Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

vipi hapo kwenye mstari wazanzibar wanasemaje?
 
majini sijui nani atayacontrol kwa sasa.. wakazi wa migo migo wakae chonjo
 
MUNGU akuweke mahali unapostahili Sheikh Yahya.....Tunajua kila nafsi itaonja mauti...

Niliwahi kumsoma na kumuelewa vizuri Sheikh Yahya...Katika kitabu cha "THE DARKSIDE OF NYERERE'S LEGACY by Ludovic S Mwijage...alikuwa ni zaidi ya mtabiri.
Yah man....take your time msome Ludo mwijage hapa
 
Kuna mchungaji aliwahi kutabiri kuwa shekh yahaya hamalizi mwaka huu, naona imekuwa kweli ingawa hakuna ajuaye siku ya kufa mtu mwingine wala siku ya kufa yeye mwenyewe

Mungu amsamehe kwa dhambi ya kuiteka serikali yetu na majini yake. Anga letu sasa limefunguka kwani jumba la mkuu wa persia aliyekuwa anazuia maombi yetu yasitufikie yakijibiwa na Mungu imeharibiwa...ole ni kwao watakao ruhusu miili yao kutumiwa na huyo mkuu ambaye sasa yuko mitaani kama simba atafutaye pango lakujificha ili apate mawindo ingekuwa heri kwao wasingezaliwa maana adhabu yao ni kubwa!

Majimoto leo inabidi tuingie katika praise and worship kumshukuru Mungu kwa mema yote kwa watanzania...Bwana wa vita amejibu kwa moto; tuli mwoonya hakutusikiliza akadhani nguvu zetu ni sawa na zake never some of us are prince in this dominating kingdom!

Poleni wafiwa wote huzuni yenu ni yetu cha msingi nikujifunza kwa kila tukio la maisha ya mwanadamu na hasa wakati huu tukitafakari matendo ya mpendwa wetu huku tukikumbuka Mungu ni zaidi ya wote wenye mwili naye ni hakimu wa haki. Tujiulize tukiondoka duniani nchi yetu itatukumbuka kwa wema ama ubaya? Lakini zaidi ya yote R.I.P Yahya!
 
Siku chache baada ya mnajimu maarufu sheikh Yahya kutabiri kifo cha gafla kwa yoyote atakaechukua fomu kugombea na Kikwete mtabiri huyo nae amejikuta akitabiriwa kifo.

Akiwahutubia mamia ya waumini wa kanisa la glory of christ ubungo jijini mchungaji gwajima amesema Sheikh Yahya nae atakumbuna na kifo kama asipotubu mbele za Mungu na kuachana na tabiri zake zenye kuwatisha Bin -Adam.

Hata hivyo mchungaji huyo akihubiri ibada ya jumapili amesema sheikh yahya anaweza kupona kama atafanya mambo matatu nayo ni

1)kumwona ana kwa ana pastor gwajima

2)kisha atubu dhambi alizowahi kufanya kabla ya kuokoka

3)anatakiwa kuacha kumtumikia shetani na mwisho atangaze yote aliyofanya machafu tangu aanze shuguli zake

Alilaani tabia yake ya kuwatishia watu huku akijua mungu ndie mwenye utawala na mamlaka ya kujua uwepo wao duniani, ni mashairi magumu huenda yakawa hivyo kwake ila hayana jinsi kama anahitaji kupona....

More info nunua alasiri.
 
Jamani, Kwanini mnapoteza wakati wenu kumuombea mchawi mwenye leseni (shehe yahaya) alale pema peponi wakati we all know hato lala pema peponi?

Unajua uzuri Mungu ashasema ukitaka kulala pema peponi ufanye nini, otherwise hautolala.

Hii inamaanisha wachawi, waongo na wachonganishi hawatolala pema peponi, so lets save our RIP kwa mchawi kama huyu, watu wasikitike tu kwa kuwa huyu nae alikuwa binadamu bila kujalisha maisha yajayo aliyochagua kwenda kuishi kwa maisha ya uchawi aliyoyaishi duniani.

NOTE: MCHAWI NI MCHAWI TU HATA AKIJIITA MTABIRI.
 
kuna taarifa kuwa shekhe yahya husein amefariki.
 
R.I.P Sheikh, wafiwa wote poleni!
Alichanganya watu wengi kwa mikwala yake, aliupata umaarufu kwa ujanja ujanja tu.
 
kuna taarifa kuwa shekhe yahya amefariki
 
Poleni sana wafiwa mungu mlaze pema peponi!
 
Yametimia Njiandae na mapopobawa yake majirani sasa mtakoma hata wake zake nao watakomanilazima yazae nao, kama unataka kuoa katika ukoo ule kuwa makini unaweza kuoa jini
 
Duu! Pole idara ya usalama wa taifa kwa kuondokewa na mkuu wa ulinzi wa rais RIP jamani jipangeni ulinzi uimarishwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…