Shemeji lamba haraka....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Mume alienda shambani akamuacha mkewe na ndugu yake nyumbani,aliporudi hakuwakuta nyumbani, mara akackia sauti kutoka chumbani "SHEMEJI LAMBA HARAKA TUMALIZE NATAKA NIKAOGE, Mume kuckia vile aliufungua mlango kwa hasira akawakuta wanacheza KARATA.. mume hoii.....!
 
hahahahahaaaaaaa boflo bwana sasa chumbani ndo pa kuchezea karata? hayo mengine sasa, chumba na kiheshimike.
 
wako shambani, nyumba ina vyumba 2 , uwani jua kali na kuna wadudu
 
Labda chumba chenyewe ndio nyumba, sebule hapohapo na jiko hapohapo.
 
wanacheza karata chumbani?
 
Boflo....karata chumbani...:nono: wana kesi ya kujibu. :lying:labda kama ni nyumba ya chumba kimoja
 
Last edited by a moderator:
Labda chumba chenyewe ndio nyumba, sebule hapohapo na jiko hapohapo.

PHP:
Mume alienda shambani akamuacha mkewe na ndugu yake nyumbani,aliporudi hakuwakuta nyumbani, mara akackia sauti kutoka chumbani "SHEMEJI LAMBA HARAKA TUMALIZE NATAKA NIKAOGE, Mume kuckia vile aliufungua mlango kwa hasira akawakuta wanacheza KARATA.. mume hoii.....!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…