serikali yenyewe inababaishwa na madini yenu ya kujitungia, wanalamba miguu viongozi wa dini hata kama hawana la maana. tatizo kubwa la nchi hii ni ignorance. ignorance inaabudiwa badala ya kupingwa , religious bigotry ni matokeo ya ignorance. tatizo it is a vicious cycle,kutokana na incompetency, serikali legelege inalamba miguu viongozi wa dini kwa kuogopa kutoswa na kupoteza popularity, viongozi wa dini wenyewe vichwa-maji and are full of shit they are viongozi for all wrong reasons, common wananchi nao ni bendera fuata upepo, wanajiona wana wajibu kwa miungu na mitume wa kufikirika kuliko jirani yake anayegawana naye umaskini ktk daily basis.nani wa kuvunja cycle?
m.kwere kaa atashindwa ku-address hiyo inshu sasa ni bora hayo mabilioni yasiendelee kuwa allocated huko kwa sensa maana tuko na shida nyingi sana zinazohitaji pesa za haraka.nchi imeshamshinda hii.we have a mediocre president, and far less senior government official who would rather lick their boss's arse than think of the country
NIMEIPENDA HiiBarubaru,
Kwani namba ya waamini wa dini yako, hata kama ni kubwa ina faida gani kwa uwepo na ustawi wa Taifa hili? Kama namba ni tija, waafrika tulivyo, tunaweza kuanzisha mashindano ya kuzaana bila utaratibu, bila kujua kwamba anayeongoza dunia ya leo sio kwamba ana namba kubwa, la hasha!!! Ana elimu, uwezo na ujuzi mkubwa.
Ndio maana waisrael kwa idadi ni wadogo lakini pale walipo waliwahi kupigana na mataifa karibu yote yaliowazunguka kwa wakati mmoja na kuwashinda. It was not by chance....it was by design and intelligence to come with victory. So hoja hapa kwetu sisi wengine ni kuhakikisha generations zetu zina aim higher kwa kutafuta mambo ya msingi yatakayotusukuma huko. Sio haya mambo ya kujua nani ni dini gani! So what?
Hii ni nchi yetu na haikuhusu na wala hatuhitaji ushauri wako, shwain mkubwa wewe!
tatizo la waislamu nadiriki kuwaita wengi ni vilaza
kutwa kulalamika. niwaulize mkuu wa nchi ni nani, makamu wake, jaji mkuu???wakristo hao?
wanataka wapewe mgawanyo sawa wa madaraka nani aliwaambia nchi hii ina dini? wanataka kutupeleka wapi?
wao wanakaa vijiweni na kunywa kahawa na walikataa kusoma shule za wakristo eti ni makafiri sasa wanataka wapewe vyeo bila kusoma? wamuulize JK alisoma shule ya watu gani? angesoma madrasa na kuishia kunywa gahawa leo angekuwa rais?
suala la ukabila na udini Nyerere alilikataa siku nyingi sana
pili wakubali kwa Tanzania asilimaia 62 ni wakristo, 35 ni waislamu na 3% ni watu wa dini zingine. kwa hivo tukiamua leo wakristo hata kupiga kura bado tunaweza kuwapita kwa mengi na pia idadi kubwa ya wasomi ni wakristo, nakumbuka nikiwa chuo kati ya wanafunzi 240 darasani 40 tu ndi walikuwa waislamu. acheni kelele pelekeni wanenus shule.
sijaona mantini ya wao kulalamika,
katika kazi hatuajiriwi kwa kigezo cha udini wala ukabila bali ni elimu na ujuzi wako.
Hakuna maana sensa ya dini,huku ni kufilisika kimawazo,kimtazamo n.k sensa hii wanayodai itazidi kuwaumiza roho kwasabau kuna wimbi kubwa zaidi la watu wanatoka uislam na kuingia ukristo kwasababu hiyo idadi ya wakristo ni kubwa,watu wamechoka kutumikishwa na kuteswa na majini na hivyo wanatafuta pumziko la kweli lenye uhuru,amani,furaha ambalo ni Yesu kristo pekee......
Itakapojulikana idadi ya waislam ni ndogo itaongeza chuki na kuwasha hasira mara mbili na kuwafanya wazidi kuchoma makanisa zaidi na zaidi......Amani kivuli tuliyonayo itapotea kabisa baada ya hapo tutaanza kutafutana mchawi nani...
Ombi langu kwa Rais awe na msimamo mkali wa kulinda na kutunza amani hii,Amani itakapovunjika yeye anahusika na hatuweza kukubali tutakufa nae.
Aweke mbali Uislam wake na apinge vikali haraka matakwa haya waislam wenzake kwa maslahi ya Taifa hili. Kuchelewa kuongea kama mgomo ule madktari....kwa hili madhara yake makubwa sana.
..............................NAWASILISHA JAMVINI...........................
Nadhani hii ni busara kwani muanisho huu wa kipengele cha dini ni muhimu hasa kukiwa na mipango inayohusu dini.. kama kujua tunahitaji kutenga ardhi kiasi gani kwa ajili ya misikiti/makanisa... au makaburi
Waambie wafanye sensa yao wajue idadi ya waumini wa kiislam
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO.
Alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.
Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania.
"SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.
HOJA YANGU Ndugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!
naomba kuwasilisha!
Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.
Ni vizuri kulijadili kwa kina kwa mustakabali bora wa nchi yenu katika mipango ya baadae.