Shemeji yangu anatongoza ovyo wadogo zangu.

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
503
Reaction score
998
Wakuu niende kwenye mada.
Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman

Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa kaz na ndugu yke (Mume wangu) akiwa bado anatafutiwa cha kufanya muda wote anashinda home ni kubadili Chanel anangalia TV kwanzia asbh mpaka jion, na huyu sio wa kuondoka Leo wala kesho maana amekuja full na kila kitu chake tumempa chumba kabisaaa,

Alikua na maisha mazur sana kushinda hats sisi nyumba magar na nimaarufu sana huko tarime walimuita majina yote ya kipaaa lakin mambo yalimuharibikia akauza vyote sasa hv amechoka mbaya ndo yupo kwangu na wanawe wawili

Sasa kitu kinachonikwaza na kuniuma sna amekua mtu wa kutongoza tongoza ovyo, ndugu zangu wa kike wakija lazima atawatongoza. Kuna mdogo wangu mmoja alimtongoza akaniambia nikamsih sana achana nae kwan ni mtu ana mkewe na mkewe yupo kwao ameenda jifungua atakupotezea muda na bado ni muhun sana kila nikija na rafik yangu atawachangamkia mala wamepeana no, yule dogo naona sasa hv kakolea nashem wangu muda wote wanachat, nimeachana nae ni mkubwa na anajielewa akipata anachotaka atatulia

Sasa hv amehamia kwa Dada wa kazi, mm na mume wangu hatushindi nyumban tunarudi jion, wanabak wenyewe na watoto tu, huyu bint nilianza kuona changes Mr, akaniambia ongea na huyu bint kakaangu ni fisi huyo akupata matatizo kwangu hakai hapa, nikaongea nae akasema sawa nimekuelewa Dada,

Juz nimerud namkuta bint kanivalia Tait na kitop na nyuma bint kajaaliwa, Shem wangu yupo kwenye sofa miguu juu anatingisha anakunywa juicy nikawasalimia bint kuniona akaenda vaa kanga, sikumsemesha nikaendelea na mambo yangu ya jikon yy muda wote hajafanya kaz yoyote kajikwatua wanachek movie tu

Kunachoniumiza huyu bint ni yatima nimemtoa kwenye mazingira magumu Sana, alikua anapalilia mashamba ya watu ndo apate pesa ya kula na bibiake nawaza nikimrudisha kwao atakuaje c atapata mimba akateseke na bibiake ananitegemea mm kupitia mshahara wake nilimchukua mdogo hat kusoma hakusoma, lakin nimekaa nae na nimemsaidia mengi lakin ndo hivyo cjui balehe inamchanganya sielew namfanyaje

Na huyu shemeji kumfukuza cwez ni kakaake na Mr wangu, na familia yote inamjua kwa tabia zake nifanyeje kumnusuru huyu bint, maana anajua kumtreat huyu bint mala amsaidie kuosha vyombo, yaan anajiweka karibu nae na mm najua mwisho wa yote atamgonga tu.

Nifanyaje jaman nisaidien nikimfukuza mkoo mzima utasema sitak ndugu wa mume na hapa ninaishi na mashemeji wawili ukiongeza nayy watatu na mama mkwe na wajukuu wa wili
 
Da, nisamehe, nimecheka kama mazuri vile. Asa pale umesema mumeo alisema "kakaangu ni fisi".

Ila la kukushauri, kama mwanaume, angaikeni shemeji yako apate cha kufanya. Wanaume huwa tukiwa hatuna cha kufanya akili hujawa na mawazo ya uasherati tu tena sana kama mazingira yaliyopo kuna mabinti. Hiyo ndiyo huwa faraja kwetu.

Ila nikuhakikishie kitu kimoja, kama shemeji yako ni fisi, siku nyingi amisham-fisi huyo dada.
 
Unataka mumeo ndio amkaze huyo beki 3?sema unaona wivu tu sababu kajaaliwa
Shida sio wivu Nokia83 shida yule bint bado mdogo angekua mtu anaejielewa ningesema sawa tu, labda wangeoana sasa mtu ana make na watoto na hana feature yoyote unataka amualibie mtoto wa watu ambae bado hajaona dunia ilivyo, angekua huyo bint ndugu yko au mdogoako ungesema hivyo

Mbona yule mdogoangu mwingine alivyotongozwa akamkubalia niliachana nae coz najua ni mtu mzima anajua baya na zuri anajua kujirinda pia.

Kama kajaaliwa hata mm nimejaaliwa mkuu, msitetee maovu
 
Wakuu niende kwenye mada.
Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman

Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa kaz na ndugu yke (Mume wangu) akiwa bado anatafutiwa cha kufanya muda wote anashinda home ni kubadili Chanel anangalia TV kwanzia asbh mpaka jion, na huyu sio wa kuondoka Leo wala kesho maana amekuja full na kila kitu chake tumempa chumba kabisaaa,

Alikua na maisha mazur sana kushinda hats sisi nyumba magar na nimaarufu sana huko tarime walimuita majina yote ya kipaaa lakin mambo yalimuharibikia akauza vyote sasa hv amechoka mbaya ndo yupo kwangu na wanawe wawili

Sasa kitu kinachonikwaza na kuniuma sna amekua mtu wa kutongoza tongoza ovyo, ndugu zangu wa kike wakija lazima atawatongoza. Kuna mdogo wangu mmoja alimtongoza akaniambia nikamsih sana achana nae kwan ni mtu ana mkewe na mkewe yupo kwao ameenda jifungua atakupotezea muda na bado ni muhun sana kila nikija na rafik yangu atawachangamkia mala wamepeana no, yule dogo naona sasa hv kakolea nashem wangu muda wote wanachat, nimeachana nae ni mkubwa na anajielewa akipata anachotaka atatulia

Sasa hv amehamia kwa Dada wa kazi, mm na mume wangu hatushindi nyumban tunarudi jion, wanabak wenyewe na watoto tu, huyu bint nilianza kuona changes Mr, akaniambia ongea na huyu bint kakaangu ni fisi huyo akupata matatizo kwangu hakai hapa, nikaongea nae akasema sawa nimekuelewa Dada,

Juz nimerud namkuta bint kanivalia Tait na kitop na nyuma bint kajaaliwa, Shem wangu yupo kwenye sofa miguu juu anatingisha anakunywa juicy nikawasalimia bint kuniona akaenda vaa kanga, sikumsemesha nikaendelea na mambo yangu ya jikon yy muda wote hajafanya kaz yoyote kajikwatua wanachek movie tu

Kunachoniumiza huyu bint ni yatima nimemtoa kwenye mazingira magumu Sana, alikua anapalilia mashamba ya watu ndo apate pesa ya kula na bibiake nawaza nikimrudisha kwao atakuaje c atapata mimba akateseke na bibiake ananitegemea mm kupitia mshahara wake nilimchukua mdogo hat kusoma hakusoma, lakin nimekaa nae na nimemsaidia mengi lakin ndo hivyo cjui balehe inamchanganya sielew namfanyaje

Na huyu shemeji kumfukuza cwez ni kakaake na Mr wangu, na familia yote inamjua kwa tabia zake nifanyeje kumnusuru huyu bint, maana anajua kumtreat huyu bint mala amsaidie kuosha vyombo, yaan anajiweka karibu nae na mm najua mwisho wa yote atamgonga tu.

Nifanyaje jaman nisaidien nikimfukuza mkoo mzima utasema sitak ndugu wa mume na hapa ninaishi na mashemeji wawili ukiongeza nayy watatu na mama mkwe na wajukuu wa wili

Yaani hii ni kama mnaishi kwa kumwogopa huyo jamaa, kwanini mumeo hamwelezi direct kuwa wewe mjinga huu upuuzi ukiendelea utaondoka hapa? yaani mumeo anakuwa kama mtoto mdogo? Nini maana ya kuwa baba mwenye nyumba sasa? Mambo ya kipumbavu kabisa, au anataka mpaka akutongoze wewe ndio aelewe kuwa huyo ni kiazi?
 
Nyie wanawake kwa uchoyo,Mwambie shemeji yako akitaka kumgonga huyo binti awe ana tumia kondom ili kumlinda,simple lyk dat.
 
kwanza pole kwa hilo lundo la watu humo ndani, pili kuna mdau kashauri uongee na mumeo mumpangie sehemu nyingine ila pia me naona ni vzr ukamwambia mumeo aongee na kaka ake kuhusu hiyo tabia yake, jamanii mumemstiri basi atleast awalipe fadhila kwa kuwaonyesha na kuipa heshima nyumba yenu na pia atambue huo ushenzi wake awe anaufanya huko nje lakini wageni wa humo ndani including ndugu zako na huyo hg ni off-limit, huyo mkimchekea yajayo yanahuzunisha iko siku atakutongoza hata wewe kama sio kukubakia watoto
 
Yaani hii ni kama mnaishi kwa kumwogopa huyo jamaa, kwanini mumeo hamwelezi direct kuwa wewe mjinga huu upuuzi ukiendelea utaondoka hapa? yaani mumeo anakuwa kama mtoto mdogo? Nini maana ya kuwa baba mwenye nyumba sasa? Mambo ya kipumbavu kabisa, au anataka mpaka akutongoze wewe ndio aelewe kuwa huyo ni kiazi?
Nisaidie kushangaa
 
Hamna maovu yeyote kama yeye kaamua kumpa penzi waache watajuana wenyewe ila ww mwambie binti akipata mimba anarudi kwao. Huwezi kumchunga mtt wa kike anakula na kushiba mwili unapata na hamu za vitu vingine asipopigwa dudu na shemeji yako atapigwa dudu na jirani yote yaleyale
Shida sio wivu Nokia83 shida yule bint bado mdogo angekua mtu anaejielewa ningesema sawa tu, labda wangeoana sasa mtu ana make na watoto na hana feature yoyote unataka amualibie mtoto wa watu ambae bado hajaona dunia ilivyo, angekua huyo bint ndugu yko au mdogoako ungesema hivyo

Mbona yule mdogoangu mwingine alivyotongozwa akamkubalia niliachana nae coz najua ni mtu mzima anajua baya na zuri anajua kujirinda pia.

Kama kajaaliwa hata mm nimejaaliwa mkuu, msitetee maovu
 
Nisaidie kushangaa

Yaani maisha yalivyo magumu haya bado watu wengine wanaruhusu upuuzi kutamalaki, baba na mama wanalia wao na watoto wao kisa mgeni kaka alikuwa tajiri zamani.
 
Achana nao. Jali mambo yako. Wala usiumize kichwa. Kama wamependana acha wagongane.
 
Back
Top Bottom