Sheikh Sharrif Bado ni Muislamu

haki na kabonde tunaomba namba za simu za sheikh sharrif tuwasiliane naye mwenyewe! Kila mmoja (haki & kabonde) atoe simu ya sheikh sharrif anayemfahamu. Alternatevely, haki nenda kwenye mhadhara msikiti wa kwamtoro upige picha ya huyo unayedai sheikh sharrif, kabonde nenda kwenye kanisa husika upige picha ya unayedai sheikh sharrif akiwaombea watu. Kisha leteni hizo picha na kuzibandika humu kama itawezekana ili kuondoa utata wa identity ya sheikh sharrif! Nimeshindwa kuchangia mada hii vizuri kwa kuwa kuna wanaodai huyo sheikh kaokoka na wengine wanadai bado ni mwislamu! Pls clear this confusion!


Namba yake 0755 882 794
 
Haki na Kabonde tunaomba namba za simu za Sheikh Sharrif tuwasiliane naye mwenyewe! Kila mmoja (Haki & Kabonde) atoe simu ya Sheikh Sharrif anayemfahamu. KAlternatevely, Haki nenda kwenye mhadhara Msikiti wa Kwamtoro upige picha ya huyo unayedai Sheikh Sharrif, Kabonde nenda kwenye Kanisa husika upige picha ya unayedai Sheikh Sharrif akiwaombea watu. Kisha leteni hizo picha na kuzibandika humu kama itawezekana ili kuondoa utata wa identity ya Sheikh Sharrif! Nimeshindwa kuchangia mada hii vizuri kwa kuwa kuna wanaodai huyo Sheikh kaokoka na wengine wanadai bado ni mwislamu! Pls clear this confusion!
Hata hapa umechangia vizuri si lazima useme Yes ao No ndipo uwe umechangia mada.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom