Sheikh Ponda: Furaha imetoweka, tutafakari upya

Sheikh Ponda: Furaha imetoweka, tutafakari upya

Mpwa fanya kuokoa jahazi
Mpwa niko huku ukanda wa tetemeko la ardhi titafutane, nakuja huko jiji la fitina na majungu kesho.

Tatizo kubwa ni kwamba makusanyo ya serikali yameongezeka ila shughuli za uchumi zimedorora, automatically lazima uchumi ushuke na mzunguko wa pesa udorole.

Tatizo la mtukufu anadhani anawakomesha mafisadi kumbe wanaoumia ni raia wema kabisa.

Mafisadi kwao kuhamishia biashara zao nchi nyingine ni kitu cha dakika chache tu.
 
Mkuu am very sorry 4 u. yaani kwa sababu ya tumbo lako tu unamvua mtu uraia?????? Vurugu gani unazozizungumzia kama sio wewe mwenyewe mchochezi...Yaani umenitia hasira sana ungekuwa jirani ningekunasa makofi.

Acha ujinga,naongea navyosikia na hauwezi kunipangia,nimeuliza maana kuna tetesi zinasema ana undugu na generali ulimwengu
 
Islam has nothing to do with dirty money, kama pesa haikuwa ya halali basi hakuna walilokuwa wakifanya mbele za Mweny-Ezi Mungu.

Hile misikiti yote aliyojenga oil com??Kwanini sasa ulimkubali na kukubali pesa zake na wakati mkijua pesa zake si za halali????
 
Naona zile pesa haramu mkipewaga zimepotea mmejikita mitandaoni kulalamika. Tafuta kazi au jiajiri hazirudi tena. Sheikh wenu anataka kuhalalisha fedha haramu kwa furaha wakati dini yetu ya Kiislam kwenye suuratil baqra imetamka kukatazwa kwa ufisadi. Pesa haramu ndio zilizokuwa kwenye mzunguko hata Mungu hazipendi hivyo JPM anatekeleza amri ya Allah SW na kama utaipinga basi utakuwa umeikana Quran na umemkana Allah SW. Pesa chafu pesa za shetani ndizo zilizokuwa zinawapa furaha mitaani. Allah SW atamlinda Rais wetu kipenzi na mahasidi kama nyie na mafisadi

Ukweli mtupu ndugu,Allah akupe umri mrefu In Shaa Allah
 
Naona kasema yasiyokupendeza

Huyu ni mtu wa vurugu kila siku,inasemekana ana undugu na generali ulimwengu,sasa ndo mana nataka confirmation ya uraia wake wa kweli maana akizinguaga tz anakimbilia Burundi
 
Hakuna mtu aliyeng'anywa kipato halali. Watu wamezuiliwa vipato kharamu. Hivyo basi, wajifunze kuishi kutokana na vipato halali. Kama mnategemea au mnaomba Rais aruhusu watu waibe ili wawe na furaha sahauni!

Washazoea hela haramu za waarabu
 
Usini quote kisha kuweka upupu kama huu. Nani alikwambia wote walikuwa wanaishi kwa fedha haramu? Wewe huoni kila leo watu wanaachishwa kazi huko? Ndio uchumi gani huo? Wewe unaona taifa lina furaha yake iliyozoeleka miaka yote? Au unataka kumlisha maneno si yake sheikh ponda. Umuombee msamaha wewe huo wa kwako hujaweza kujiombea. Sray away!

Haaa mshazoea kuiba,kustarehe pesa za serikali na hamfanyi kaz vizuri haaaaa,mkwere aliyekuwa anapokea mafile yenu na kuwachekea kashatoka,huyu anapokea file na hapo hapo anakufukuza,tunataka tz mpya in shaa Allah
 
Haaa mshazoea kuiba,kustarehe pesa za serikali na hamfanyi kaz vizuri haaaaa,mkwere aliyekuwa anapokea mafile yenu na kuwachekea kashatoka,huyu anapokea file na hapo hapo anakufukuza,tunataka tz mpya in shaa Allah
Mkwere hakuwahi ku deal na mafaili yangu. Mi mafaili yangu yanaangaliwa na watu wengine mbali kabisa na nchi ya maigizo hiyo. Kwangu jpm hajaathiri chochote katika mifuko yangut, mwenye kuathiri mfuko wangu ni Obama na kwa sasa tunamsubiri Mrs. Clinton au Trump ambao kwa vyovyote iwavyo hawawezi kuja na sera za uchumi kutoka vichwani mwao. Hapa uchumi uko katika mikono salama ya Council of Economic Advisors, haijalishi anakuja nani. Mtasomana namba wenyewe huko.
 
Huyu ni mtu wa vurugu kila siku,inasemekana ana undugu na generali ulimwengu,sasa ndo mana nataka confirmation ya uraia wake wa kweli maana akizinguaga tz anakimbilia Burundi
Wewe kama nani??

Historia ya babake ponda anaijua nyerere wakati wa harakati za uhuru

Mnapenda umbea kuliko kutafuta ukweli

Hivi unaijua kazi iliyofanywa na baba wa ponda kwa ajili ya nchi hii wakati huo?
 
Kama BAKWATA sio chombo cha Waislamu si muachane nacho? Nyie undeni vyombo mnavyoona ni vya Waislamu, simple and clear!
Mbona tumeshajaribu kuunda vyombo mara nyingi serikali inagoma kusajili!
 
Kama BAKWATA sio chombo cha Waislamu si muachane nacho? Nyie undeni vyombo mnavyoona ni vya Waislamu, simple and clear!
Mbona tumeshajaribu kuunda vyombo mara nyingi serikali inagoma kusajili!
 
Huyu hana tofauti na Askofu Gwajima. Wote huwa wanaongea kile wanachokiamini.
Haa!!gwajima kazidi utapeli ,"kanisa la ufufuo" liko mtaani si bora lingehamia mochuari.au atufufulie balali wetu.
 
Huyu ndie sheikh pekee Tanzania anaejitambua na alieamua kusema haki bila kujali anamfurahisha binadamu wa madaraka gani aliyonayo ni mtu wa Mungu na anasema kutimiza amri za Mungu, haya ya kufurahisha wanasiasa amewaachia bakwata.
🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom