeleke dispensary akachomwe sindano za kuzuia mimba ale maisha
 
Hapo hakuna namna kiongozi
tapatalk_1565983850294.jpeg
 
Hivi hadi leo watu bado wanaishi na ndugu majumbani mwao. Duuuh hii kali
 
Wakuu niende kwenye mada.
Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman

Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa kaz na ndugu yke (Mume wangu) akiwa bado anatafutiwa cha kufanya muda wote anashinda home ni kubadili Chanel anangalia TV kwanzia asbh mpaka jion, na huyu sio wa kuondoka Leo wala kesho maana amekuja full na kila kitu chake tumempa chumba kabisaaa,

Alikua na maisha mazur sana kushinda hats sisi nyumba magar na nimaarufu sana huko tarime walimuita majina yote ya kipaaa lakin mambo yalimuharibikia akauza vyote sasa hv amechoka mbaya ndo yupo kwangu na wanawe wawili

Sasa kitu kinachonikwaza na kuniuma sna amekua mtu wa kutongoza tongoza ovyo, ndugu zangu wa kike wakija lazima atawatongoza. Kuna mdogo wangu mmoja alimtongoza akaniambia nikamsih sana achana nae kwan ni mtu ana mkewe na mkewe yupo kwao ameenda jifungua atakupotezea muda na bado ni muhun sana kila nikija na rafik yangu atawachangamkia mala wamepeana no, yule dogo naona sasa hv kakolea nashem wangu muda wote wanachat, nimeachana nae ni mkubwa na anajielewa akipata anachotaka atatulia

Sasa hv amehamia kwa Dada wa kazi, mm na mume wangu hatushindi nyumban tunarudi jion, wanabak wenyewe na watoto tu, huyu bint nilianza kuona changes Mr, akaniambia ongea na huyu bint kakaangu ni fisi huyo akupata matatizo kwangu hakai hapa, nikaongea nae akasema sawa nimekuelewa Dada,

Juz nimerud namkuta bint kanivalia Tait na kitop na nyuma bint kajaaliwa, Shem wangu yupo kwenye sofa miguu juu anatingisha anakunywa juicy nikawasalimia bint kuniona akaenda vaa kanga, sikumsemesha nikaendelea na mambo yangu ya jikon yy muda wote hajafanya kaz yoyote kajikwatua wanachek movie tu

Kunachoniumiza huyu bint ni yatima nimemtoa kwenye mazingira magumu Sana, alikua anapalilia mashamba ya watu ndo apate pesa ya kula na bibiake nawaza nikimrudisha kwao atakuaje c atapata mimba akateseke na bibiake ananitegemea mm kupitia mshahara wake nilimchukua mdogo hat kusoma hakusoma, lakin nimekaa nae na nimemsaidia mengi lakin ndo hivyo cjui balehe inamchanganya sielew namfanyaje

Na huyu shemeji kumfukuza cwez ni kakaake na Mr wangu, na familia yote inamjua kwa tabia zake nifanyeje kumnusuru huyu bint, maana anajua kumtreat huyu bint mala amsaidie kuosha vyombo, yaan anajiweka karibu nae na mm najua mwisho wa yote atamgonga tu.

Nifanyaje jaman nisaidien nikimfukuza mkoo mzima utasema sitak ndugu wa mume na hapa ninaishi na mashemeji wawili ukiongeza nayy watatu na mama mkwe na wajukuu wa wili
Pole
 
Back
Top Bottom