Shemeji yangu anatongoza ovyo wadogo zangu.

Shemeji yangu anatongoza ovyo wadogo zangu.

Ongea na mume wako kama mama mwenye nyumba,mjibane vyovyote iwezekanavyo mumpangie sehem mbali na hapo kwenu akafie huko....Mkimuendekeza huyo atakuja kukutia mimba mpaka wewe mwenyewe.
Maneno kuntu kabisa,asipochukua huu ushauri atakuja kulia
 
Shemeji kwema?
Tatizo lipo kwa mama mkwe, anaishi na watoto na wajukuu zake utadhani yupo kwa mme wake.
Mwenye nyumba hana kauli(ndio maana tatizo analisukumizia kwa mke ili alitatue) dhidi ya kaka yake mbele ya mama yao, kisa kaka alikuwa na uwezo na si ajabu aliwasaidia enzi zake,maana yake itakuwa kama anasimangwa/ana nyanyaswa kaka mkubwa, ikitokea kaka mdogo akavimbisha "kibesi" kaka mkubwa atawaka kukwepa dharau, songombingo litapanda, mama yao presha/sukari itapanda juu, atazimia...
Wanandugu watapatana kumuuguza mama yao, mke (kaka mkubwa atatakaswa dhambi zake) atachukiwa kwa kusababisha migogoro isiyo isha.

Njia nyepesi ni mama kumhamishia (huwa nampenda sana mama japo alisha tangulia) nyumba nyingine au arudi kwake pamoja na watoto wa kaka mkubwa.
Sasa hilo jinamizi likibaki nanyoshana nalo hata kwa ngumi...
Point mkuu, alafu wakat anapesa alikua anakula ata hata kukumbuka kumjengea mamaake hakukumbuka, alikua anapenda starehe na na kula bata na wanawake alikua na pesa lakin alikua hasaidii ndugu zake, hata akiombwa ada na mdogoake anasema sina na hapo yupo Zanzibar anakula bata,

Tatizo lawama unaweza ukamsema ukaonekana unamsimanga so bado tunatafuta njia nzur ya kuongea nae
 
Usiseme kuwa kapoteza channel. Please be wise enough. In life there are ups and downs. So hata huyo Mr. Wako anaweza poteza channel maana hakuna mwenyewe guarantee ya maisha mazuri/ bora.
Ni neno LA kawaida hilo mkuu hata mm naweza kupoteza Chanel usipende kukuza mambo
 
Shida sio wivu Nokia83 shida yule bint bado mdogo angekua mtu anaejielewa ningesema sawa tu, labda wangeoana sasa mtu ana make na watoto na hana feature yoyote unataka amualibie mtoto wa watu ambae bado hajaona dunia ilivyo, angekua huyo bint ndugu yko au mdogoako ungesema hivyo
Mbona yule mdogoangu mwingine alivyotongozwa akamkubalia niliachana nae coz najua ni mtu mzima anajua baya na zuri anajua kujirinda pia.
Kama kajaaliwa hata mm nimejaaliwa mkuu, msitetee maovu
mkuu kumbe na ww mashallaah mzigo upo
 
Imebaki akutongoze wewe sasa. Hatari sana kufuga nyumbani mwanaume shababi mwenye mke na watoto wake. Huyo mtu kama ni kumsaidia msaada ungemfuata huko huko Tarime.
 
Muombe sana Mungu usipitie maisha ya ndoa na familia kwa ujumla. Komenti yako inaonyesha upo kwenye hatua za kutafuta maisha hauja fikia hatua ya kuyatengeneza maisha ambayo msingi wake ni amani (kuwa na mke/mme unaependana nae) na furaha (watoto wenye afya njema)

Asante sana japo saikolijia yako imefeli
Miye ni famili mani, nina wake wawili na watoto saba.
Narudia tena,
Muache shemeji yako. Athawaizi muondoe hapo.
 
Mara zote ni rahisi kuishi na ndugu wa mwanamke kuliko kuishi na ndugu wa mwanamme. Mara nyingi wanaume hatuna shida sana. Wanawake hata ndugu wa mme awe mmoja tu, ni wachache sana wanaoelewa hilo somo la huyo ndugu kuishi pale. Hayo unayosema, kama huyo jamaa angelikuwa ndugu yako sina uhakika kama ungeyalalamikia.
 
Hapo pia mwambie mumeo avae koti la Baba yake kikamilifu. Asichukue majukumu ya Baba bila kubeba na mamlaka ya Baba.
 
Hiyo familia ya upande wa mumeo haina aibu, hivi unaanzaje ukoo mzima kuhamia kwa ndugu yenu, hayo maisha ya kizamani sana,kwa nini msiwasaidie wakiwa hukohuko kwao? Kama shemeji mwenyewe ndo huyo kuna siku atawabaka hata watoto wako

Mume wako anatakiwa awe na misimamo,u anjua sisi wanawake tunapoolewa kwenye familia za watu tunapaswa tukubaliane na kila jambo na kuwaonyesha ndugu wa pande zote upendo pasipo ubaguzi, ila Mwanaume wakati wote anatakiwa amwe na misimamo la sivyo mtajikuta mnabeba mizigo isiyobebeka

Wa kusema na kukemea hilo jambo ni mumeo sio wewe

Pole sana
Wakuu niende kwenye mada.
Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman

Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa kaz na ndugu yke (Mume wangu) akiwa bado anatafutiwa cha kufanya muda wote anashinda home ni kubadili Chanel anangalia TV kwanzia asbh mpaka jion, na huyu sio wa kuondoka Leo wala kesho maana amekuja full na kila kitu chake tumempa chumba kabisaaa,

Alikua na maisha mazur sana kushinda hats sisi nyumba magar na nimaarufu sana huko tarime walimuita majina yote ya kipaaa lakin mambo yalimuharibikia akauza vyote sasa hv amechoka mbaya ndo yupo kwangu na wanawe wawili

Sasa kitu kinachonikwaza na kuniuma sna amekua mtu wa kutongoza tongoza ovyo, ndugu zangu wa kike wakija lazima atawatongoza. Kuna mdogo wangu mmoja alimtongoza akaniambia nikamsih sana achana nae kwan ni mtu ana mkewe na mkewe yupo kwao ameenda jifungua atakupotezea muda na bado ni muhun sana kila nikija na rafik yangu atawachangamkia mala wamepeana no, yule dogo naona sasa hv kakolea nashem wangu muda wote wanachat, nimeachana nae ni mkubwa na anajielewa akipata anachotaka atatulia

Sasa hv amehamia kwa Dada wa kazi, mm na mume wangu hatushindi nyumban tunarudi jion, wanabak wenyewe na watoto tu, huyu bint nilianza kuona changes Mr, akaniambia ongea na huyu bint kakaangu ni fisi huyo akupata matatizo kwangu hakai hapa, nikaongea nae akasema sawa nimekuelewa Dada,

Juz nimerud namkuta bint kanivalia Tait na kitop na nyuma bint kajaaliwa, Shem wangu yupo kwenye sofa miguu juu anatingisha anakunywa juicy nikawasalimia bint kuniona akaenda vaa kanga, sikumsemesha nikaendelea na mambo yangu ya jikon yy muda wote hajafanya kaz yoyote kajikwatua wanachek movie tu

Kunachoniumiza huyu bint ni yatima nimemtoa kwenye mazingira magumu Sana, alikua anapalilia mashamba ya watu ndo apate pesa ya kula na bibiake nawaza nikimrudisha kwao atakuaje c atapata mimba akateseke na bibiake ananitegemea mm kupitia mshahara wake nilimchukua mdogo hat kusoma hakusoma, lakin nimekaa nae na nimemsaidia mengi lakin ndo hivyo cjui balehe inamchanganya sielew namfanyaje

Na huyu shemeji kumfukuza cwez ni kakaake na Mr wangu, na familia yote inamjua kwa tabia zake nifanyeje kumnusuru huyu bint, maana anajua kumtreat huyu bint mala amsaidie kuosha vyombo, yaan anajiweka karibu nae na mm najua mwisho wa yote atamgonga tu.

Nifanyaje jaman nisaidien nikimfukuza mkoo mzima utasema sitak ndugu wa mume na hapa ninaishi na mashemeji wawili ukiongeza nayy watatu na mama mkwe na wajukuu wa wili
 
Shida sio wivu Nokia83 shida yule bint bado mdogo angekua mtu anaejielewa ningesema sawa tu, labda wangeoana sasa mtu ana make na watoto na hana feature yoyote unataka amualibie mtoto wa watu ambae bado hajaona dunia ilivyo, angekua huyo bint ndugu yko au mdogoako ungesema hivyo

Mbona yule mdogoangu mwingine alivyotongozwa akamkubalia niliachana nae coz najua ni mtu mzima anajua baya na zuri anajua kujirinda pia.

Kama kajaaliwa hata mm nimejaaliwa mkuu, msitetee maovu
mwache kakua huyo
 
Hivi BAK, umepotelea wapi au ulikua bize na ugeni wa sadeki? Sijakusikia toka enzi za kubatizwa kwa moto ujue
Wewe na mumeo kwanza kaeni kikao na shemeji yako mmwambie hamridhishwi na mnayoyaona na mnataka yasite mara moja. Kisha mkae kikao na HG naye mumpe onyo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyo binti kukaa kwako sio sababu ya yeye asipate mimba lakini unachotakiwa ni kumwambia madhara ya baadaye, pili huyo mjamaa akimalizana na demu wa kazi zamu yako inafuata, na ukimwambia mmeo atafikiria tayari ameshakuchungulia tumboni unatafuta sababu awe mbali, fanya ujasiri usisubiri machukizo zaidi
 
Neno lililonivutia mimi ni hilo kusema"ATAMGONGA TU"[emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3][emoji4]
 
Mkuu unalea bomu moja kubwa sana na siku likija kulipuka utabaki unalia...
Kwa experience yangu ndogo hao majamaa ndio wanatakuja kiwanyanyasa kingono watoto wako..

95% ya sexual assault zinazotokea kwa watoto wadogo zinafanywa na ndugu wa karibu... hapa nina mifano 10 ya watoto wa mwaka 1 -12 waliofanyiwa ushenzi huo .. na woote hao kumi walifanyiwa na ndugu wa karibu kama jamaa huyo..

Sasa hivi hofu yako iko kwa beki 3 lakini soon utaanza kulia kuhusu watoto wako (awe wa kiume au wa kike)
CHUKUA HATUA MAPEMA
 
Nafasi ikiruhusu nitakuja pm sasa hivi niko busy kidogo. Mzima lakini?

Hivi BAK, umepotelea wapi au ulikua bize na ugeni wa sadeki? Sijakusikia toka enzi za kubatizwa kwa moto ujue
 
tuache unafiki na hofu ya kukabiliana na mapokeo ya maamuzi yako.
ufumbuzi ni kumtimua
 
Ningekuwa mimi ndo maza house nampanga mpenzi wAngu vzuri tuna comeup with conclusion
Simple like dat.

Cc:mume wangu[emoji7]
 
Back
Top Bottom