Shemeji yangu anatongoza ovyo wadogo zangu.

Shemeji yangu anatongoza ovyo wadogo zangu.

Kamchukulie Shemeji condom za kutosha kama hutaki huyo dada apate mimba. Ingawa mpaka hapo walipofikia tayari Shemeji yako atakuwa ametingisha nyavu mara kibao sana. Anachokiwaza sasa hivi huyo Shemeji yako ni kwamba kila usiku awe anahakikisha analala na huyo mdada wa kazi. Ikifika saa kumi anamrudisha chumbani kwake.
Wakuu niende kwenye mada.
Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman

Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa kaz na ndugu yke (Mume wangu) akiwa bado anatafutiwa cha kufanya muda wote anashinda home ni kubadili Chanel anangalia TV kwanzia asbh mpaka jion, na huyu sio wa kuondoka Leo wala kesho maana amekuja full na kila kitu chake tumempa chumba kabisaaa,

Alikua na maisha mazur sana kushinda hats sisi nyumba magar na nimaarufu sana huko tarime walimuita majina yote ya kipaaa lakin mambo yalimuharibikia akauza vyote sasa hv amechoka mbaya ndo yupo kwangu na wanawe wawili

Sasa kitu kinachonikwaza na kuniuma sna amekua mtu wa kutongoza tongoza ovyo, ndugu zangu wa kike wakija lazima atawatongoza. Kuna mdogo wangu mmoja alimtongoza akaniambia nikamsih sana achana nae kwan ni mtu ana mkewe na mkewe yupo kwao ameenda jifungua atakupotezea muda na bado ni muhun sana kila nikija na rafik yangu atawachangamkia mala wamepeana no, yule dogo naona sasa hv kakolea nashem wangu muda wote wanachat, nimeachana nae ni mkubwa na anajielewa akipata anachotaka atatulia

Sasa hv amehamia kwa Dada wa kazi, mm na mume wangu hatushindi nyumban tunarudi jion, wanabak wenyewe na watoto tu, huyu bint nilianza kuona changes Mr, akaniambia ongea na huyu bint kakaangu ni fisi huyo akupata matatizo kwangu hakai hapa, nikaongea nae akasema sawa nimekuelewa Dada,

Juz nimerud namkuta bint kanivalia Tait na kitop na nyuma bint kajaaliwa, Shem wangu yupo kwenye sofa miguu juu anatingisha anakunywa juicy nikawasalimia bint kuniona akaenda vaa kanga, sikumsemesha nikaendelea na mambo yangu ya jikon yy muda wote hajafanya kaz yoyote kajikwatua wanachek movie tu

Kunachoniumiza huyu bint ni yatima nimemtoa kwenye mazingira magumu Sana, alikua anapalilia mashamba ya watu ndo apate pesa ya kula na bibiake nawaza nikimrudisha kwao atakuaje c atapata mimba akateseke na bibiake ananitegemea mm kupitia mshahara wake nilimchukua mdogo hat kusoma hakusoma, lakin nimekaa nae na nimemsaidia mengi lakin ndo hivyo cjui balehe inamchanganya sielew namfanyaje

Na huyu shemeji kumfukuza cwez ni kakaake na Mr wangu, na familia yote inamjua kwa tabia zake nifanyeje kumnusuru huyu bint, maana anajua kumtreat huyu bint mala amsaidie kuosha vyombo, yaan anajiweka karibu nae na mm najua mwisho wa yote atamgonga tu.

Nifanyaje jaman nisaidien nikimfukuza mkoo mzima utasema sitak ndugu wa mume na hapa ninaishi na mashemeji wawili ukiongeza nayy watatu na mama mkwe na wajukuu wa wili
 
mi naungana na wote wanaotaka mumtafutie huyo jamaa sehemu ya kuishi tena iwe mbali na hapo kwa haraka sana atakuharibia kizazi chako na uhasama usioisha, na hujui huko anakotoka na ukwasi aliokuwa nao afya ikoje hadi sasa, ukicheka na nyani..…. Watu dizain kama huyo jamaa ambao waliwahi kushika hela kisha zikawakimbia wanakuwa ni watu tabu sana maana hapo ukimwambia kuna kazi ya kibarua ya kumwaga zege pale hatokuelewa kabisa. Muhamisheni fasta
 
Salama kabisa shemeji.

Narudia tena, shida hapa ni mumewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mwanaume akiyumba ndoa huparaganyika.
 
Kama uwezo upo hili ndio suluhisho
Ongea na mume wako kama mama mwenye nyumba,mjibane vyovyote iwezekanavyo mumpangie sehem mbali na hapo kwenu akafie huko....Mkimuendekeza huyo atakuja kukutia mimba mpaka wewe mwenyewe.
 
Wakuu niende kwenye mada.
Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman

Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa kaz na ndugu yke (Mume wangu) akiwa bado anatafutiwa cha kufanya muda wote anashinda home ni kubadili Chanel anangalia TV kwanzia asbh mpaka jion, na huyu sio wa kuondoka Leo wala kesho maana amekuja full na kila kitu chake tumempa chumba kabisaaa,

Alikua na maisha mazur sana kushinda hats sisi nyumba magar na nimaarufu sana huko tarime walimuita majina yote ya kipaaa lakin mambo yalimuharibikia akauza vyote sasa hv amechoka mbaya ndo yupo kwangu na wanawe wawili

Sasa kitu kinachonikwaza na kuniuma sna amekua mtu wa kutongoza tongoza ovyo, ndugu zangu wa kike wakija lazima atawatongoza. Kuna mdogo wangu mmoja alimtongoza akaniambia nikamsih sana achana nae kwan ni mtu ana mkewe na mkewe yupo kwao ameenda jifungua atakupotezea muda na bado ni muhun sana kila nikija na rafik yangu atawachangamkia mala wamepeana no, yule dogo naona sasa hv kakolea nashem wangu muda wote wanachat, nimeachana nae ni mkubwa na anajielewa akipata anachotaka atatulia

Sasa hv amehamia kwa Dada wa kazi, mm na mume wangu hatushindi nyumban tunarudi jion, wanabak wenyewe na watoto tu, huyu bint nilianza kuona changes Mr, akaniambia ongea na huyu bint kakaangu ni fisi huyo akupata matatizo kwangu hakai hapa, nikaongea nae akasema sawa nimekuelewa Dada,

Juz nimerud namkuta bint kanivalia Tait na kitop na nyuma bint kajaaliwa, Shem wangu yupo kwenye sofa miguu juu anatingisha anakunywa juicy nikawasalimia bint kuniona akaenda vaa kanga, sikumsemesha nikaendelea na mambo yangu ya jikon yy muda wote hajafanya kaz yoyote kajikwatua wanachek movie tu

Kunachoniumiza huyu bint ni yatima nimemtoa kwenye mazingira magumu Sana, alikua anapalilia mashamba ya watu ndo apate pesa ya kula na bibiake nawaza nikimrudisha kwao atakuaje c atapata mimba akateseke na bibiake ananitegemea mm kupitia mshahara wake nilimchukua mdogo hat kusoma hakusoma, lakin nimekaa nae na nimemsaidia mengi lakin ndo hivyo cjui balehe inamchanganya sielew namfanyaje

Na huyu shemeji kumfukuza cwez ni kakaake na Mr wangu, na familia yote inamjua kwa tabia zake nifanyeje kumnusuru huyu bint, maana anajua kumtreat huyu bint mala amsaidie kuosha vyombo, yaan anajiweka karibu nae na mm najua mwisho wa yote atamgonga tu.

Nifanyaje jaman nisaidien nikimfukuza mkoo mzima utasema sitak ndugu wa mume na hapa ninaishi na mashemeji wawili ukiongeza nayy watatu na mama mkwe na wajukuu wa wili
Ukicheka Cheka na wewe mwenyewe utaliwa
 
Kukaa na baba/mtu mzima hapo nyumbani wakati hazalishi na si mgonjwa ni umbulula;zaidi ya hapo ni kukaribisha matatizo ndani ya familia yako au ndoa yako.Kama mmeamua kumsaidia,mpangishieni chumba/nyumba,mpeni mtaji kidogo wa biashara....akiutumia vibaya shauri yake
 
Fanyeni kikao cha familia...

Wewe, mmeo, binti na dada wa kazi.

Hapo hamna mawasiliano...unalalamika moyoni shemejiyo hayajui malalamiko yako.

Mwambieni kila kitu...mmeo awe mzungumzaji mkubwa maana ndiye baba mwenye nyumba. Mwelezeni uhalisia bila kuficha lolote.

Najua atanuna ataona kama mnamsimanga ila ndiyo ukweli.

Mabadiliko yakiwepo ni kheri...mkiona hayaonekani shemeji yako akaishi pengine mbaki na watoto. Mnaishije na baba wa watu??? Mzee kabisa tena ndugu wa mume...bora mngeishi na mdogo wako wa kiume sio kaka wa mume...wanajeuri na mila nyingi za kitanzania kaka wa mume ni sawa na baba mkwe ni mtu wa heshima.

Heshima za kimila sijui zinaenda wapi walai....mimi kabila langu hata mke wa mdogo wangu kwake nalamishwa kusubiri chakula. Na wazee wetu waliziweka hizi mila hivi walijua matokeo.
Unavyoonekana hupendi ndugu zako wa kiume mkuu. Damu ni nzito kuliko maji Kijana. Ndugu wa mke wako ni rahisi sana kukuzunguka kuliko ndugu zako Wewe.
 
Mpeleke kituo cha afya,apange uzazi wa mpango then utulie kama hujui kitu.

Hofu si ni mimba pekee? Ila atakuja kuwadharirisha hadi watoto wako wa kuzaa si mnamwita fisi?

Fuatilia matukio mengi ya ubakaji na ufiraji ngazi ya familia utagundua unaishi na nyoka ndani ya familia.
 
Duh mashemeji watatu plus mama mkwe na watoto wa shemeji aisee huo mzigo sio wa kitoto . huyo mumeo ndo anaendekeza uboya hao mashemeji zako angewatafutia pakuishi au kuwarudisha huko tarime muwasaidie wakiwa huko mbaki tu na mama. Mnaishije sasa hapo mbn kama kakijiji lazima uharibufu utatokea tu kama hilo linaloshinda home na dada wa kazi unategemea nn dada?
 
 
Unavyoonekana hupendi ndugu zako wa kiume mkuu. Damu ni nzito kuliko maji Kijana. Ndugu wa mke wako ni rahisi sana kukuzunguka kuliko ndugu zako Wewe.
Ungejua....

Kuishi na kaka yako kwako sio kumpenda mkuu. Nadhani hili linaendana na mila na tamaduni.

Kwetu ni mwiko kulala kwa wakwe...mdogo wangu wa kike au wa kiume ataishi kwangu au kwa upande wa kike mdogo wake wa kike au kiume ataishi kwangu ila sio kaka zetu.

Kama wazazi wa pande mbili hawapo kaka wa pande zote ndiyo wazazi pindi lolote litokeapo kati yenu. Fikiria huyu kaka tunayemwongelea hapa atasaidia nini.

Amejishushia heshima hakuna wa kumsikiliza.
 
Yaan mrsleo tukirudi nyumban unamkuta ni mpole katulia huwezi amin kama ni yeye anaefanya mambo ya ajabu, alafu kumbuka tunaheshimiana hatujawah kumfumania utamuweka MTU mIma kikao atakwambia una uhakika gani na wakat huna ushahidi c anaweza kukukana na akakuletea sababu juu kwamba hamnitaki na lawama kibao, HV jaman hamjui lawama za ndugu.

Mr hamuogopi ila wanaheshimiana hakuona baya lolote ila anamjua kuwa jamaa hatar, mm ndo huwa namwambia habar za nyumban so ataanzaje kumweleza wakat hajawah kumkuta wala kumuona mm ninaoshinda na hao mabint ndo najua sababu wananiambia
kwanza pole kwa hilo lundo la watu humo ndani, pili kuna mdau kashauri uongee na mumeo mumpangie sehemu nyingine ila pia me naona ni vzr ukamwambia mumeo aongee na kaka ake kuhusu hiyo tabia yake, jamanii mumemstiri basi atleast awalipe fadhila kwa kuwaonyesha na kuipa heshima nyumba yenu na pia atambue huo ushenzi wake awe anaufanya huko nje lakini wageni wa humo ndani including ndugu zako na huyo hg ni off-limit, huyo mkimchekea yajayo yanahuzunisha iko siku atakutongoza hata wewe kama sio kukubakia watoto
 
Back
Top Bottom