Sheikh Sharrif Bado ni Muislamu

Uislamu na ukristo dini zote zinapromote blind faith, zinaamini katika a nonexistent godhead and in my opinion they are equally fraudulent. And I can argue my case reasonably well.

Kwa hiyo kwangu mimi awe muislam au mkristo mie naona ni utumwa ule ule tu.

Kipi bora ndugu yangu - kuamini Mungu yupo halafu usimkute, au kuamini hayupo halafu ukamkuta kajaa tele? -

N.B.Kuuliza huku hakujalishi dini yoyote - maana sasa hivi wenye dini zao wataanza kucharuka na kuingiza yale wanayoyaamini wakati siyo point yangu.
 
Aokoke au abaki muislamu ni kati yake na Mungu wake. Haituongezei wala kutupunguzia iota! Yale yale ya kugombea kumzika marehemu. Sana sana ni 'bragging rights.'

Amandla.......
 
Uislamu na ukristo dini zote zinapromote blind faith, zinaamini katika a nonexistent godhead and in my opinion they are equally fraudulent. And I can argue my case reasonably well.

Kwa hiyo kwangu mimi awe muislam au mkristo mie naona ni utumwa ule ule tu.

Prove to me that God does not exist.

I need some tangible, verifiable, and watertight exhibits, inter-alia, assumptions are not permitted ad infinitum.
 
Dini itamsaidia yeye kwa mungu wake. After all angerudi imani ya jadi nigempa tano. Ukristo an uislam tumelazimishiwa tu na wazungu na waarabu.
 
Haina haja ya mimi ya kuwalipa hao mamods; ni wajibu wao kama kama wahusika kujua kinachoendelea ndani ya huu mtandao wao.

1. Wamekukaribisha kwenye mtandao wao uanachama free of charge
2. huwalipi maintenance cost, na
3. bado unawapangia kazi! lol ..

Wapenda umwinyi weye!
 
Yule Sheikh Mtoto maarufu kama Sheikh Shariff ambaye aliitingisha Tanzania kwa ufahamu mkubwa wa Qur’an akiwa na umri wa miaka tisa hatimaye amesalimu amri na kuokoka, katika kanisa la Pentekoste Motomoto jijini Dar es Salaam.

Sheikh Shariff ambaye jina lake halisi ni Sheikh Shariff Mohamed Mikidadi tayari amebatizwa na kupewa jina jipya la Michael Sylivester Sewando, ambapo hivi sasa analelewa kiroho katika kanisa hilo lililopo Keko chang’ombe jijini Dar es Salaam.

….Licha ya Sheikh Shariff sasa Michael Sewando kuzaliwa katika familia ya kikatoliki ya mzee Sylivester Sewando na mama yake Joyce Mokiwa, alisema alisilimu baada ya kutibiwa maradhi yake na mganga muumini wa dini ya Kiislamu wakati akiwa mtoto.

Katika umri mdogo, jambo hilo lilimfanya ghafla ajikute akianza kuipenda dini ya kiislamu na ndipo aliamua kujiunga nayo, ingawaje wazazi wake walimpinga vikali.

Alisema ilibidi aondoke Nyumbani kwao Kawe Ukwamani na kuhamia kwa ndugu wa kiislamu na kuanza kuswali katika msikiti wa Al Shariff, International Dawas’ Islamic Centre Kawe Dar es Salaam. (SIDC) alikoingizwa rasmi katika dini ya Kiislamu.

Alisema mara baada ya kujiunga na dini hiyo na kuanza kuswali katika msikiti huo, alijikuta akipata ufahamu mkubwa wa elimu ya Qu’ran pasipo kufundishwa. Sheikh Shariff alisema anachojua ni kwamba uwezo wa kuijua Qur’an aliupata kutoka kwa majini 2900, yaliyomuingia baada ya kujiunga na Uislamu.

Alisema majini hayo ndiyo sababu pekee iliyomfanya awe mahiri sana katika elimu ya dini ya kiislamu. Akizungumza na wahadhiri mbalimbali nje na ndani ya Tanzania huku akifanya miujiza na kuendesha mihadhara mingi ya kiislam.

Kwa mujibu wa Sheikh huyo aliyeokoka, maeneo aliyowahi kutoa mihadhara ni Kawe,Tandika , Mbagala, Njoro, Kilimanjaro, Mwembe tayari nchini Kenya, viwanja vya msikiti Mkuu wa Jijini na Kampala nchini Uganda.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Sheikh Shariff alisema aliwahi kuishi chini ya bahari ya Hindi katika eneo la Maskati, nchini Oman, akifundishwa mambo mbalimbali na majini. Alisema akiwa chini ya bahari alikuwa akifundishwa na jini mkuu aliyemtaja kwa jina Lusifa ambalo ni la Shetani, ambapo alikuwa akilishwa mchanganyiko wa damu za binadamu na wanyama na mifupa ya farasi.

Sheikh Shariff au Michael Sewando alisema Lusifa au mkuu wa majini ambaye alikuwa na umbo la mfano wa mjusi mkubwa, ndiye aliyemfundisha masuala ya uganga wa kienyeji kwa kutumia vitabu maarufu vya kijini. Mambo mengine aliyofanyiwa akiwa chini ya bahari ni pamoja na kuwekwa katika moto mkali kwa muda wa siku saba na baadaye katika baridi kali na giza totoro kwa siku hizo hizo.

Nakumbuka nikiwa chini ya bahari ambako naamini ni kuzimu, Lusifa aliamuru kuwa kamwe nisilitaje jina la mtu aliyesulubiwa msalabani kwa maana yaYesu, kwa vile jina hilo ni baya na huharibu kazi za kuzimu. Pamoja na mambo mengine mengi ya ajabu aliyofanyiwa au kufundishwa na Lusifa, alisema baadaye alihitimu na kupatiwa mikoba mitatu iliyosheheni madawa ya mitishamba, viungo vya wanyama, binadamu na majoka. Unajua nilikuwa nafanya masuala ya kuagua watu kiganga huku pia nikiendesha mihadhara mbalimbali ya kiislamu’’ alisema akionyesha kitambulisho kinachoonyesha kuwa ni mganga wa kienyeji.

Alisema katika shughuli zake aliwahi kuwasilimisha wakristo mbalimbali wakiwepo mapadri na wachungaji, ambapo ameahidi kuwarudisha kwa Yesu baada ya kuokoka. Aidha alibainisha kuwa aliwahi kuoa majini mawili na kusababisha ajali zilizopoteza maisha ya watu ili kupata damu na nyama za majini aliyokuwa akiyamiliki.

Kuhusu jinsi alivyokutana na Yesu na kuokoka, alisema hivi karibuni wakati akielekea katika shughuli zake za uganga eneo la Mbagala Mgeni Nani, miguu yake ghafla ilinasa ardhini na akasikia sauti ya Yesu ikimwambia kwamba aachane na uchafu wake, ili atakaswe kwa damu yake Yesu lakini alitaka kupinga..

Alisema akiwa katika hali ya kupinga sauti hiyo, alitokea mama mmoja aliyekuwa muislam lakini akaokoka, ambaye alimshauri aokoke na kumuongoza zaidi hadi katika kanisa la Pentekoste Motomoto lililoko Keko Chang’ombe alikomkiri Yesu na kuokoka baada ya kutolewa mapepo. Kanisa la Pentekoste Motomoto linaongozwa na Mchungaji Ibrahimu John ambaye kwa sasa ndiye baba wa kiroho wa Sheikh Shariff.

Sheikh Shariff (Michael Sewando) alisema baada ya kuokoka, amekuwa akipata mashambulizi kutoka kwa majini na wachawi hivyo anaomba msaada wa maombi kutoka kwa wacha Mungu wote.
 
Sheikh Shariff (Michael Sewando) alisema baada ya kuokoka, amekuwa akipata mashambulizi kutoka kwa majini na wachawi hivyo anaomba msaada wa maombi kutoka kwa wacha Mungu wote.

Simnasema nyie watu wa madini kwamba ukimkubali yesu sijui muhamad hupatwi na uchawi wala majini.

Sasa iweje hii?

Miafrika itabakia kudanganywa milele

Ukoloni uliminyea ukamiachia na mavi mwilini ambayo mpaka leo mnashindwa kuyaondoa.
 
Hatuuzi madini hapa.

Nilishakwambia, punguza bangi weye.
 
Sheikh Shariff (Michael Sewando) alisema baada ya kuokoka, amekuwa akipata mashambulizi kutoka kwa majini na wachawi hivyo anaomba msaada wa maombi kutoka kwa wacha Mungu wote.

Nikufurahishe kidogo!!

Simnasema nyie watu wa deen kwamba ukimkubali yesu sijui muhamad hupatwi na uchawi wala majini.

Sasa iweje hii?

Miafrika itabakia kudanganywa milele

Ukoloni uliminyea ukamiachia na mavi mwilini ambayo mpaka leo mnashindwa kuyaondoa.
 
Nikufurahishe kidogo!!

Simnasema nyie watu wa deen kwamba ukimkubali yesu sijui muhamad hupatwi na uchawi wala majini.

Sasa iweje hii?

Miafrika itabakia kudanganywa milele

Ukoloni uliminyea ukamiachia na mavi mwilini ambayo mpaka leo mnashindwa kuyaondoa.

Waislam wao wanafuga majini. Quote:
12n2_01.png

Sheikh Shariff (Michael Sewando) alisema baada ya kuokoka, amekuwa akipata mashambulizi kutoka kwa majini na wachawi hivyo anaomba msaada wa maombi kutoka kwa wacha Mungu wote.

Kupata mashambulizi si kosa, any body can be attached by anybody and/or anything. Wewe nenda Louisiana utapata cha mtema kuni kama huna Yesu. Ni sawa na wewe unapodai kuwa hakuna Mungu, it doesn't change anything and/or stop God kuwa Mungu.

What you have ni wishfull thoughts.

Pole sana
 
Theology imekupitia kando, na wala huijui kabisa ila ubishi tu

Ukubwa Kwa Wale Wanaoamini- Waefeso 1:19-22.

Hio aya ya ukubwa kwa mtu anayeamini kwanini isimkinge huyo anayemuamini Yesu?

Na hii tena,

Huwapatia watu haki, Chakula, Hufungua Wafungwa, Hufungua
Macho ya Vipofu, Huwainua wanyenyekevu, Hulinda, Husaidia,
Huzuia ubaya- Zaburi 146:5-10.

Hii alikuwa wapi yaliyofanyika Rwanda? Hulinda, husaidia, huzuia ubaya.

Kwanini huyo mnayemuamini asimlinde sharifu na majini ya waislam!?
 
theology imekupitia kando, na wala huijui kabisa ila ubishi tu

ukubwa kwa wale wanaoamini- waefeso 1:19-22.

hio aya ya ukubwa kwa mtu anayeamini kwanini isimkinge huyo anayemuamini yesu?

Na hii tena,

huwapatia watu haki, chakula, hufungua wafungwa, hufungua
macho ya vipofu, huwainua wanyenyekevu, hulinda, husaidia,
huzuia ubaya- zaburi 146:5-10.

hii alikuwa wapi yaliyofanyika rwanda? hulinda, husaidia, huzuia ubaya.

kwanini huyo mnayemuamini asimlinde sharifu na majini ya waislam!?

labda hajaenda kule texas kubatizwa kwenye lile kanisa la ubatizo wa uchi
 
haki na kabonde tunaomba namba za simu za sheikh sharrif tuwasiliane naye mwenyewe! Kila mmoja (haki & kabonde) atoe simu ya sheikh sharrif anayemfahamu. Alternatevely, haki nenda kwenye mhadhara msikiti wa kwamtoro upige picha ya huyo unayedai sheikh sharrif, kabonde nenda kwenye kanisa husika upige picha ya unayedai sheikh sharrif akiwaombea watu. Kisha leteni hizo picha na kuzibandika humu kama itawezekana ili kuondoa utata wa identity ya sheikh sharrif! Nimeshindwa kuchangia mada hii vizuri kwa kuwa kuna wanaodai huyo sheikh kaokoka na wengine wanadai bado ni mwislamu! Pls clear this confusion!

namaba yake ni 0755 882 794
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom