msalala kwetu
Member
- Jan 29, 2016
- 71
- 77
Alikushawishi? Kivipi?
"...ila nn yy ndie alinirubuni na kunishawishi, mm sikua na nia nilimkuta kajifunga mtandio tu bila chochote ndani..."
Yaani tunajipa sababu za kutotunza viapo vya ndoa; yaani mwanamke akivaa mtandio tu tatizo?
Naam..mwosha huoshwa!Sheikh unaweza kutafunwa na ww..Kuwa makini..Huyo jamaa atakuwa anajua kinachoendelea..Anakulia timing tu
Hivi wewe ni pacha wake na RUbii??🙄Hihihihihih watu kwa mahesabu hawajambo
kumbe ndo huyu mganga feki aliyestàfu ana dawa ya kurefusha uume kuwa kama wa punda na kuwafanya madem wajisike nanii mwanzomwanzo tusheikh yasin yule maza mliachana? Ambae kijana wake wa chuo alikua hakuheshimu