Shekhe Arusha Amwagiwa Tindikali

Shekhe Arusha Amwagiwa Tindikali

Status
Not open for further replies.
Wasingekuwepo waislamu wenye busara kama huyu Ustadhi wakristo tungekuwa na hali tete
 
Watu hawa ni balaa hivi TISS wako wapi...........?
 
alqaeda,alshabab,boko haram,hakika hii ni dini ya shetani!

nakuhakikishia dini hazina matatizo, sisi 'wenye dini' ndio tuna tatizo..hakuna dini inayopona ktk maovu, ukipewa visa vya upande wa pili utashangaa,kikubwa tuheshimiane!
 
Hii inshu n ya muda mrefu, na mgogoro ni kwamba yalifanyika mapinduzi hapo msikitini na hivi sasa kuna viongozi wawili wawili kwa kila kiti. kuna uongozi unaotambuliwa na bakwata na uongozi wa suni wale akaina gorogosi wanaaoami hawaendi mbinguni ama hawatoiona pepo bila ya kuchinja wakristo na waislamu wasio unga mkono.hiyo jihadi.Shekhe Mwenyeazi Mungu atakujalia upone upesi wewe na mwanao. Kisha shirikiana na vyombo vya dola kuhakikisha hao wauni wanachukuliwa hatu. huyo mtoto kawakosea nini?
 
kama ni islamic wote haina shida ni waarabu wa pemba hao waelewa kwa vilemba
 
kama ni islamic wote haina shida ni waarabu wa pemba hao waelewa kwa vilemba[/QUOTE

waafrica tunateseka saana... kwenye kila secta tumewrkewa sumu na nchi za magharibi .. sio dini ,sio siasa,sio uchumi yaaani kila maahali hawajatuacha huru..

wametuletea siasa ,sasa hivi zinatutesa ,wameleta dini sasa hivi zinatugawa .. duuh..

bora wasingekuja .. still ungekuta tupo siasa zetu ,amni yetu na namna yetu ya kuabudu ...

nalaumu yote yaliyotokana na ukoloni ..

na jinsi sisi wenye tumeshindwa kuchambua na kugundua haya yote ni mapokezi ,na hakuna aliyebora kati yetu ..
 
huyo sheikh kama kuna kitu anakificha!!!kwa taratibu za misikiti haiwezekani eti aje mgeni tena toka mkoa mwingine aingie msikitini kisha akunyang'anye kipaza sauti atake kuongea ,hilo halipo ,!!!huko mwanza je jihadi ishatangazwa?mpaka aje mkoa mwingine?msimulizi akiwa mmoja habari huwa haikamiliki,nimebaki na maswali mengi bila majibu.

ndo hapo sasa ... yaani iweeje watokee mwanza koote waje wang'ang'ane na Arusha .. ..
je mwanza washatangaza ... mm nadhani hapa kuna beef nyingine sio hilo tu alilolisema
 
Ngongo,
Kusema kweli habari hii naisoma tu ktk magazeti na hata wewe umeshindwa kutufahamisha vizuri kilichotokea.
Ni hivi,
1. Sijui una uhakika gani Sheikh anafanya mihadhara ya kutukuza Jihad kwa maana ipi? na ndio sababu ya kumwagiwa tindikali.
2. Unaposema tembo wanauawa na Sheikh kumwagiwa tindikali sii una maana hawa ni victims sasa inakuwaje sheikh huyo ndiye analaumiwa kumwagiwa tinfikali na mtu ambaye hajulikani.
3. Ikiwa kuna uhakika wa sheikh kuhimiza Jihad dhidi ya Ukristu, huoni kama ni kosa vile vie mkwa mkristu kwenda msikitini kumwagia Sheikh tindikali badala ya ku report uhasama huo kwa vyombo vinavyohusika?

Kifupi mkuu wangu mijadala ya dini ndio iloniondoa humu JF kwa muda mrefu maana kila mtu humu anazungumza kwa imani yake. Na bahati mbaya sana imani yang ya Uislaam ni kwamba hakuna dini ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Islaam (total submmission to God)ila sisi binadamu ndio tumeamua kutunga dini zetu za madhehebu kwa kufuata watu walozianzisha. Ukiweza kunielewa ktk hilo basi hi mijadala ya dini wala usinihusishe maana siamini kwamba Yesu ni Mungu wala Muhammad ni zaidi ya Rasul (mtume) kwa jins wanavyotukuzwa. Mungu ni mmoja hana mfano na ndiye pekee anayetakiwa kuabudiwa.
 
Last edited by a moderator:

Aisee? Pongezi mkuu.
 
Last edited by a moderator:
nakuhakikishia dini hazina matatizo, sisi 'wenye dini' ndio tuna tatizo..hakuna dini inayopona ktk maovu, ukipewa visa vya upande wa pili utashangaa,kikubwa tuheshimiane!

acha uzushi,dini ndio zenye matatizo,hasa din ya mtume mhamedi,km watu ndio wenye matatzo mbona watu wa din nyngne hawana hayo matatzo?nasikia pia mtume mhamedi alikua shoga ndio maana watu wa din yake pia hawana akili.
 
ndo hapo sasa ... yaani iweeje watokee mwanza koote waje wang'ang'ane na Arusha .. ..
je mwanza washatangaza ... mm nadhani hapa kuna beef nyingine sio hilo tu alilolisema

wewe unamjua SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU gaidi linolelewa na magamba!!!/??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom