asanta sana mkuu kwa uchambuzi wako yakinifu ila bado nina dukuduku! kwa mfano wakija askari hapo kukuchukua kama shahidi kuhusiana na uliyoyaandika, jee utakua tayari kutoa ushirikiano?! kama kweli uliyoyasema yana ukweli ndani yake huoni kama siku ya kiama utapata adhabu kali sana kwasababu unaficha maovu kama haya wakati unawafahamu kabisa wahusika tena sio tu kwa kuambiwa bali kwa kuwashuhudia? ama hakika umenisikitisha sana
We hujui mi ni nani na nnafanya kazi gani!
Kwahio kabla ya kuweka comments zako jaribu kuwa na open mind!
Nadhani kama wewe ni mfuatiliaji wa matukio utakubaliana na mimi kuwa yale matukio ya ulipuaji yalipotokea hapo arusha cha kwanza polisi kuseme ilikuwa ni "WAISLAMU WANAHUSIKA"!
Na waislamu wengi tu hasa waarabu wageni walikamatwa na kuwekwa ndani!
Ulipofanyika upepelezi kidogo tu ikaone kuwa waliofanya tukio SIO WAISLAMU bali ni watu waliovaa mavazi ya kiislamu ili kuwapakazia WAISLAMU!
Na wale waliokamatwa wote walikuwa ni WATALII tu!
Na mpaka serikali za nchi za kiarabu zikatishia kuvunja uhusiano na TZ.
Kitu ambacho serikali yetu njaa haikuweza kukipokea. Ikabidi wahusika wazitake radhi hizo serikali za waarabu na kuwaachia Raia wao na kuwaomba msamaha mkubwa sana!
Leo hii Imamu na mwanae mdogo wanamwagiwa tindi kali ndani ya maeneo ya msikiti!
We hata kama sio askari ukitazama hayo matukio mawili jibu unalipata tu!
Na mi nikipewa kazi ya kutafuta huyo muhalifu basi ntatembeza kipigo kwenye hizo paroko mpaka wamtaje huyo kondoo aliyefanya hivyo!
Cc
faby Izz