Mwambie huyoUna miaka mingapi Afsa?! Umewahi kuonana nayo ukalitaja hilo jina la yesu wakakimbia?!
Wachana na drama za kina Lusekelo na wapuuzi wanaojiita mitume
Madam hapo unataka kukosea sasa! JF ina majini?Waislam na Wakristo mmeshindwa kabisa kuelewa Majinni ni nini. Mnafikiri labda ni kitu cha ajabu sana.
Mbona hata hapa JF 90% tu majinni. Tunaonana hapa? unajuwana hapa? Labda 10% ya member wa JF ndiyo wanajuwana, wengine wote ni majinni tu.
Hiyo ni kweli.na sisi wakristo wengi huwa hatujui kuwa Kuna majini wasafi Sana na wanaomcha Mungu kwa sala muda mwingi...Majini ni ndugu zetu yarab hasa wale walio wema wanaomcha Allah.
Wengi sana.Madam hapo unataka kukosea sasa! JF ina majini?
Big NO!!!
Madam, usije ukawafanya watu wapaogope JF!Wengi sana.
Majini ni majini tu hakuna uzuri wowote kwa shetani wala malaika zake.Ipo masjid ya majini walio wema pekee, ajabu huazini wao wenyewe kwa kila swalat.
huyo shehe wako umemsikiliza vizuri, alienda kuswali pale na aliona maajabu na aliona baadhi ya watu alioswali nao wanang'ara kichwani na walitoweka soon baada ya swala kuisha. manake majini bado yanaswali hadi leo pale na yanaswali pamoja na watu. amesema pia kuwa, hata kwenye misikiti yetu hii bongo tunaswali na majini ila hatuyaoni, yakiamua kuwacharaza fimbo mtakoma.Ni kweli upo, ila umepewa jina hilo msikiti wa majini sababu ya historia ya eneo hilo, paliwahi kuwa maskani ya majini. Ni kama vile msikiti wa manyema, sio kwamba ni wamanyema ndio wanaswali pale. Ni historia
Hawezi kukubali hilo maana alileta swali kwa kejeli na sio kutafuta uelewa juu ya hilo.Ni kweli upo, ila umepewa jina hilo msikiti wa majini sababu ya historia ya eneo hilo, paliwahi kuwa maskani ya majini. Ni kama vile msikiti wa manyema, sio kwamba ni wamanyema ndio wanaswali pale. Ni historia
Yesu yule yule aliesema mumsujudie mungu mkagoma kusujudu au?huyo shehe wako umemsikiliza vizuri, alienda kuswali pale na aliona maajabu na aliona baadhi ya watu alioswali nao wanang'ara kichwani na walitoweka soon baada ya swala kuisha. manake majini bado yanaswali hadi leo pale na yanaswali pamoja na watu. amesema pia kuwa, hata kwenye misikiti yetu hii bongo tunaswali na majini ila hatuyaoni, yakiamua kuwacharaza fimbo mtakoma.
utofauti wake, sisi tuliompokea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi (kafara la dhambi la Mungu yuleyule mmoja ila alivaa mwili wa mwanadamu), sehemu tunayosali mashetani hayasali, yanaogopa na hata kama yatakuwepo basi yapo kwenye miili ya watu na tukitaja JIna la Yesu Kristo, yanatimua mbio kwasababu kwa Jina la Yesu kila goti litapigwa. hayo ni mashetani, Yesu alisema ametupatia mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za adui shetani, wala hakuna kitakachotudhuru.
Huu ni uelewa potofu.Ipo masjid ya majini walio wema pekee, ajabu huazini wao wenyewe kwa kila swalat.
Hawa jamaa ni wengi mno mpaka hapa mitandaoni huwa wapo, wengine wamewaoa au kuolewa bila kufahamu.Madam, usije ukawafanya watu wapaogope JF!
Hivi nyinyi watu weusi mna akili kweli?mapepo yale Yesu aliyatreat kama mashetani na aliyafukuza toka kwa yule mtu. majini na aina zote za mashetani ni machafu na sio mazuri, shetani haji ila kuua kuchinja na kuharibu ndivyo Yesu alivyosema. na Yesu aliyakemea na kuyafukuza ili yasiendelee kumdhuru mtu yule, Yesu hakuyaonea huruma na hakuchangamana nayo kuyaona kama ni mema.
Ngoja nikujuze, mola ameumba vinavyoonekana na visivyoonekana, pia inakadiriwa visivyoonekana ni vingi mara 100 zaidi ya vinavyoonekana, na katika makundi haya mawili kila upande unatawala zake yaani binadamu na majini, ndani ya tawala upande wa majini wapo wenye tabia mbaya kama binadamu, na nzuri pia, laiti majini wote wangekuwa waovu dunia isingekalika.Huu ni uelewa potofu.
Hakuna majini wema, majini na mapepo wote ni watumishi wa shetani.
Viumbe wema ni malaika, hawa ni watumishi wa Mungu na huwatuma kuwatumikia wanadamu
Duh!...umewahi kuswali humo?Ila kama ni swali lako ndio hilo hilo basi mimi kuhusu maka sina uhakika ila pale Zanzibar upo msikiti wa majini. Unaitwa (msikiti mabuluu)
mAkkah mnafuga majini?Ni kweli, Makkah ipo Masjid jinn.
Kwanini aseme uongo?