jidula mabambasi
Senior Member
- Jan 26, 2016
- 125
- 102
Sio poa kabisa tela usinge lileta hilo kwa sababu ushamkosea sana best yako ndio mana mi nishamkataza wife hata kukopa chimvi kwa ajili mitindo hii
4*50,000 = 200,000... so for that case that means umebakiza mara mara tatu deni liishe ...
hivi lakini kungonoka watu imekuwa kawaida kabisa hata hatuheshimu ndoa zetu tena ?kazi kweli kweli

mkuu kitendo cha kumkuta kavaa kimtandio ungekimbia .. jambo lingine weka akilini mwako ukimkopesha mwanamke hakikisha usifanye nae ngono .. ukigusa tu papuchi jua umekosa hela yako"...ila nn yy ndie alinirubuni na kunishawishi, mm sikua na nia nilimkuta kajifunga mtandio tu bila chochote ndani..."
Yaani tunajipa sababu za kutotunza viapo vya ndoa; yaani mwanamke akivaa mtandio tu tatizo?
Kwani kambaka?Ubinadamu kazi, unaamua kumlala mke wa rafikio kisa pesa, je siku wakifanya hivyo kwako utajisikiaji?
kwa karibu miezi minne sasa hali yangu kiuchumi imeimarika mara dufu, hii imepelekea rafiki yangu wa karibu kuja kuazima cash mara kwa mara kwangu
Sasa mkewe ni mfanyabiashara, na nna ukaribu na wote wawili, huyu dada watu wa mikopo walikuja saloon kwake kukamata vitendea kazi kwa kua hakupeleka marejesho, ndipo akanipigia simu nimsaidie, 350,000/= ili wasichukue vitu, kuwa atanirudishia, nikamtumia hapo hapo kwa M_pesa
Basi siku moja akaniita nyumbani, nikaenda nikijua mshikaji nae yupo, na pia nikajua naenda kupewa hela, nasikitika kufika pale bila kukusudia tukatenda dhambi, ila nn yy ndie alinirubuni na kunishawishi, mm sikua na nia hiyo, nilimkuta kajifunga mtandio tu bila chochote ndani,
Tumeshatenda dhambi kama mara nne hivi, na sasa hivi kasema nikiwa namuhitaji niwe namueleza tu tunaenda sehemu tunamalizana ila hela yy hana, kwamba hadi nitakapochoka mwenyewe au nitakapoona hela imeisha
Sasa wadau kwa hali hii nitapataje hela yangu na mm nimeitoa kwenye mzunguko wa biashara, mshikaji analijua hili deni maana siku watu wa mikopo walipoenda kukamata vitu vya mkewe yy ndie alimshauri anijaribu mm, sasa hivi nikimkumbusha mshikaji deni anasema nimwambie mwenye deni mwenyewe
Sasa hizi ndugu zangu si lawama? Au niendelee tu kupumzika na mkewe hadi nitosheke?
ila nn yy ndie alinirubuni na kunishawishi, mm sikua na nia hiyo, nilimkuta kajifunga mtandio
Hihihihihih watu kwa mahesabu hawajambokimsingi umeshalipwa deni lako kwani umeshafanya mara nne @ 87,500: Hivyo 87,500 * 4 = 350,000. Deni limeisha nenda nyumbani🙄🙁