Shemeji yangu anatongoza ovyo wadogo zangu.

Wakuu niende kwenye mada.
Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman

Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa kaz na ndugu yke (Mume wangu) akiwa bado anatafutiwa cha kufanya muda wote anashinda home ni kubadili Chanel anangalia TV kwanzia asbh mpaka jion, na huyu sio wa kuondoka Leo wala kesho maana amekuja full na kila kitu chake tumempa chumba kabisaaa,

Alikua na maisha mazur sana kushinda hats sisi nyumba magar na nimaarufu sana huko tarime walimuita majina yote ya kipaaa lakin mambo yalimuharibikia akauza vyote sasa hv amechoka mbaya ndo yupo kwangu na wanawe wawili

Sasa kitu kinachonikwaza na kuniuma sna amekua mtu wa kutongoza tongoza ovyo, ndugu zangu wa kike wakija lazima atawatongoza. Kuna mdogo wangu mmoja alimtongoza akaniambia nikamsih sana achana nae kwan ni mtu ana mkewe na mkewe yupo kwao ameenda jifungua atakupotezea muda na bado ni muhun sana kila nikija na rafik yangu atawachangamkia mala wamepeana no, yule dogo naona sasa hv kakolea nashem wangu muda wote wanachat, nimeachana nae ni mkubwa na anajielewa akipata anachotaka atatulia

Sasa hv amehamia kwa Dada wa kazi, mm na mume wangu hatushindi nyumban tunarudi jion, wanabak wenyewe na watoto tu, huyu bint nilianza kuona changes Mr, akaniambia ongea na huyu bint kakaangu ni fisi huyo akupata matatizo kwangu hakai hapa, nikaongea nae akasema sawa nimekuelewa Dada,

Juz nimerud namkuta bint kanivalia Tait na kitop na nyuma bint kajaaliwa, Shem wangu yupo kwenye sofa miguu juu anatingisha anakunywa juicy nikawasalimia bint kuniona akaenda vaa kanga, sikumsemesha nikaendelea na mambo yangu ya jikon yy muda wote hajafanya kaz yoyote kajikwatua wanachek movie tu

Kunachoniumiza huyu bint ni yatima nimemtoa kwenye mazingira magumu Sana, alikua anapalilia mashamba ya watu ndo apate pesa ya kula na bibiake nawaza nikimrudisha kwao atakuaje c atapata mimba akateseke na bibiake ananitegemea mm kupitia mshahara wake nilimchukua mdogo hat kusoma hakusoma, lakin nimekaa nae na nimemsaidia mengi lakin ndo hivyo cjui balehe inamchanganya sielew namfanyaje

Na huyu shemeji kumfukuza cwez ni kakaake na Mr wangu, na familia yote inamjua kwa tabia zake nifanyeje kumnusuru huyu bint, maana anajua kumtreat huyu bint mala amsaidie kuosha vyombo, yaan anajiweka karibu nae na mm najua mwisho wa yote atamgonga tu.

Nifanyaje jaman nisaidien nikimfukuza mkoo mzima utasema sitak ndugu wa mume na hapa ninaishi na mashemeji wawili ukiongeza nayy watatu na mama mkwe na wajukuu wa wili

Hupaswi kukaa na ndugu za mme kwa mda mrefu kama hawana mkakati wa kaondoka! Hiyo ndoa itavunjika
 
.achana nao usijichoshe kbs ila ongea na huyo bint akipta mimba ajue kibarua kimeishia hapo huwezi kuwachunga watu wazima utajitesa tu
 
Na kama mna watoto wenu.. na nyie mnarudi usiku
Huyo baba mkubwa atawatafuna mbaki na siri za familia..
Uyo shemeji yako hata wewe ungekua unashinda nyumbani angekuomba cha kukuomba
 
Ongea na mume wako kama mama mwenye nyumba,mjibane vyovyote iwezekanavyo mumpangie sehem mbali na hapo kwenu akafie huko....Mkimuendekeza huyo atakuja kukutia mimba mpaka wewe mwenyewe.
Ni ushauri murua kabisa huu.
 
Ha ha yani mnamtafutia chakula, ale ashibe na amtie dada yenu wa kazi kwenye sebule yenu, tena alivyo hana adabu kwenye sofa la baba [emoji23][emoji23] maisha ya aina gani haya mnaendekeza??
 
Kwahiyo bi dada, kwamba unataka ugongwe na wewe au roho inakuuma kwa nini?
Yaani mnatagemea akale wapi sasa na mkewe kaenda kujifungua? Halafu ni mwanaume rijali, anakula vizuri milo yote, juice na maji ya kutosha juu, hafanyi kitu cha kumchosha so mwili upo tu umerelax.
Hivi haujui kwamba an idle mind is the devils workshop?
Acha wivu dada. Ipo siku utatongozwa na wewe
 
"Kama kajaaliwa hata mm nimejaaliwa mkuu, msitetee maovu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee
 
Switch binti wako wa kazi na ndugu yako.. huyo wa nduguyo awe mbaya mbaya!
 
"Kama kajaaliwa hata mm nimejaaliwa mkuu, msitetee maovu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee
[emoji16][emoji16] kwa hiyo anaona wivu kwa nn kajaliwa na yeye zaidi ya wote ila mkaka kakomaa na wengine tu...alisema pale juu wanawake wana wivu ndo nimemuelewa sasa
 
Wakuu niende kwenye mada.
Ninaishi na mashemeji zangu na mama mkwe wangu, wote wapo kwangu tunaishi kwa furaha kabisa na aman

Mwez ulioisha alikuja shemeji yangu mwingine kwa lengo LA kutafutiwa kaz na ndugu yke (Mume wangu) akiwa bado anatafutiwa cha kufanya muda wote anashinda home ni kubadili Chanel anangalia TV kwanzia asbh mpaka jion, na huyu sio wa kuondoka Leo wala kesho maana amekuja full na kila kitu chake tumempa chumba kabisaaa,

Alikua na maisha mazur sana kushinda hats sisi nyumba magar na nimaarufu sana huko tarime walimuita majina yote ya kipaaa lakin mambo yalimuharibikia akauza vyote sasa hv amechoka mbaya ndo yupo kwangu na wanawe wawili

Sasa kitu kinachonikwaza na kuniuma sna amekua mtu wa kutongoza tongoza ovyo, ndugu zangu wa kike wakija lazima atawatongoza. Kuna mdogo wangu mmoja alimtongoza akaniambia nikamsih sana achana nae kwan ni mtu ana mkewe na mkewe yupo kwao ameenda jifungua atakupotezea muda na bado ni muhun sana kila nikija na rafik yangu atawachangamkia mala wamepeana no, yule dogo naona sasa hv kakolea nashem wangu muda wote wanachat, nimeachana nae ni mkubwa na anajielewa akipata anachotaka atatulia

Sasa hv amehamia kwa Dada wa kazi, mm na mume wangu hatushindi nyumban tunarudi jion, wanabak wenyewe na watoto tu, huyu bint nilianza kuona changes Mr, akaniambia ongea na huyu bint kakaangu ni fisi huyo akupata matatizo kwangu hakai hapa, nikaongea nae akasema sawa nimekuelewa Dada,

Juz nimerud namkuta bint kanivalia Tait na kitop na nyuma bint kajaaliwa, Shem wangu yupo kwenye sofa miguu juu anatingisha anakunywa juicy nikawasalimia bint kuniona akaenda vaa kanga, sikumsemesha nikaendelea na mambo yangu ya jikon yy muda wote hajafanya kaz yoyote kajikwatua wanachek movie tu

Kunachoniumiza huyu bint ni yatima nimemtoa kwenye mazingira magumu Sana, alikua anapalilia mashamba ya watu ndo apate pesa ya kula na bibiake nawaza nikimrudisha kwao atakuaje c atapata mimba akateseke na bibiake ananitegemea mm kupitia mshahara wake nilimchukua mdogo hat kusoma hakusoma, lakin nimekaa nae na nimemsaidia mengi lakin ndo hivyo cjui balehe inamchanganya sielew namfanyaje

Na huyu shemeji kumfukuza cwez ni kakaake na Mr wangu, na familia yote inamjua kwa tabia zake nifanyeje kumnusuru huyu bint, maana anajua kumtreat huyu bint mala amsaidie kuosha vyombo, yaan anajiweka karibu nae na mm najua mwisho wa yote atamgonga tu.

Nifanyaje jaman nisaidien nikimfukuza mkoo mzima utasema sitak ndugu wa mume na hapa ninaishi na mashemeji wawili ukiongeza nayy watatu na mama mkwe na wajukuu wa wili
Pole sana, sio wewe tu wako wengi wa aina yako. Lakinia fanya ifuatavyo.

1. Wape wadogo zako na dada wa kazi wanaotongozwa elimu sahihi ya kutosha kuhusu elimu ya uzazi na madhara yanayoweza kusababishwa na kufanya ngono. Njoo inbox nauza vitabu vilivyosaidia wengi kwenye hili.

2. Msimbane sana hapo nyumbani huyo dada wa kazi. Baada ya kumpatia elimu ya kutosha kuhusu afya ya uzazi mruhusu siku za weekends naye akasalimie ndugu na marafiki popote waliko hapo mjini ila umpangia na muda maalumu wa kurudi nyumbani. Huko anakokwenda kutembea atapata uhuru wa kukutana na watu mbalimbali wa rika na hadhi yake. KUMBUKA KUWA hata dada wa kazi ni mwanamke pia anzo sifa zote na mahitaji yote ya wanawake. Kama ukimfungia hapo nyumbani basi atakuwa na option moja tu ama ya huyo shemeji yako au mume wako. Sasa chagua kati ya shemeji na mume wako.

3. Muite shemeji yako umwambie kuhusu tabia zake zote usizozipenda. Mweleze kuwa wewe nakupenda ila tabia zako unazichukia, na mwambie chanzo chako cha taarifa ili akae akijuwa kuwa watu anaowatongoza wanatoa taarifa kwake. Mshirikishe mume wako

4. Asiyefanya kazi na asile, kwavyovyote vile huyo jamaa ni lazima aondoke nyumbani kwenu. Na sio huyo shemeji yako tu bali hata baba yako mazazi, kaka yako, mjomba wako au babu yako kabisa anaweza pia kutembea na watoto wako, dada wa kazi na hata dada zako. HIVYO USISEME hivyo kwakuwa ni shemeji yako bali hata kama angekuwa kaka yako wewe wa damu hali ingekuwa hiyohiyo tu pia. Mpeni muda maalumu wa kuondoka, usilalamike chukua hatua leoleo.
 
Tatizo naliona kwa mumeo, mwambie awe mwanaume
Cha msingi ni kujitahidi huyo shemeji yako aondoke hapo, mwanaume anashindaje ndani akiangalia tv tu, si akabebe hata zege huko!!!
Zungumza na mumeo.
Shemeji kwema?
Tatizo lipo kwa mama mkwe, anaishi na watoto na wajukuu zake utadhani yupo kwa mme wake.
Mwenye nyumba hana kauli(ndio maana tatizo analisukumizia kwa mke ili alitatue) dhidi ya kaka yake mbele ya mama yao, kisa kaka alikuwa na uwezo na si ajabu aliwasaidia enzi zake,maana yake itakuwa kama anasimangwa/ana nyanyaswa kaka mkubwa, ikitokea kaka mdogo akavimbisha "kibesi" kaka mkubwa atawaka kukwepa dharau, songombingo litapanda, mama yao presha/sukari itapanda juu, atazimia...
Wanandugu watapatana kumuuguza mama yao, mke (kaka mkubwa atatakaswa dhambi zake) atachukiwa kwa kusababisha migogoro isiyo isha.

Njia nyepesi ni mama kumhamishia (huwa nampenda sana mama japo alisha tangulia) nyumba nyingine au arudi kwake pamoja na watoto wa kaka mkubwa.
Sasa hilo jinamizi likibaki nanyoshana nalo hata kwa ngumi...
 
Nauchukia sana huu mfumo wa ndugu kujazana sehemu Moja. Mnawanyima sana uhuru watoto wenu.

Mumeo afukuze abakishe mama ake
 
Mkodishieni chumba mbali na nyumbani ,,mumuhudumie mpaka atakapopata kazi.Huyo jamaa atakuja kuwabaka /lawiti hata watoto wako.Kuweni makini
 
Kwahiyo bi dada, kwamba unataka ugongwe na wewe au roho inakuuma kwa nini?
Yaani mnatagemea akale wapi sasa na mkewe kaenda kujifungua? Halafu ni mwanaume rijali, anakula vizuri milo yote, juice na maji ya kutosha juu, hafanyi kitu cha kumchosha so mwili upo tu umerelax.
Hivi haujui kwamba an idle mind is the devils workshop?
Acha wivu dada. Ipo siku utatongozwa na wewe
Muombe sana Mungu usipitie maisha ya ndoa na familia kwa ujumla. Komenti yako inaonyesha upo kwenye hatua za kutafuta maisha hauja fikia hatua ya kuyatengeneza maisha ambayo msingi wake ni amani (kuwa na mke/mme unaependana nae) na furaha (watoto wenye afya njema)
 
Shida sio wivu Nokia83 shida yule bint bado mdogo angekua mtu anaejielewa ningesema sawa tu, labda wangeoana sasa mtu ana make na watoto na hana feature yoyote unataka amualibie mtoto wa watu ambae bado hajaona dunia ilivyo, angekua huyo bint ndugu yko au mdogoako ungesema hivyo

Mbona yule mdogoangu mwingine alivyotongozwa akamkubalia niliachana nae coz najua ni mtu mzima anajua baya na zuri anajua kujirinda pia.

Kama kajaaliwa hata mm nimejaaliwa mkuu, msitetee maovu
weka picha yako na ya huyo dada wa kazi.
bila picha tutaona ni wivu tu.
 
Shemeji kwema?
Tatizo lipo kwa mama mkwe, anaishi na watoto na wajukuu zake utadhani yupo kwa mme wake.
Mwenye nyumba hana kauli(ndio maana tatizo analisukumizia kwa mke ili alitatue) dhidi ya kaka yake mbele ya mama yao, kisa kaka alikuwa na uwezo na si ajabu aliwasaidia enzi zake,maana yake itakuwa kama anasimangwa/ana nyanyaswa kaka mkubwa, ikitokea kaka mdogo akavimbisha "kibesi" kaka mkubwa atawaka kukwepa dharau, songombingo litapanda, mama yao presha/sukari itapanda juu, atazimia...
Wanandugu watapatana kumuuguza mama yao, mke (kaka mkubwa atatakaswa dhambi zake) atachukiwa kwa kusababisha migogoro isiyo isha.

Njia nyepesi ni mama kumhamishia (huwa nampenda sana mama japo alisha tangulia) nyumba nyingine au arudi kwake pamoja na watoto wa kaka mkubwa.
Sasa hilo jinamizi likibaki nanyoshana nalo hata kwa ngumi...
Salama kabisa shemeji.

Narudia tena, shida hapa ni mumewe.
 
Shida sio wivu Nokia83 shida yule bint bado mdogo angekua mtu anaejielewa ningesema sawa tu, labda wangeoana sasa mtu ana make na watoto na hana feature yoyote unataka amualibie mtoto wa watu ambae bado hajaona dunia ilivyo, angekua huyo bint ndugu yko au mdogoako ungesema hivyo

Mbona yule mdogoangu mwingine alivyotongozwa akamkubalia niliachana nae coz najua ni mtu mzima anajua baya na zuri anajua kujirinda pia.

Kama kajaaliwa hata mm nimejaaliwa mkuu, msitetee maovu
Una busara na hekima ya hali ya juu sana!! Hongera. Tafuteni njia ya kumtoa huyo fisi.
 
Back
Top Bottom