Shekhe Ponda aachiwa huru

Status
Not open for further replies.
Ni wajibu wa serikali kusafirisha watuhumiwa na kuwapeleka kule wanaohitajika. Hata Mbowe aliwahi kusafirishwa kwa Chopa toka Dar hadi Arusha
unaonyesha kiasi gani serikali ya ccm haitumii akili ile kesi ya mbowe imeishia wapi
 
Poleni sana. Ila unajua tofauti kati ya mashekh na ma askofu ni kwamba ma askofu wameenda shule na ndio maana hata kama wanakula pesa ni sawa acha wale. Hayo ndio matunda ya kusoma. Ila sasa ma shekh ndugu yangu ni shiiidaaah!! Wanajua kufuga ndevu tu na kuzitia hina
 
kwenye wizi hawaongozwi na roho mtakatifu mkuu kanusha hilo

Tunaambiwa hao ni watu wamechaguliwa na Mungu na huwa wanaongozwa na ROHO MTAKATIFU

Niambie baada ya kuiba hawajasemehe watu dhambi zao ????
 
Tunaambiwa hao ni watu wamechaguliwa na Mungu na huwa wanaongozwa na ROHO MTAKATIFU

Niambie baada ya kuiba hawajasemehe watu dhambi zao ????
wanaongozwa na roho mtakatifu katika kutenda mema kwenye wizi ni shetani
 
Aufyate sasa, vinginevyo atarudishwa kunyea debe.
 
Kweli maaskofu wamesomea uongo na wizi, bora wafuga ndevu lakini sio wezi wa fedha zetu.
 
Yaani maaskofu kula hela za WIZI unaona sawa tu, maDINI mengine ovyo kabisa
 
Ponda awe mtulivu kutugawa kidini haifai tuna mambo mengi ya kufanya..upuuzi wa kidini hatutaki
 
msihadae sheikh ponda hajaachiwa ana makosa na hukumu ni kifungo cha nje mwaka. mkimuaminisha ameachiwa bila shaka ataanza kile anachokijua sana...uchochezi wa kidini kwa kujifanya mtetezi wa haki za waislaam wakati hali halisi anaganga njaa.
 
Unaelewa hata unachokiongea?
 
wanaongozwa na roho mtakatifu katika kutenda mema kwenye wizi ni shetani

Kwa hivyo wanaendelea kusamehe watu huku wakiongozwa naroho mtakatifu wakati huohuo wanaiba huku wakiongozwa na shetani???
 
wanaongozwa na roho mtakatifu katika kutenda mema kwenye wizi ni shetani

Kwa hivyo wanaendelea kusamehe watu huku wakiongozwa naroho mtakatifu wakati huohuo wanaiba huku wakiongozwa na shetani???
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…