Thubutuuu hao ndio waganga wa Chama, ndio wanao wachanja baadhi yaEbu tumuulize na yeye inawezekana alikuwa mmojawapo waliomsomea itkaf Kikwete ili yamkute mabaya kwa kutowatetea waislam leo hii kageuka tena je amesahau?
Unafiki, anaacha kulia Lukuvi kuongea ujinga kanisani, Komba kutishia kuingia kichakani, bi Asha kuporomosha matusi bungeni ana lia kumkosoa Mwl. Nyere? Kichekesho.Njaa mbaya sana,muulizeni kama alilia ajali ya basi la LUHUYE juzi.
Kadhi wa mkoa wa dsm, Sheikh hamid jongo, mwakilishi wa kundi la dini katika bunge la katiba ametoa machozi ya uchungu ya kutukanwa waasisi wa taifa hili mwalim j.k nyerere na sheikh abeid karume. Ameeleza kusikitishwa kwake kwa tabia hiyo ya kutoa matusi na kejeli kwa wazee hao yaliyofanywa na baadhi ya wajumbe wa bunge hilo akisema kuwa mtu akishakufa huachwa bila kusemwa vibaya kwa sababu tayari anakutana/amekutana na mungu ambaye ndio hakimu wa kweli.
amelia na kudondosha chozi na kuwaomba wabunge watumie lugha za staha na kistaarabu
Hamid jongo kasahau hata kuongelea mahakama ya kadhi.
Ni dhambi kubwa sana kumtukana aliyetangulia mbele ya haki