Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,842
Nifah, na sie tusio waislam je?Sasa nimepata jibu la misukosuko iliyomkumba Sheikh Ponda, na Mungu kwa kuonesha utukufu wake yote mabaya yaliyolengwa kwa mja wake huyu yaligonga mwamba.
Ama kweli nimeamini msema mkweli ni mpenzi wa Mungu.
Ishi maisha marefu Sheikh Ponda...
Nami niwatakie Eid El Hajj waislam wenzangu kote ulimwenguni.