Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
Hebu tuchukulie kwamba, unaye shemeji yako, yaani mdogo wa mke wako, ambaye ni mwanamke mnayeishi naye nyumbani. Inatokea kwamba, huyu binti amekufumania na mwanamke mwingine.
Wewe unamwomba kwamba, asimwambie dada yake, yaani mkeo. Anakubali baada ya kumbembeleza sana. Lakini, pia anakupa masharti kwamba, ili asiseme kuhusu fumanizi hilo, inabidi uwe upande wake kila dada yake (Mkeo) akiwa anamfokea, kumlaumu au kufanyia lolote baya. Je hebu niambie , kama ni wewe ungefanya nini kwenye mazingira kama haya?