Sheikh Yahya: Aidha Kikwete au Slaa kufa kabla ya Oktoba 31!

Hii ya DR.sLAA kufa na jk KUFA yanatoka wapi?????.
Huyu ni wakala wa serikali wa nguvu za giza???

Tunaomba ASISI ZISIZO ZA KISERIKALI ZITOE TAMKO NCHI HAIWEZI KUWA NA INDIVIDUAL AMBAYE HAGUSWI NA MKONDO WA SHERIA KWA UPOTOSHAJI.
TAFADHALI HII TUJADILI KWA KINA LEO ILI IKIWEZEKANA ASASI ZISIZO ZA SERIKALI ZIPAZE SAUTI.SHEIKH YAHAYA NI NANIIIIIIIIII ????.
MIMI NAAMINI KATIKA YESU KRISTU NA UHAI WA MTU UNAONDOLEWA NA MWENYEZI MUNGU KWA WAKATI WAKE APENDAO '' BWANA ANATOA NA NDIYE ANATWAA KWA WAKATI KWAKE BILA MWANADAMU KUJUA MUDA NA SAA.jINA LA MUNGU LITUKUZWE

ASHINDWE KATIKA JINA YESU KRISTU

nAWASILISHA
 
Ni yule yule anayelazimisha watanzania kuacha kufikiri na kutafakari kwa ubongo waliopewa na Mwenyenzi Mungu ameendelea kuwatisha tisha tena watanzania kama kawaida yake!
Alianza na "....atakaye mpinga.....atakufa kifo cha ghafula.." akaja na "...nina mpatia ulinzi usioonekana kwa macho..." na sasa kaja na "...mmojawapo wa wagombea wa urais mwenye uelekeo wa kushinda atafariki ghafla...."
Ninachojiuliza, anatutaka nini sisi watanzania huyu babu?
Anataka kutufundisha kuwa, tusifanye lolote pasi na ku-consult yeye ama kusikiliza anasema nini? Kwamba nchi yetu itafute dira kwake? Kwamba imekuwa nchi ya kiswahilina?
Anamtisha nani?
 
Labda vyombo vya habari vinakuza sana mambo, havijui utani na ukweli vinginevyo vingempuuza na kuacha kuitangaza hiyo habari
 
Sheikh yahya ni kumpuuza tu vinginevyo itaoneka kumbe tunaamini ushirikina wakati siyo kweli.

Wakati utamuumbuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Labda vyombo vya habari vinakuza sana mambo, havijui utani na ukweli vinginevyo vingempuuza na kuacha kuitangaza hiyo habari
Anayoyaongea live pale Channel Ten yamekuzwa na vyombo vya habari? Be updated kuwa serikali inamtumia na kumwamini sana huyu bazazi. Jiulize kwa nini mpaka sasa inapofika saa kumi na mbili jioni barabara inayopita mbele ya ikulu (ocean road) inakatazwa kutumika nyakati hizo? ushauri usioonekana n.k.

Hii ya DR.sLAA kufa na jk KUFA yanatoka wapi?????.
Huyu ni wakala wa serikali wa nguvu za giza???

Tunaomba ASISI ZISIZO ZA KISERIKALI ZITOE TAMKO NCHI HAIWEZI KUWA NA INDIVIDUAL AMBAYE HAGUSWI NA MKONDO WA SHERIA KWA UPOTOSHAJI.
TAFADHALI HII TUJADILI KWA KINA LEO ILI IKIWEZEKANA ASASI ZISIZO ZA SERIKALI ZIPAZE SAUTI.SHEIKH YAHAYA NI NANIIIIIIIIII ????.
MIMI NAAMINI KATIKA YESU KRISTU NA UHAI WA MTU UNAONDOLEWA NA MWENYEZI MUNGU KWA WAKATI WAKE APENDAO '' BWANA ANATOA NA NDIYE ANATWAA KWA WAKATI KWAKE BILA MWANADAMU KUJUA MUDA NA SAA.jINA LA MUNGU LITUKUZWE

ASHINDWE KATIKA JINA YESU KRISTU

nAWASILISHA
Mkuu umenena vyema. huyu mtu mmoja atakuja kuigharimu Tanzania big time.
Lakini kwa kuwa polisi wanamwona, UwT wanamheshimu na viongozi wanamkimbilia basi hesabu tumelamba garasa halafu ni last card.
 
Tuache kujadili upuuzi na Sheikh Yahaya asipewe nafasi ya kuwababaisha watanzania.
Nadhani kuna wapuuzi wenye madaraka wanaomtegemea Sheikh Yahaya kwa sababu ya ujinga wao tu wakifikiri ndiye anayewasaidia.
Hawa wanataka kupotosha jamii!
 
Huyu jamaa bwana nafikiri akiwekwa kwenye game na pweza paul atatolewa nishai maana utabiri wa jamaa most of the times unakuwa sio accurate
 
Na sasa kaja na "...mmojawapo wa wagombea wa urais mwenye uelekeo wa kushinda atafariki ghafla...."

Mgombea yupi ambaye ana uelekeo wa kushinda?

Ukiona haya maneno, hizo ni dalili mbaya sana kwa chama cha mafisadi, maana huyo ndo mnajimu wao na wanamtegemea.

Hivi ikitokea mgombea huyo mwenye uelekeo wa kushinda, akafa kikweli kweli, wakereketwa wa huyo mgombea wakijichukulia sheria mkononi wakammaliza huyo Sheikh kwa madai kwamba amemfanyizia mgombea wao, kuna mtu anaweza kuwalaumu kwa kufanya hivyo? Kwanini serikali haimkemei huyu mtu? Huyu Mzee anataka damu imwagike nchini.
 
Sheikh Yahya asidhani kwamba kwa kuwa tu yeye ni mnajimu basi anayo haki ya kuwatisha wananchi na wagombea urais kama anavyofanya. Asisahau kwamba kifo hakichagui ni kwa kila mtu hata yeye mwenyewe anaweza kufa dakika yoyote kwa sababu hana mkataba na Mungu!
 
hata kama akimtabiria kuwa Kikwete anaweza kufa. siwezi kabisha kushabikia hilo.
Mimi nasema huyu babu ana ajenda nyuma yake.
Ingawa Kikwete na timu yake wamatufail siwezi kuwish death to them maana huo sio ubinadamu na wala si demokrasia. tupambane jukwaani jinsi ya kuikwamua nchi kutoka hapa tulipo jioni tupeane mikono na kupongezana.

Hii ya kupanda uadui wa milele ni kuifanya tanzaina iwe katika machafuko yasiyoisha
Apigwe vita na kukemewa huyu babu
 
Wakuu,

Ni kweli jana Sheikh jana alitoa utabiri wa namna hii akiwahusisha JK na Slaa moja kwa moja. Inasikitisha kuwa hali hii inaendelea kuachwa kwa visingizio kuwa ni maoni yake!

Ikumbukwe, huyu ndiye alitumika kuwatisha watu wa CCM na kusababisha waache kugombea against JK ili wasife. Huyu huyu anataka kuendeleza upuuzi wa 'kutumiwa' kuhakikisha mmoja wa wagombea aidha anajiondoa au anakufa (kama ameambiwa awaandae watanzania) na bado anazidi kuachwa aendeleze upuuzi huu tena public.

Nini kazi ya usalama wa taifa? Wamelala? Who the hell is Sheikh Yahya? What's Kikwete's statement on this?

Natambua kuwa Slaa saa 3 ya asubuhi alikuwa na kikao na ma-sheikh na maaskofu wa dini na madhehebu yote, huenda akaligusia hili na kutoa tamko lake rasmi, lakini kwanini mtu huyu aendelee kuachwa alivuruge taifa kwa kutumiwa waziwazi?

Inasikitisha sana
 
Wanajamvi,

Nimesikiliza kwenye summary ya magazeti RFA asubuhi hii, kuwa yule Mtabiri na Mnajimu, aka "mzee wa ulinzi wa majini" amebashiri kwamba Mgombea mmoja machachari sana anayepania kuingia Ikulu katika uchaguzi huu, ATAKUMBWA NA MATATIZO MAKUBWA SANA!, lakini hajaeleza matatizo hayo kuwa yatakuwa ni ya aina gani!

Mnasemaje kuhusu bashiri za huyu mganga?...kuna haja ya kuzipa umakini bashiri zake?

Kishaona afya ya mgombea mmoja ina mgogoro ndo kaanza kujisherehesha, si aliona pale kwenye eneo linalojaa maji, ah, si pale Sahara - Morogoro road. Huyu anahujumu taifa, ni lazima achukulia hatua za kuhatarisha amani, mshikamano na utulivu wa nchi. Hahaaaa. Shekh wangu, huu utabiri wa kuokoteza utakuponza. Si ndo wewe ulitabiri 2005 tutaongozwa na mwanamke.... ndo kusema rais wetu ni mwananmke? acha uzushi wewe.
 
Mimi wala siamini huu utabiri lakini najua kuwa Mungu daima anawachukia watu wenye kuvunja heshima za watu hata kuliko mafisadi na waizi.
Kwa kupora mke wa watu Dkt Slaa iwapo watanzania watafanya kichwa ngumu na kumpa kura zao basi uwezekano wa mabalaa kuikumba Tanzania ni mkubwa sana.

Usishangae hata siku ya kuapishwa kwake kukaambatana na kimbunga.Mkapa kulikuwa na nia mbaya katika kuingizwa kwake katika uraisi Angalia utawala wake ulishuhudia mabalaa yasiyo kawaida hapa Tanzania.Kwa Slaa hali itakuwa vurugu tupu.Ni afadhali hayo matatizo yamkumbe sasa wakati wa kampeni ili tuokoke huko mbele.

AMI - Kwa Mungu hakuna dhambi ndogo na kubwa - kwa Mungu DHAMBI NI DHAMBI tu - unamtuhumu kiongozi mmoja eti kapora mke wa mtu una uhakika na unalosema au unafuata mkumbo tu???? Hivi kuna kuvunja heshima ya mtu KULIKO KUMLAZA MAMA MJAMZITO CHINI? KUMLAZA MGONJWA CHINI? KUTOJALI MAHABUSU ZILIZOJAA BILA HURUMA?? KUTOJALI WATOTO WANAOKAA CHINI SAKAFUNI/KWENYE UDONGO WAKISOMA ILI NAO WAPATE RIZKI SIKU MOJA? KUFUMBIA MACHO RUSHWA ILIYOKITHIRI NA KUWANYIMA WANYONGE HAKI ZAO?? KUWAKIMBIZA VIJANA WAKIFANYA BIASHARA BILA KUWATENGENEZEA MAZINGIRA YA KUFANYIA BIASHARA?? KURUHUSU KUVUTA GARI LA MTU NA KUMDAI PESA NYINGINE ZINAZOINGIA KWENYE MFUKO WA KIONGOZI BILA KUJALI??? NI MENGI MNOOOOOO NA YANAUMA - TOKA 1961 HADI 2010 - UMASKINI NDIO UNAONGEZEKA - NA VIONGOZI WANATANUA TU NA KUTUMIA KODI ZETU KUTANUA -OH GOD!!!! DR. SLAA ANA UJASIRI WA KUKEMEA MAOVU NA SISI TUNAOCHUKIA UOVU TUNAMSUPPORT - MKONO WA MUNGU UWE JUU YAKE - AMENNNNNNNNNNNNNNNNNN!!!!!!

Dr. Slaa hajampora mwanamke wa mtu - ni UONGO - anaporwa kwani yeye ni karatasi mfukoni?? si ana akili timamu ya kuamua? kama huyo mumewe hafai kuwa mume kwanini asimwache akapendana na mtu anayemfaa???

WATANZANIA WENGI - WAMEMWACHA MUNGU WA KWELI - UCHAWI UMEZIDI, UFSKA, WIZI, KUUANA ETC. ETC. ETC. - HIVYO MUNGU ATATOA ADHABU KWA MAOVU HAYO - Huyo unaemwona mwadilifu lakini anaabudu uchawi - unadhani ndio kupona kwa taifa??? ASHUKURIWE MUNGU KWANI NEEMA YAKE BADO IKO TANZANIA - WAOMBAJI WAZIDI KUOMBA REHEMA ZA MUNGU TU ......VINGINEVYO........

Hayo ni maoni yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom