Salim A. Msangi
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 566
- 511
Sheikh ponda ametoa wito kwa jamii na kwa rais magufuli na kusema kuna mauaji ya kutisha yanaendelea nchi hii na kusema upo umuhimu wa mamlaka nyingine kama bunge kushughukikia suala hili na sio kuiachia serikali pekee
Amesema kwa sababu hali ni mbaya sana ipo haja ya kuunda tume huru ya bunge
Ameonyesha habari iliyoandikwa na gazeti la Nipashe ya miili ya watu 15 kukutwa kwenye viroba baharini na walioua hawajulikani hii ni ishara kuwa hali ni mbaya
Pia ameziasa taasisi za kutetea haki za binadamu kukemea hali hii
Amesema waliopotelewa na ndugu watoe taarifa polisi na kwa viongozi kama wao
Usisahau ni kiongozi wa kiroho ana dhima kubwa juu ya salama ya nchi hiii anapaswa kuijenga jamii katika mitazamo chanyaAkili Tupi ni ya kwako we mburura. Huwezi kujiuliza hapo doti kwamba ni lini Ponda akawa mtetezi wa haki za binadamu? Je Ana uhakika kuwa waliouawa ni waislamu? Kama ni waislamu, ni wa maeneo gani na alijuaje? Je Hana mahusiano nao?
Hayo majitu yana roho mbaya kuliko shetani unadhani wana haja na hayo yamelenga chuki zao kwa ponda tuuu hawana haja na maneno yake hats kama yangekuwa mazuri kwa kiasi ganiHilo gazeti aliloshikilia ni mali ya nani? aliyeandika hiyo habari ni nani? Sheikh anaposema waliopotelewa ndugu zao waende wakatoe taarifa kunakohusika anamaanisha nini? ama hujamsikiliza vema?
Ulitaka afe nani kwani ili ionekane atakuwa sahihi kuzungumzia maradhi ya chuki yanawatesa mnoAmetekenywa katekenyeka, yye tu ndio ana uchungu wa waliokufa, yeye tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka Kushindana na Serikali hutowezaYapi hayo ya ajabu ambayo yanahalalisha watu kuuwawa kiholela,
Kujitoa mhanga kwa ajili ya wengine ni kawaida tu,kama Nyerere angekuwa muoga kama wewe hadi leo tungekuwa tunatawaliwa,tizama afrika kusini nkUkitaka Kushindana na Serikali hutoweza
Yapi hayo ya ajabu ambayo yanahalalisha watu kuuwawa kiholela,
MPE makavu huyoUsisahau ni kiongozi wa kiroho ana dhima kubwa juu ya salama ya nchi hiii anapaswa kuijenga jamii katika mitazamo chanya
Labda una chuki kwa kuwa msemaji wa ushauri ni ponda mvaaa kanzu na kofia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli katika hili nampongeza sana shehe Ponda. Nawashangaa sana maaskofu wetu kwa kimya hiki dhidi ya mamlaka kwani ndio yenye dhamana ya ulinzi wetu.
Hivi zile sala za kumuombea mkuu Wa mamlaka ni kwa ajili ya haya yanayotokea na kuhusishwa chinichini na hayo mamlaka? Maana wakati mwingine kimya ni sawa na kusema ndio.
Viongozi wangu Wa kikristo wanapotea njia
sheikh Ponda ametoa wito kwa waliopotelewa na ndugu kuripoti kwake
Rudi darasani we we mwenyewe ushafaham anaitwa shekh unauliza non hapo achadharau walikuwepo kwenye viburi kuliko weweNingependa utufahamishe.
Shekh Ponda ni NANI na anawakilisha kundi gani katika jamii?.
Sent using Jamii Forums mobile app
si tuliambiwa Roma atapatikana kabla ya DOMINICA na akapatikana?, huyo aliyemwambia kuwa atapatikana 2030 ni nani?, tusaidie tumjue ili tumuepukeYaaaani Weeweeeeee, kwa hili Ponda yuko sahihi 100%
Akina Ben Saanane wamepotezwa kijinga jinga tu. Roma Mkatoliki mwanamuziki naye aliambiwa ataachiwa mwaka 2030
Mi nafikiri wanaompinga Ponda kwenye hili wanafurahia ushetani wa hawa mashetani.
Sent using Jamii Forums mobile app
mueleweshe aelewe, ponda si maarufu au muhim kihivyo mpaka kila mtu amjue na amchukulie utakavyo wewe, sheikh ponda ni mchumia tumbo asiyejua asemachoRudi darasani we we mwenyewe ushafaham anaitwa shekh unauliza non hapo achadharau walikuwepo kwenye viburi kuliko wewe
Sijui ni nini kipo nyuma ya povu lako. Actually lengo langu lilikua Ni moja tu.Rudi darasani we we mwenyewe ushafaham anaitwa shekh unauliza non hapo achadharau walikuwepo kwenye viburi kuliko wewe
Kuwa na watu wenye uwezo mdogo wa kupambanua mambo Tz ingekuwa ya mwisho duniani kwa wenye IQ ndogo. Unawezaje kumkamata msoma gazeti kwa kile kilichoandikwa gazetini?Huyu Sheikh abanwe aseme vizuri, itakuwa anawajua waliouawa na aseme kwa nini ana uhakika kuwa maiti zimetoka upande wa Tanzania Wakati zimekutwa baharini? Kwani bahari ipo Upande wa Tanzania tu?