grndossy,Nafikiri imefika wakati kila mtu mwenye akili timamu kukemea hii non sense na hawa akina ponda. Mimi nishangaa serikali kwa nini inamfumbia macho mrundi huyu. Mna agenda gani na mrundi huyu? Hivi waislamu mnataka tuamini maneno anayosema ponda mnakubaliana nayo???????? Unajua kuna mambo mtu mzima anaongea unajiuliza alimaliza kunyonya lini maana kama ameanza angalau kutembea hawezi kuwa na akili hizi. Hivi kujua waislamu wako wangapi kwenye sensa inatusaidia nini? Wanaotetea wazo hili watuambie na sisi tujue!!!!!! Ponda anajua maana ya sensa? Moja ya kazi ya data za sensa ni kujua namna ya kugawa raslimali za nchi kwa usawa. Je idadi ya waislamu inatusaidiaje hapa? au kwenye elimu, afya, miundo mbinu n.k. Kuna huduma za waislamu peke yao na wakristo peke yao? Au kuna agenda ya siri kuhusiana na suala la Ponda? Kwani Zanzibar walitumia kigezo cha katiba wakachoma makanisa, kwa mtindo huo anataka kutumia kigezo cha sensa achome makanisa huku bara. This time we are fed up, kama akileta huo ujanja wake hatutavumilia. Wakristo tumevumilia sana vitendo hivi vya kijinga. Tumechoka, enough is enough.
Suala la ajira, aliyekuwa katika Wizara hiyo kwa muda mrefu (Hawa Ghasia) alikuwa mkristo? Rais wa nchi hii ambaye ndiye mwajiri mkuu ni mkristo? Makamu wa Rais ni Mkristo? Acheni majungu na kuunga mkono mawazo ya watu wajinga. Natamani kujua elimu ya Ponda maana sitaki hata kumwita sheikh kwani naamini sheikh ni mtu mwadilifu, mcha Mungu si mtu mhuni anayetamani kuona watu wakimwaga damu kwa mambo ambayo hayana tija kwa nchi yetu. Mgawanyo wa ajira unafanywa kwa kutumia dini? Haya mambo gani ya ajabu haya? Kwa hiyo kama umesoma sana dini ya kiislamu hata kama huna qualification upewe ajira? Hivi ambao wasimamia ajira wote ni wakristo?
Nafikiri ifike mahali waislamu wakatae watu kama Ponda kwani wanafika mahali wanawadhalilisha waislamu ambao mimi ninaamini ni watu wenye akili safi na wanaofahamu ukweli wa kila jambo.
mkuu wangu naona kama bado hujanielewa vizuri... sijasema wala sitasema kama waislam wanabanwa na mfumo wa ajira uliopo..... kwa sababu sina ushahidi na hilo...hoja yangu ulikuwa ni umuhimu wa kujua imani(dini) ya mtu hasa kwenye suala la sensa. hapa sikuzungumzia uislam pekee. Nilichotaka kuelezea ni umuhimu wa kujua takwimu za imani za watu hasa katika kufanya maamuzi mbalimbali ya maendeleo. Tuache kuhusu uislam .....kwani tatizo la waislam katika ajira linajulikana toka zamani.....Kwa mfano unahitaji dereva wa lori lako ulilokopa liweze kufanya kazi siku 7 kwa wiki ili uweze kulipa deni.... na unawasaili madereva wawili... mkristo (msabato) ni mzuri kuliko yule muislam... sasa hapo huoni kama ni dini ndiyo itakusaidia katika kufanya uamuzi???? Aidha ukubali kulitumia lori lako kwa siku 6 (mkristo) au siku 7(muislam). hoja yangu ndiyo ilikuwa hapo yaani kwa namna gani dini(imani) ya mtu inavyosaidia katika kufanya maamuzi.Hayo yote walisha analyse wakubwa wakaona alot of confusions exists unapoingiza swala la udini kwenye mipango ya nchi.kulingana na Sheikh Ponda anadai waislamu wamebaguliwa kwenye mgawanyo wa national cake,ina maana kuwa kwenye ajira za nchi hii waislamu wanawekwa pembeni.Hii siyo sahihi hata kidogo kwani unapoongelea swala la ajira ni kwamba ajira zinatolewa kwa ushindani.mwajiri anataka yule best candidate ndio atapewa kazi.kama ukija kupitia takwimu na kukuta waislamu ni wachache kwenye ajira ya serikali ina maana gani ni kwamba si wazuri katika soko la ajira,yaani hawana ushindani.Kwa vile mwajiri lengo lake ni kupata mtu aliye mzuri ili aje asaidie kutimiza malengo yake, ni lazima atachukua the best candidate bila ya kuangalia other criteria.Huwezi ukaacha watu wazuri kwenye soko ukachukua wabovu eti tu kwa vile ni waislamu.Chukulia wewe una biashara yako ya usafirishaji,unataka kuajiri dereva,wewe ni muislamu wamekuja watu wawili ambao mmoja ni muislamu na mwingine ni mkristo.Katika uchunguzi wako pamoja na interview ulizo wafanyia hawa watu wawili you are certain kuwa yule mkristo ni dereva mzuri kuliko yule muislamu.Na kuna all indications kwamba ukimuajiri huyo muislamu hata kaa muda mrefu kabla hajaibinua hiyo gari.Yule mkristo anautulivu wa hali ya juu na ni mjuzi kwelikweli wa kuendesha magari.Je uta opt kuajiri muislamu mwenzako katika biashara yako kwa sababu tu ni muislamu,bila kujali hasara utakazopata kwenye biashara hiyo ambayo mtaji wake umekopa bank na umeweka nyumba yako kama colateral.
grndossy,Nafikiri imefika wakati kila mtu mwenye akili timamu kukemea hii non sense na hawa akina ponda. Mimi nishangaa serikali kwa nini inamfumbia macho mrundi huyu. Mna agenda gani na mrundi huyu? Hivi waislamu mnataka tuamini maneno anayosema ponda mnakubaliana nayo???????? Unajua kuna mambo mtu mzima anaongea unajiuliza alimaliza kunyonya lini maana kama ameanza angalau kutembea hawezi kuwa na akili hizi. Hivi kujua waislamu wako wangapi kwenye sensa inatusaidia nini? Wanaotetea wazo hili watuambie na sisi tujue!!!!!! Ponda anajua maana ya sensa? Moja ya kazi ya data za sensa ni kujua namna ya kugawa raslimali za nchi kwa usawa. Je idadi ya waislamu inatusaidiaje hapa? au kwenye elimu, afya, miundo mbinu n.k. Kuna huduma za waislamu peke yao na wakristo peke yao? Au kuna agenda ya siri kuhusiana na suala la Ponda? Kwani Zanzibar walitumia kigezo cha katiba wakachoma makanisa, kwa mtindo huo anataka kutumia kigezo cha sensa achome makanisa huku bara. This time we are fed up, kama akileta huo ujanja wake hatutavumilia. Wakristo tumevumilia sana vitendo hivi vya kijinga. Tumechoka, enough is enough.
Suala la ajira, aliyekuwa katika Wizara hiyo kwa muda mrefu (Hawa Ghasia) alikuwa mkristo? Rais wa nchi hii ambaye ndiye mwajiri mkuu ni mkristo? Makamu wa Rais ni Mkristo? Acheni majungu na kuunga mkono mawazo ya watu wajinga. Natamani kujua elimu ya Ponda maana sitaki hata kumwita sheikh kwani naamini sheikh ni mtu mwadilifu, mcha Mungu si mtu mhuni anayetamani kuona watu wakimwaga damu kwa mambo ambayo hayana tija kwa nchi yetu. Mgawanyo wa ajira unafanywa kwa kutumia dini? Haya mambo gani ya ajabu haya? Kwa hiyo kama umesoma sana dini ya kiislamu hata kama huna qualification upewe ajira? Hivi ambao wasimamia ajira wote ni wakristo?
Nafikiri ifike mahali waislamu wakatae watu kama Ponda kwani wanafika mahali wanawadhalilisha waislamu ambao mimi ninaamini ni watu wenye akili safi na wanaofahamu ukweli wa kila jambo.
Mkuu wewe huoni mtego hapa??Si kweli kwamba Marekani kwenye sensa wanahesabu ufuasi wa dini. Hicho kifungu kinachotaja dini ya mtu sijawahi kukiona.
Wasukukuma tuko kama 8m ambayo ni 20% ya Watanzania. Vipi hilo Sheikh Ponda from Burundi?
hivi kuwa shekhe inabidi uwe na elimu gani...?
maana reasoning lazima iwepo eb nisaidieni jamani....!
Sheikh Ponda amejipa kazi ya kuenesha shari nchi hii. Pengine ni kwa sababu ya tatizo la ajira, lakini sioni ni kwa vipi waislam watakaa chini na kumsikiliza huyu semi-illiterate!<BR><BR>Week chache zilizopita alikuwa anapiga debe kuwaunga UAMSHO, sasa makanisha yamechomwa kakimbilia kwenye sensa! UAMSHO kawaacha kwenye mataa! Ni aina ya ma-sheikh kama hawa wanaoudhalilisha uislam. Hana la maana alilofanyia hii nchi zaidi ya kugawa watu.
Pole sana hujui hata unachokiandika kuhusu Ponda. Una kitu bado kinakusumbua katika elimu yako ndio maana hata ukweli akiuongea mtu asiye kuwa wewe bado hutaki kuuona kama ni ukweli. Kwa namna hii basi hili ni tatizo
Mi naona mnatafuta sababu nyingine ya kuandamana. Mtaandamana kupinga matokeo ya sensa, mtaandamana kutaka mkurugenzi wa Takwimu naye ajiuzulu. Mi nawajua, sensa ikitoa matokeo kinyume na matarajio yenu, kesho yake wote mko barabarani. Hebu jihesabuni wenyewe tu, maana mfumo wa sensa wa sasa hauwezi kutupa majibu ya contraversial issue kama hiyo ya idadi ya waislamu.