Man Mvua
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 2,179
- 3,525
mkuu jitafakali upya na kauli yako hujapata like hata moja wakati wanzako wengi wamepata japo moja ujue kauli yako haina ualisia.Hivi tunalamika kwa kukosa pesa kwa majukumu halali tuliyokuwa tukitekeleza ama majukumu ya ujanjaujanja. Tunahitaji kubadilika na si kulalamika hakuna hela huku umelala ama kukaa vijiweni bila ishu ya msingi. Mimi ninachokiona sio tu hakuna pesa ila wengi wetu tulizoea kupata pesa