Sheikh Yahya: Aidha Kikwete au Slaa kufa kabla ya Oktoba 31!

Sheikh YAhya ni NABII WA UONGO anayelelewa na Watawala wanapoenda kusikiliza na kuendekeza Uongo. Kwa kufumbia macho unabii wa Uongo, Watawala wanaifanya nchi yetu kuwa Madhabahu ya Baali na Nchi ya Ibada za Kishirikina (Kisheteni). Mungu atuepushe na Watawala wanaokubali kuendekeza ushirikina- ni laana kwa Taifa, tukemee!
 
Wakuu,

Ni kweli jana Sheikh jana alitoa utabiri wa namna hii akiwahusisha JK na Slaa moja kwa moja. Inasikitisha kuwa hali hii inaendelea kuachwa kwa visingizio kuwa ni maoni yake!

Ikumbukwe, huyu ndiye alitumika kuwatisha watu wa CCM na kusababisha waache kugombea against JK ili wasife. Huyu huyu anataka kuendeleza upuuzi wa 'kutumiwa' kuhakikisha mmoja wa wagombea aidha anajiondoa au anakufa (kama ameambiwa awaandae watanzania) na bado anazidi kuachwa aendeleze upuuzi huu tena public.

Nini kazi ya usalama wa taifa? Wamelala? Who the hell is Sheikh Yahya? What's Kikwete's statement on this?

Natambua kuwa Slaa saa 3 ya asubuhi alikuwa na kikao na ma-sheikh na maaskofu wa dini na madhehebu yote, huenda akaligusia hili na kutoa tamko lake rasmi, lakini kwanini mtu huyu aendelee kuachwa alivuruge taifa kwa kutumiwa waziwazi?

Inasikitisha sana
Maneno yako yanatia hasira na uchungu sana.Lakn Tz ni zaidi ya tuijuavyo....Who cares? Isijekuwa hao hao wamemtuma huyo shehe na ni mojawapo ya winning strategy zao..
 
sheikh Yahaya - sheikh Yahaha - who is He by the way?????

Anatisha watu ili wasimpigige kura kiongozi ambaye anaonekana yuko JUU - mbona hajitabirii mwenyewe kuwa atakufa pia?? Au anadhani shetani anayemtumikia atamwacha aishi duniani milele??? Siku moja atamchukua amfuate KUZIMU - na anavyozidi KUTUNGA UONGO ......................... VERY SOON .....

Mnaomwamini na kumpenda mshaurini amgeukie Mungu wa Kweli -- atapata amani ya kweli -badala ya kutapatapa bila aibu - atakuwa BABU MTULIVU NYUMBANI KWAKE NA WAJUKUU WAKE....... ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wakuu,

Ni kweli jana Sheikh jana alitoa utabiri wa namna hii akiwahusisha JK na Slaa moja kwa moja. Inasikitisha kuwa hali hii inaendelea kuachwa kwa visingizio kuwa ni maoni yake!

Ikumbukwe, huyu ndiye alitumika kuwatisha watu wa CCM na kusababisha waache kugombea against JK ili wasife. Huyu huyu anataka kuendeleza upuuzi wa 'kutumiwa' kuhakikisha mmoja wa wagombea aidha anajiondoa au anakufa (kama ameambiwa awaandae watanzania) na bado anazidi kuachwa aendeleze upuuzi huu tena public.

Nini kazi ya usalama wa taifa? Wamelala? Who the hell is Sheikh Yahya? What's Kikwete's statement on this?

Natambua kuwa Slaa saa 3 ya asubuhi alikuwa na kikao na ma-sheikh na maaskofu wa dini na madhehebu yote, huenda akaligusia hili na kutoa tamko lake rasmi, lakini kwanini mtu huyu aendelee kuachwa alivuruge taifa kwa kutumiwa waziwazi?

Inasikitisha sana
Mkuu umenena vyema. Alipaswa kuanza kushughulikiwa tangu alipoanza kuwatishia wanaccm kuhusu kugombea na kikwete. Ila kwa kuwa salva wa ikulu alisema kuwa Ikulu inauheshimu utabiri wake hapo ujue hakuna Usalama wa Taifa aliye juu ya huyu punguani.

Inabidi sisi wenye nchi kuchukua hatua dhidi ya mtu yeyote anayehatarisha usalama wa nchi maana wenye jukumu hilo wamepigwa sindano ya ganzi wanaona lakini they smile.

Usije ukakuta hao usalama wa taifa wapo behind this plaque na ndiyo wanaomtuma nenda kaseme hivi na vile.

Ningekuwa mimi ni Manumba ningemfungulia kesi ya kutishia kuua kwa maneno.
 
Hivi maana ya kupora ninini?...labda mwenye kamusi ya kiswahili online atuwekee ili kusaidia wengi wetu tunaotumia maneno bila kujua maana yake!

Lakini pia kwanini broda umeenda moja kwa moja kwa DrSlaa, una maana yeye ndiye analengwa?

ndo maana yake jk sikawekewa ulinzi maalumu na mchawi!
MUNGU AMLINDE DR
 
Hii haitofautiana na wale wanaolipa watu wajidondoshe kwenye majumba ya watu ili wapate wateja kwamba ni magagula wazuri... huyu anatafuta wateja na hakuna kitu kingine ole wake akijaribu uchawi wake atauona mkono wa Mungu atakufa kifo cha aibu
 
Ushauri kwa Ngambala

Sheikh Yahya alitabiri ya kuwa Rais ajae 2005 atakuwa na nyota ya kike na wala siyo mwanamke.
 
labda Sheikh yahya amekasirishwa na JK kukataa ulinza wa siri aliomuahidi baada ya kuanguka kue viwanja vya jangwani. Sasa anamtishia ili akubali ulinzi wake wa mapepo................................................
 
Kilichopo ni kuwa MPANGO wa kumuua DR. SLAA umekamilika, kwani kama mtakumbuka matayarisho yalianza kwa yeye MCHAWI YAHAYA kutamka kuwa Kikwete amechezewa Jangwani alipoanguka na sasa ametoa ulinzi kwa atakaye mchezea naye atakufa, hivyo Yahaya amemaliza kazi ya Mkakati wa Kumtupia mashetani Ziraeli mtoa roho kisha aseme ndiye aliyekuwa akimchezea Kikwete na sasa ameuawa na Ulinzi wake wa Majini.
Lakini Ole wao MKONO wa MUNGU umeinuliwa TANZANIA na sasa kama ni kufa atakufa Kikwete ambaye amekuwa akianguka kila siku uchao.
Mungu atamlinza muungwana wake na kumpiga laana Yahaya na Kikwete wake na mbinu zao.
Washindwe na kulegea.
 
Hujasikia vizuri; kasema kuwa mgombea uraisi mmojawapo kati ya chadema au ccm lazime afe kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. huyu mzee jamani!
Utabiri huu ni siku nyingi kidogo, amerudia tena, haya tusubiri matokeo!!!!!
 
Mimi wala siamini huu utabiri lakini najua kuwa Mungu daima anawachukia watu wenye kuvunja heshima za watu hata kuliko mafisadi na waizi.

Kwa kupora mke wa watu Dkt Slaa iwapo watanzania watafanya kichwa ngumu na kumpa kura zao basi uwezekano wa mabalaa kuikumba Tanzania ni mkubwa sana.

Usishangae hata siku ya kuapishwa kwake kukaambatana na kimbunga.

Mkapa kulikuwa na nia mbaya katika kuingizwa kwake katika urais. Angalia utawala wake ulishuhudia mabalaa yasiyo kawaida hapa Tanzania. Kwa Slaa hali itakuwa vurugu tupu.

Ni afadhali hayo matatizo yamkumbe sasa wakati wa kampeni ili tuokoke huko mbele.

Kuwa mwehu sio lazima uvue nguo. na bahati mbaya hapa hatukuoni ulivyo. Lakini maandishi yanajionesha kuwa uko hivyo.
Pole sana
 
Kama Sheikh Yahya ameona hitilafu fulani katika nyota zake katika maisha ya hawa wawili,Kikwete au Slaa,basi atakayepata matatizo ni Dr, Slaa,kwa vile Kikwete ana wapambe wengi . Kwa hiyo tunaweza kuanza kumshonea sanda Dr. Slaa.
Matatizo ninayoona mimi ni hasira za baadhi ya viongozi wa CHADEMA ambao wanataka kushinda Uchaguzi kwa kuleta hasira. Sasa wao wanafanya Mapinduzi ya Kijeshi au wanafanya Uchaguzi. Kama wanafanya Mapinduzi waende msituni kuanzisha vita. Lakini wakati wa Uchaguzi siyo wakati wa kuonyesha demeanor ya hasira. Wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuomba kura kwa unyenyekevu.
Umeona jinsi Pope Benedict alipokwenda Uingereza last week jinsi alivyokuwa anatabasamu. I was very shocked kumuona Pope anatabasamu,kwa sababu hiyo siyo kawaida yake kutabasamu. Alipokwenda Mashariki ya Kati sikumwona anatabasamu. Alipokwenda Malta sikumwona anatabasamu. Lakini nadhani kuna Public Relations Officer ambaye ammeshauri kutabasamu.[Sijui kama ni jmbo zuri kwa Pope kutabasamu,to act not in accordance to his nature.]
Kwa hiyo CHADEMA wanaweza kuiga mfano,na kuacha kufikiria watashinda Uchaguzi kwa kuongeza hasira. Wanaongea kuhusu kulinda kura ,amabapo ni mapema sana sasa kuanza kuongea kuhusu mambo kama hayo.
akuna ushahidi kwamba Uchaguzi huu utatawaliwa na vurugu. Kule Zanzibar,Seif Hamad alikuwa anaema kulikuwa na watu wanarusha mawe. Lakini nani anataka kurushiwa mawe? Nani anataka kurusha mawe?
 
Du we ni yahaya mwingine tena
 
labda Sheikh yahya amekasirishwa na JK kukataa ulinza wa siri aliomuahidi baada ya kuanguka kue viwanja vya jangwani. Sasa anamtishia ili akubali ulinzi wake wa mapepo................................................

JK Avue mapete ya yahaya kwanza ndo Tutaamini hilo unalolisema!
 
Kama Sheikh Yahya ameona hitilafu fulani katika nyota zake katika maisha ya hawa wawili,Kikwete au Slaa,basi atakayepata matatizo ni Dr, Slaa,kwa vile Kikwete ana wapambe wengi . Kwa hiyo tunaweza kuanza kumshonea sanda Dr. Slaa.
Matatizo ninayoona mimi ni hasira za baadhi ya viongozi wa CHADEMA ambao wanataka kushinda Uchaguzi kwa kuleta hasira. Sasa wao wanafanya Mapinduzi ya Kijeshi au wanafanya Uchaguzi. Kama wanafanya Mapinduzi waende msituni kuanzisha vita. Lakini wakati wa Uchaguzi siyo wakati wa kuonyesha demeanor ya hasira. Wakati wa Uchaguzi ni wakati wa kuomba kura kwa unyenyekevu.
Umeona jinsi Pope Benedict alipokwenda Uingereza last week jinsi alivyokuwa anatabasamu. I was very shocked kumuona Pope anatabasamu,kwa sababu hiyo siyo kawaida yake kutabasamu. Alipokwenda Mashariki ya Kati sikumwona anatabasamu. Alipokwenda Malta sikumwona anatabasamu. Lakini nadhani kuna Public Relations Officer ambaye ammeshauri kutabasamu.[Sijui kama ni jmbo zuri kwa Pope kutabasamu,to act not in accordance to his nature.]
Kwa hiyo CHADEMA wanaweza kuiga mfano,na kuacha kufikiria watashinda Uchaguzi kwa kuongeza hasira. Wanaongea kuhusu kulinda kura ,amabapo ni mapema sana sasa kuanza kuongea kuhusu mambo kama hayo.
akuna ushahidi kwamba Uchaguzi huu utatawaliwa na vurugu. Kule Zanzibar,Seif Hamad alikuwa anaema kulikuwa na watu wanarusha mawe. Lakini nani anataka kurushiwa mawe? Nani anataka kurusha mawe?

Wewe msaidizi wa Sheikh Yahya nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom