Shein akataa uwaziri, asusia kikao

Nasikia haoni kabisa na ukomandoo umeishia jalalani

Aliapa kwamba Seif/cuf hawataingia ikulu wakati wa uhai wake. Naona Israel kamtia upofu asije akaona Maalim anavyopishana na Shein Ikulu. Ingalau aishie kusikia tu, maana hata anayesaini matibabu yake ni adui yake mkubwa aliyewahi kumtia ndani kwa uhaini, lakini sasa ni waziri wa afya tena kwa tiketi ya cuf, Mh. Haji Duni Haji! Naomba tu Israel amuacheache angalau hadi Uamsho utakapofanikisha ndoto yake ya muda mrefu ya kuuvunja muungano!
 
  • Thanks
Reactions: ral

Kwani na yeye baada ya kushika madaraka alikuwa anautaka muungano?
 
Kwa kusaidia tuu, anaesaini matibabu yake ni katibu mkuu na sio waziri!.Waziri ni political post kusimamia utekelezaji wa sera na sio nafasi ya utendaji wa daily running ya wizara!. Anachofanya waziri Duni ni kuwasilisha tuu mahitaji bajeti ya matibabu yake kule BLW na sio kuidhinisha matumizi!.

Pia kwa kuwasaidia wasiojua.

Mawaziri wote wa CUF wakiongozwa na Maalim Seif walio ndani ya SUK, wanatekeleza sera za CCM!.

Ukishakubali kuolewa!, unatekeleza anachotaka bwana wako!. Kwenye SUK, CUF ni mke tuu kama ilivyo Zanzibar kwenye Muungano!.
 
Acha Uzushi na Uongo; Mkutano wa Baraza la Mawaziri Rais wa Zanzibar haudhurii, hiyo imebadilishwa toka Mwinyi alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Mkuu nngu James Bond, nilidhani unaweza kumuita mtu mzushi kwa jambo lenye uhakika nalo!. Ni kweli Mwinyi alipokuwa rais hakuwa waziri asiye na wizara maalamu kwa tayari ndie aliyekuwa ana chair cabinet!. Lakini tangu tulipomnyofoa rais wa Zanzibar asiwe makamo, siku zote rais wa Zanzibar ni waziri boya tuu ili aweze kuhudhuria cabinet!.
 
... Close to hit the point!!!:hatari:
Yeah, he is the president of Republic of Zanzibar, he has his government and cabinet! so why do people mind his absence in Tanganyika's cabinet? Let him work for his people first, baadae atakuja kama nafasi na nafsi itakuwa inamruhusu.
 
Ndio bye bye hiyo, yaani hata kama inajulikana wazi kuwa dalili za mvua kali ni upepo mkali ila wengine wanabaki kusema kuwa ni mawingu.

Woga wa ccm umeuponza Muungano ,CCM waliona CUF ikishinda Uraisi Zanzibar basi makamo wa Raisi wa Muungano atakuwa ni kutoka CUF ,ndio wakaona Raisi wa Zanzibar awe ni waziri asie na wizara maalum katika Muungano, utumbo huu mwenye akili haukubali na WAZANZIBARI hapa ndipo penye tundu kubwa la kuachana na Muungano ,ndio hapohapo watakapo pata upenyo ,hizo kero zingine ni akiba
Umenena vyema mkuu, CCM ndiyo waloharibu muungano na wanaendelea kuuharibu zaidi kwa kuona muungano kama kete yao ya mwisho kabla ya kuondoka madarakani.
 
Hayo mambo yenu mimim sijui, nataka Tanganyika. Hili baraza la mawaziri utafikiri bunge duhh. Wako wangapi?
 
Kwanini jk asimteue awe mkuu wa wilaya kwani Mimi naiona zenji Kama wilaya tu

Sawa precision. Zanzibar kwako wewe ni wilaya kwa sababu hujaenda shule. :D wilaya hiyo ina cabinet yake full. Sasa Tanganyika kwako ni nini? Maana haina katiba wala haina cabinet! Bora Simba sports club ina katiba na viongozi Tanganyika limebaki jina tu. Sijui Tanganyika utaaita maskani ama shehia. Ngoja nkuachie ujijibu kwanza :D
 
  • Mh Chain alikuwa na udhuru wakati kikao hiki kinaendelea alikuwa anakutana nahawa waliofanya fujo BOKO HALAM aah Alkaida hapana jumuia ya kuamasha dini iliyolala hapana hawa WAHUNI wa UNGUJA msiseme maneno ya kudhani Zanzibar ni nchi kama ilivyo Tanganyika

Tanganyika nchi? Zanzibar ni semi autonomous area, ingawa haina recognition UN lakini ni nchi. Lakini tanganyika je? Sio kitu maana mumejisaliti na kulikataa jina la tanganyika mkawa mnakumbatia utanzania
 
Too much complaints. Hivi ni kitu gani mpaka sasa kimekuwa kikwazo huu muungano usivunjike?

Ni vizuri tukijue ili tukishughulikie na hivyo kuwezesha kutimia kwa ndoto ya Wazenj. I'm puked and fed up now.
 
Mbaona wana ung'ang'ania sana huu muungano husio na faida kwa wananchi?
 
Too much complaints. Hivi ni kitu gani mpaka sasa kimekuwa kikwazo huu muungano usivunjike?

Ni vizuri tukijue ili tukishughulikie na hivyo kuwezesha kutimia kwa ndoto ya Wazenj. I'm puked and fed up now.

Ni ulinzi mkuu si unajua mambo ya bokohalamu na alikaida!
 
Mbona wana ung'ang'ania sana huu muungano husio na faida kwa wananchi?
 
Mkuu kwani hana hata msaidizi wakumuwakilishwa hiki kikao ni muhimu sana kwake!
Hahahah! Mkuu, kumbuka naye ni rais analo baraza lake la mawaziri. Sasa kama kuna jambo mhimu la dharura nchini Zanzibar, aje Tanganyika kufanya nini? Hata ningekuwa mie lazima ningefanya hivyo mkuu kelvito for the interests of my country and her people.
 
Mkuu kwani anatakiwa aitetee nini kati ya Tanzania au Zanzibar? nadhani Tanzania kwanza!
 
Shein is one of the smart guys around...inawezekana alikuwa na udhuru. Hata kama anaunga mkobno kuvunjika kwa muungano, hawezi ku behave kama mtoto mdogo asiyejua maana ya diplomasia.
 
Kwani na yeye baada ya kushika madaraka alikuwa anautaka muungano?
Aliutishia muungano akidai anayatambua yale mambo 11 tuu hivyo akajenga mazingira ya kubadili katiba ya Zanzibar ili aengeze kipindi cha tatu aushughulikiea muungano!. Alishughulikiwa ipasavyo hadi mke akaporwa!.
 
Back
Top Bottom