Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

Ukweli
husemwa:

Kama madai uliyoyatoa ni ya kweli, basi utakuwa ana mizizi imara ndani
ya serikali ya Tanzania inayomfanya kuendesha shughuli za kidini na
kijamii bila wasiwasi nchini huku akifahamu kama ni mhamiaji haramu.

Only in Tanzania.

Tena huku intelijensia ipo! Jk kuna namna ananufaika nae hasa wakati wa uchaguzi.
 
JAPUONY

Well said mkuu! tena nasikia ana jamaa zake warundi wengi sana wako jiji la Mwanza na ameonekana sana huko mara kwa mara na wengine walijiingiza hata kusoma shule za huko ila dhamira ni uchafuzi wa amani!
 
Last edited by a moderator:
Hata Mimi nilikuwa najiuliza mtz gani Huyu asiyependa Amani. Kumbe mrundi huyo. Jasiri haachi asili.
 
Leta ushahidi wa Ponda siyo raia tuambie kasoma wapi kaingia Tanzania lini kazaliwa wapi.

Kumbukeni hata Lawrence Kego Masha akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani alitoa uraia kwa Warundi zaidi ya 100,000 kuwa Watanzania na pesa alihongwa na UNHCR kutetea hoja hiyo ipite. TAMISEMI pia baadhi ya Wakurugenzi na Watendaji walikula pesa hizo za UNHCR...
 
Jamani, kwa nini tusijifunze kwa Moi, jinsi alivyomzima yule shehe wa Mombasa? alipokwenda Norway tu, Mafia Moi akafuta passport yake.

Serikali ya CCM imeshawashughulikia watu wengi tu, na wengine raia waliokuwa wanataka kuhamia upinzani, sasa Ponda anawashinda nini? au ni Mtaji wa serikali ya CCM katika 2015 elections?

By the waym who is Ponda? ana nini cha maana hadi tukose usingizi?
 
Kumbukeni hata Lawrence Kego Masha akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani alitoa uraia kwa Warundi zaidi ya 100,000 kuwa Watanzania na pesa alihongwa na UNHCR kutetea hoja hiyo ipite. TAMISEMI pia baadhi ya Wakurugenzi na Watendaji walikula pesa hizo za UNHCR...

Kwa hiyo Ponda alipewa uraia na Masha alipokuwa waziri.
 
Hakuna mtu nyoka wa maendeleo kama yule anaesema kuna kitu kibaya anakijua ila anasubiri mtuhumiwa akane kwanza. Huo ni upuuzi, haina tofauti na wale wanaosema wanawajua Mafisadi, wauza unga na wezi wa EPA ila wanaomba wajisalimishe wenyenwe.

Kama watu wanajulikana kwanini wasiwekwe hadharani. Unaficha ili watanzania wenzako waendelee kuumia? Hizo njia hutumiwa na wala rushwa ili utafutwe upewe kitu kidogo mambo yazimwe au kutafuta cheap popularity ili watu wakujue kuwa na wewe upo.

Kama unazo facts weka hadharani nini cha kuficha?
 
Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi yoa Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.
Nilijua tu ingawa kwa ujumla hiyo ndiyo tabia ya WENZETU.
 
naomba nitangulie kwa kukuita "mmbea"...umesema unatuthibitishia alafu hauthibitishi,unasema utamwaga hapa-hujamwaga,umeona utuambie-bado hujatuambia......au kuna mtu unamwogopa hapa,ongea kama unataka kuongea,,,,sio kutisha tisha,it is very possible kwamba ponda yupo JF na hatumii jina lake,mwaga kila kitu,,,,nashindwa kukuelewa una nia gani kutishia....amua moja,,,sema au kaa kimya.
----kuhusu vyombo vya usalama kufahamu hilo una evidence ya kuambia watanzania ili wakuelewe?

Ndugu Wanabodi,

Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda analipwa na baadhi ya Watanzania walioko nje ya nchi kuratibu shughuli zote za vurugu kupitia mgongo wa dini ya Kiislmu ambayo hata siku mmoja mafundisho yake hayaelekezi watu kufanya vurugu na mauaji bali AMANI.

Bw. Ponda, anafadhiliwa na watu hao walioko USA, UK na nchi za Uarabuni. Nawathibitishia hili manake hata wakati wa sensa Bw. Ponda kupitia pesa hizo hizo aliweza kutoa machapisho tena za gharama akazisambaza nchi nzima kwa kutumia vijana ambao anawalipa yeye na yeye mwenyewe akiwa anazunguka katika baadhi ya mikoa kama ya Kigoma na Tanga. Wafadhili wake wengine tunawafahamu hadi kwa majina, akibisha tutamwaga hapa...!

Nimeona niwaambie
hili ili mjue kuwa Ponda siyo kuwa natetea maslahi ya Waislamu bali TUMBO lake, pili, hana uchungu na vurugu ambazo anaziendesha hapa nchini. Tumekuwa tukirudi nyuma kwa uchumi siyo tu kwa sababu ya Rais wetu lakini pia kutokana na watu wachache kama hawa wakina Ponda.

Nina imani kuwa vyombo vya USALAMA vinafahamu hili lakini wameshindwa kuchukua hatua.[/QUOTE]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom