mkomatembo
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 1,477
- 816
- Mh Chain alikuwa na udhuru wakati kikao hiki kinaendelea alikuwa anakutana nahawa waliofanya fujo BOKO HALAM aah Alkaida hapana jumuia ya kuamasha dini iliyolala hapana hawa WAHUNI wa UNGUJA msiseme maneno ya kudhani Zanzibar ni nchi kama ilivyo Tanganyika
Jina lako litajibu haya uliyoyasema