Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Habari wanaJF,

Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.

Kwako shemeji Mkurya,

Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu yupo kwa ulichomfanyia dada angu. Nataka nikupe taarifa tu kuwa alopewa kapewa na kama kikitoka kimoja huwa vinarudi zaidi ya kumi.

Baada ya kumuoaa dada angu ukakaribishwa home ukawa unalelewa zaidi ya mimi mdogo wa mtu. Familia yetu ilikutunza kama mtoto mchanga mpaka vocha ukawa unanunuliwa ila shemeji shukrani huna, ulijivika ngozi ya kondoo dada angu kakuogesha ukatakata na sasa una shine mjini umejisahau.

Wewe wa kumletea dada angu mke mwingine ndani wakati nyumba ni ya dada angu na kila kitu ni cha kwake? Yaani aiseee ulichokifanya kimeumiza saana familiaaa yetu.

Umesahau baba na mama ndo walokulipia ada yako ya masters baada ya kujifanya wewe ni mtu wa shida sana? Umesahau mama alikununuliaa kila kitu ili uonekane na wewe mwanaume wa mjini? Daah shemeji hakika umefika mjini nakuaandikia kwa kuwa najuaa ujumbe utakufikiaa.

Kupata kazi usidhani ndo umeyapatiaa maisha na kuleta jeuri. Kumbuka ulikuwa unanunuliwaa mpka boxer manake ulikuwa hujui boxer ni nini zaidi ya kuvaaa machupi mtu mzima? Majibu yako na matusi yameisikitisha familiaa na tulichoamua ni kuwa dada angu hatorudi tena kwako na sisi hatutaki kukuona tena na mwanao hutakaa umuone tena wala mkeo hutakaa umsikie tena. Jiandae kwa talaka ya kanisani.

Mwanaume gani wewe ndoa haina miaka 3 ushaingiza mke mwingine ndani? Kwanza tulikukataaa familiaa nzimaa ulivyokuja kama msukule ila dada angu na kiherehere chake akakung'ang'aniaaa na kujifanya kakupenda wewe tu.

Sasa hatma yako imefika, hatukutaki home wala hatutaki kukusikiaa from now onwards, usije niuliaa dada angu akati tupo wawili tu kama macho, ila kumbuka shida hazina mwisho kila kitu chetu twaja chukuaaa shemeji usiyejielewaaa.

From your brother inlaw,

Jerome j.k
Ndoa sio kumuogesha na kujenga nyumba,anyejua mapungufu ya dadako ni shemegi yako maana we u namjua nje tu lakini mwenzio anamjua ndani,kuna samaki ukiwauliza watu wa tanga wanmfahamu anaiitwa kangaja,isijekuwa dadako akibaki na shemegi yako kuna pweza au kangaja nyumba nzima!usimlaumu tafadhali
 
Kama mwanzoni mlimuona msukule ila kutokana na mapenzi ya dada yako kwake mkamkubali naamini hata sasa wakipatana na we we utakuwa hna jinsi zaidi ya kumkubali shemeji
 
Ila mi niliwahi kuwaambia wadogo zangu, yani siku ukiwa na boyfriend sijui akanyanyua mkono kukupiga..walai kama unampenda sanaaaa basi hakikisha sifahamu la sivyo sitojali ni baunsa kiasi gani ila nita deal na yeye sawia!!!

Somehow nakuelewa..ila ndo maisha...think positively, kila jambo lina jema lake! (ingawa ni ngumu kukubali)
Wewe vipi, ya dada yako hutamuachia dada yako?!
 
I think everyone misquoted me.

- "akiniambia" that should be the keyword.

- pili "boyfriend" sio mume.

- Ya ndoani ni mengi ingawa pia tunarudi kwenye point ya kwanza "akiniambia" it simply means na yeye yamemshinda. Hakuna binadamu anayestahili kupigwa I believe hata kama kakosea, tena mtu mzima mwenzako!
 
Jambo blue is the colour?
Kama ni boyfriend unaweza Fanya lolote lkn km sister ana ndoa halali uwe mpole tu
Inategemea wewe hukuona Soni Corleone alivyogawa kichapo kwa yule mshenzi aliyemuoa dada yake ?
Halafa kama haitoshi Michael Corleone akamnyongea mbali huko

Au hayo mambo yapo kwenye muvi tu ?
 
Dada yako alikuwa ananisimanga,kuninyanyasa na vitisho kibao na akanisingizia nilimuingilia kinyume na maumbuile,kaeni mumuonye,,mume hatukamwi
 
Ndgu yangu ulijuaje mpaka chupi ananunuliwa ila we mfukunyuku kweli..pole
 
Habari wanaJF,

Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.

Kwako shemeji Mkurya,

Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu yupo kwa ulichomfanyia dada angu. Nataka nikupe taarifa tu kuwa alopewa kapewa na kama kikitoka kimoja huwa vinarudi zaidi ya kumi.

Baada ya kumuoaa dada angu ukakaribishwa home ukawa unalelewa zaidi ya mimi mdogo wa mtu. Familia yetu ilikutunza kama mtoto mchanga mpaka vocha ukawa unanunuliwa ila shemeji shukrani huna, ulijivika ngozi ya kondoo dada angu kakuogesha ukatakata na sasa una shine mjini umejisahau.

Wewe wa kumletea dada angu mke mwingine ndani wakati nyumba ni ya dada angu na kila kitu ni cha kwake? Yaani aiseee ulichokifanya kimeumiza saana familiaaa yetu.

Umesahau baba na mama ndo walokulipia ada yako ya masters baada ya kujifanya wewe ni mtu wa shida sana? Umesahau mama alikununuliaa kila kitu ili uonekane na wewe mwanaume wa mjini? Daah shemeji hakika umefika mjini nakuaandikia kwa kuwa najuaa ujumbe utakufikiaa.

Kupata kazi usidhani ndo umeyapatiaa maisha na kuleta jeuri. Kumbuka ulikuwa unanunuliwaa mpka boxer manake ulikuwa hujui boxer ni nini zaidi ya kuvaaa machupi mtu mzima? Majibu yako na matusi yameisikitisha familiaa na tulichoamua ni kuwa dada angu hatorudi tena kwako na sisi hatutaki kukuona tena na mwanao hutakaa umuone tena wala mkeo hutakaa umsikie tena. Jiandae kwa talaka ya kanisani.

Mwanaume gani wewe ndoa haina miaka 3 ushaingiza mke mwingine ndani? Kwanza tulikukataaa familiaa nzimaa ulivyokuja kama msukule ila dada angu na kiherehere chake akakung'ang'aniaaa na kujifanya kakupenda wewe tu.

Sasa hatma yako imefika, hatukutaki home wala hatutaki kukusikiaa from now onwards, usije niuliaa dada angu akati tupo wawili tu kama macho, ila kumbuka shida hazina mwisho kila kitu chetu twaja chukuaaa shemeji usiyejielewaaa.

From your brother inlaw,

Jerome j.k
Sasa mkuu mbona povu any way mambo ya wawil ni yao kwan katu usitie mdogo wakija patana utaumbuka na hili bandiko lako hapa
 
Kaka wewe ndo unatoa conclusion au dada yako ndo mwenye maamuzi'mapenzi ni kitu cha Ajabu watakapokuja kuyamaliza wakasameheana sijui utasemaje, siku nyingine weka akiba ya maneno kabla ya kupost huku.
 
Daaah..!!! We jamaa bana.

1. Umeongea kidada sn. Nilipokuwa nasoma nilijua ni binti. Sorry for that.

2. We bado ni mtoto sn.

3. U are not a "REAL MAN". Real men hatupo hivyo.

4. Una element za ushoga. Kumbuka sio kila aliyelala amepumzika. So kuvaa kwako suruali na mashati sio kigezo.

5. Mahusiano ya dada yako hayakuhusu. Kuwa wawili sio kigezo. Ndo tatizo la vitoto vya familia bora.

6. Wewe ni mtoto wa kiume, ukikua utayakuta haya mambo. Acha kulialia kma mtoto wa kike
 
Kweli kuishi kwingi kuona mengi. You are barking up the wrong tree on this one kid!
 
Hebu muulize dada yako aiku ile alipovunja simu yangu ,simu ilikuwa imemkosea nini? Mbona nilipowaletea mashtaka mlishindwa kumuonya?
 
Mkuu hopefully unatania.........Ila kama kweli wewe ndiye mtuhumiwa wa hili tukio, jaribu kujizuia. Don't air out your dirty laundry online trying to justify yourself kwa watu (behind the keyboards) that you owe no explanation to. It's just not worth it!
 
Mkuu that is your opinion,I dd not start it,the guy dd,I am trying to show him what he and his family failed to fulfil .Instead of taking things accordingly,he has just come to seek for public sympathy.
 
Ndo maana ukaambiwa tenda mema uende zako.tatizo la wabongo tunangoja shukrani kitu ambacho utakaa ukipate mileleeee
 
Mkuu that is your opinion,I dd not start it,the guy dd,I am trying to show him what he and his family failed to fulfil .Instead of taking things accordingly,he has just come to seek for public sympathy.

Still...................the difference is;
  • You are a father of two vs. he, who I assume is still quite young!
  • Stooping down to his level serves nothing but rather proves you may indeed be a______________ like he claimed
 
Back
Top Bottom