Shekhe Arusha Amwagiwa Tindikali

Shekhe Arusha Amwagiwa Tindikali

Status
Not open for further replies.
Kama mnavocomment yanapotokea Zanzibar kwa wakristo hawatakiwi Zanzibar,...je tuamini kwamba waislamu hawatakiwi Arusha? kama jibu siyo basi sote na tuamini kwamba haya ni matashi ya watu na si kitu kinachohusiana na Dini...

mkoma tembo. hamna mkristo aliye mkristo anayeweza kumdhuru asiye mkristo...hata kama huyo asiye mkristo atamtukana Yesu kwa aina yote ya matusi mkristo hapasw hata kumgusa kwa ncha ya kidole. yesu akasema nawaachia amri mpya nayo ni upendo. na mtu akimpenda anayempenda yeye afanya ziada gan?maana hata wasio mjua kristo wanatenda hayo hayo...wapenden wanaowaudh,wabarikin wanaowalaan.....kwa hiyo hakuna MKRISTO Anayeweza dai ye MKRISTO anatakiwa amuue au amdhuru asiye Mkristo.
Maana anayeish kwa upanga atakufa kwa upanga....
binadamu..taken sana upendo ndo uti wa Mgongo.
kuhusu zenj....inasemekana na weng kuwa kuna kikund cha watu ambacho hakipend ona wakristo( makafiri) wakiish huko.
 
Padre hajausika kweli hapo??

ungekuwa karib yangu ningekuweka vizibo kinoma.... una leta u.s.e.n.g, juu kila kitu kimeelezwa, unataka kutugawa kwa udini kwanini... cha msingi ni kutatua matatizo haya kwa makini na umoja sio kutugawagawa.
 
Hivi kunani huko ARUSHA? CHADEMA wanaipeleka wapi ARUSHA?
Kweli wewe ni chizi CHADEMA inahusika vipi hapo? kwa maelezo mafupi yaliyotolewa muhusika atakuwa Ustaadhi AbdalaH kwani aliwahi kuwa Mwanza katika zile Arambee zake na kilichoandikwa kwa ufupi katika tukio hili kuna mkono wa shehk kutoka Mwanza
 
Kwa mtu anayeenda kufanya uhalifu kwenda kuichukua shuleeni ye naye atakua professional aisee, afu shule gani igawe tindikali ovyo kimya kimya...
Ndiyo maana nikasema huo uhalifu una sababu zake, suala la kuchunguza zimenunuliwa wapi linaweza kuwa gumu kwa sababu inawezekana kabisa kuna sehemu wanazipata hizo tindikali tena kwa kiasi kikubwa tu.

Na hao wanaowapa huwezi kuwapata kwa kuwauliza tu eti nani alinunua tindikali hapa hivi karibuni, kwani inawezekana wote wakawa wana malengo yanayofanana.
 
Hii imetokea leo asubuh jijin Arusha shekh mkuu amwagiwa tindikali yeye pamoja na mwanae. Wahalifu hao mpaka sasa hawajajulika.

Souce East afrika radio.

kwani wale waliowamwagia watu weupe kule zenj walijulikana?
 
mkoma tembo. hamna mkristo aliye mkristo anayeweza kumdhuru asiye mkristo...hata kama huyo asiye mkristo atamtukana Yesu kwa aina yote ya matusi mkristo hapasw hata kumgusa kwa ncha ya kidole. yesu akasema nawaachia amri mpya nayo ni upendo. na mtu akimpenda anayempenda yeye afanya ziada gan?maana hata wasio mjua kristo wanatenda hayo hayo...wapenden wanaowaudh,wabarikin wanaowalaan.....kwa hiyo hakuna MKRISTO Anayeweza dai ye MKRISTO anatakiwa amuue au amdhuru asiye Mkristo.
Maana anayeish kwa upanga atakufa kwa upanga....
binadamu..taken sana upendo ndo uti wa Mgongo.
kuhusu zenj....inasemekana na weng kuwa kuna kikund cha watu ambacho hakipend ona wakristo( makafiri) wakiish huko.
Pamoja na kuisoma Biblia Takatifu toka Mwanzo mpaka Ufunuo, hakuna sehemu iliporuhusiwa kuua mtu aliye kinyume na Ukristo, ila imeamriwa kumpenda na kumleta kwa Yesu Kristo kwa Upendo.

Tofauti na Vitabu vingine vinavyoamrisha kuua kafiri ili uende Peponi, sasa ukimuua si ndiyo utakuwa umempoteza milele, kwanini usimbadili ili awe kama wewe kwa upole tu.
 
Hivi kunani huko ARUSHA? CHADEMA wanaipeleka wapi ARUSHA?

Ni mtu aliye mwendawazimu pekee awezae kuwahusisha chadema kwenye mambo hayo...

Sisi waislamu tunagombea madaraka kwenye misikiti kila mara...

Kuchapana bakora ni jambo la kawaida kwenye misikiti mingi, pia mapinduzi ni jambo la kawaida..! Hakuna siasa hapo... Acha upuuzi
 
si mlisema ni 2015.au mmeona mziki mnene?

Hakuna cha mziki mnene, hata 2010 CDM ilishinda kwa asilimia 61%. Mlipoona mambo yanakwenda mrama mkaagiza kura matokeo yasitangazwe tena katika vituo mkaanza kukimbia na masanduku!!! Kuna siku mtakutana na nguvu ya umma wakati mkikimbiza masanduku!!! Na 2015 i.e mwaka kesho si mwaka 2010. Tuambie wale vijana Sea View Upanga wataalama wa IT walikuwa wana kazi gani?? Mbaya zaidi washikaji zangu VD walishiriki!!! Hakuna siri chini ya anga!!
 
Ni mtu aliye mwendawazimu pekee awezae kuwahusisha chadema kwenye mambo hayo...

Sisi waislamu tunagombea madaraka kwenye misikiti kila mara...

Kuchapana bakora ni jambo la kawaida kwenye misikiti mingi, pia mapinduzi ni jambo la kawaida..! Hakuna siasa hapo... Acha upuuzi
Aleykum Salaam (samahani sijui spelling zake) but mwambie ukweli kwa kuwa watu sasa wanaleta mchezo. Sisi tunataka tujadili jinsi gani ya kuweka mambo sawa ili hata masuala kama tindikali yasiwepo halafu mwingine anamwaga pumba. Mshamehe mkuu hajui alitendalo, anatumikia buku 7 Lumumba hivyo wao ni kucheua tu ubaya kwa CDM. Si unajua kila sekunde CDM haikauki vichwani na vinywani mwao?
 
Mhusika mkuu ni huyo katibu wa bavicha tawi la unga na mlinzi wa makao makuu cdm arusha mjini
 
Polisi wakamateni haraka hao watu, kabla hawajakimbia naskia mmoja anaelekea dar kwa sasa!
 
Kwanini chadema wamwagie shehe tindikali,what is the motive?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom