Shemeji hataki kulipa deni anadai tumalizane tu

Shemeji hataki kulipa deni anadai tumalizane tu

4*50,000 = 200,000... so for that case that means umebakiza mara mara tatu deni liishe ...

hivi lakini kungonoka watu imekuwa kawaida kabisa hata hatuheshimu ndoa zetu tena ?kazi kweli kweli
Duh....kumbe ndio bei hiyo ya wake za watu...!!
 
Umelala naye mara nne ushauri wangu ongeza mara 3 ile iwe saba . Ukigawanya utaona kuwa umelipa 50000 kwa kila mechi ambayo ni malipo reasonably kabisa. Kulipwa sahau tena ukiendelea kumsumbua atamwambia mmewe unamtaka, we piga tu tena mkunje vizuriiii... Na mm nataman nimkopeshe mke wa mtu.

Duc in Altum
Dah
 
Mumewe akiwa ni member humu atakuwa amekusoma na maisha yako yapo hatarini sasa.
 
Halafu hizi chai zenu kwakweli zinachosha sana wakati mwingine!
Haiwezekani kuja kutangaza unzinzi humu eti ulirubuniwa, nasema hivi wewe hukuwa na shida na hela tamaa yako ilikua ni hiyo mbuchuchu ya shemeji yako tu!
Endelea bwana!
 
Hahahaa ndoa hizi,huyo mume nae anakujibu mdai mwenye deni teh... We ndio unadaiwa ameshakupa mara nne mrudishie chenji
 
kwa karibu miezi minne sasa hali yangu kiuchumi imeimarika mara dufu, hii imepelekea rafiki yangu wa karibu kuja kuazima cash mara kwa mara kwangu

Sasa mkewe ni mfanyabiashara, na nna ukaribu na wote wawili, huyu dada watu wa mikopo walikuja saloon kwake kukamata vitendea kazi kwa kua hakupeleka marejesho, ndipo akanipigia simu nimsaidie, 350,000/= ili wasichukue vitu, kuwa atanirudishia, nikamtumia hapo hapo kwa M_pesa

Basi siku moja akaniita nyumbani, nikaenda nikijua mshikaji nae yupo, na pia nikajua naenda kupewa hela, nasikitika kufika pale bila kukusudia tukatenda dhambi, ila nn yy ndie alinirubuni na kunishawishi, mm sikua na nia hiyo, nilimkuta kajifunga mtandio tu bila chochote ndani,
Tumeshatenda dhambi kama mara nne hivi, na sasa hivi kasema nikiwa namuhitaji niwe namueleza tu tunaenda sehemu tunamalizana ila hela yy hana, kwamba hadi nitakapochoka mwenyewe au nitakapoona hela imeisha

Sasa wadau kwa hali hii nitapataje hela yangu na mm nimeitoa kwenye mzunguko wa biashara, mshikaji analijua hili deni maana siku watu wa mikopo walipoenda kukamata vitu vya mkewe yy ndie alimshauri anijaribu mm, sasa hivi nikimkumbusha mshikaji deni anasema nimwambie mwenye deni mwenyewe
Sasa hizi ndugu zangu si lawama? Au niendelee tu kupumzika na mkewe hadi nitosheke?
Sio mbaya ukimalizia na 0713 aliumalizie na chenji iliyobaki..[emoji12] [emoji12]
 
Wewe jamaa una shida sana aisee. Umekula mzigo tayari. Kwani yule jimama lako vipi?
 
Mumewe akiwa ni member humu atakuwa amekusoma na maisha yako yapo hatarini sasa.
Kama hii habari ni ya kweli basi huu ni ushahidi wa wazi kabisa
-kiasi cha pesa kilichotumwa
-kazi ya bibie
-watu wa mikopo
-urafiki wao na ukaribu wao
-kumbushio la deni
 
Kama hii habari ni ya kweli basi huu ni ushahidi wa wazi kabisa
-kiasi cha pesa kilichotumwa
-kazi ya bibie
-watu wa mikopo
-urafiki wao na ukaribu wao
-kumbushio la deni
Kama ni kweli habari hii, tutasikia mengine ikiwa mume yupo humu na mpitaji wa mmu. Maana kila kitu kipo wazi.
 
4*50,000 = 200,000... so for that case that means umebakiza mara mara tatu deni liishe ...

hivi lakini kungonoka watu imekuwa kawaida kabisa hata hatuheshimu ndoa zetu tena ?kazi kweli kweli
Amashekula mara nne kwa hiyo chukua 350,000/4 = ? deni litakua limeisha.
 
Huyu jamaa naomba mungu afumaniwe na siku ya kufumaniwa mwenye mke amfumue marinda ili iwe fundisho kwa ufedhuli wake

Tena bila aibu anasema mke wa rafiki yangu mshenzi mkubwa huyu
 
Back
Top Bottom