kiroboto21
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 887
- 326
Hivi sheikh Ponda ni mtanzania kweli???maana asiwe anataka kuleta vurugu tu aisee,apeleke siasa kwao Burundi
Huyu ndio kiongozi wa waisilamu ninayemjua,sio wale wa ccm bakwata maana sii chombo cha waisilamu
Ewe alah mpe maisha marefu kiongoz wa waislamAMA kwa hakika JK atakumbukwa daima! baraka na neema vimetoweka vyote
msema kweli......Sasa nimepata jibu la misukosuko iliyomkumba Sheikh Ponda, na Mungu kwa kuonesha utukufu wake yote mabaya yaliyolengwa kwa mja wake huyu yaligonga mwamba.
Ama kweli nimeamini msema mkweli ni mpenzi wa Mungu.
Ishi maisha marefu Sheikh Ponda...
Nami niwatakie Eid El Hajj waislam wenzangu kote ulimwenguni.
Hivi tunalamika kwa kukosa pesa kwa majukumu halali tuliyokuwa tukitekeleza ama majukumu ya ujanjaujanja. Tunahitaji kubadilika na si kulalamika hakuna hela huku umelala ama kukaa vijiweni bila ishu ya msingi. Mimi ninachokiona sio tu hakuna pesa ila wengi wetu tulizoea kupata pesa
Ewe alah mpe maisha marefu kiongoz wa waislam
Ccm akili zetu mnawaza vurugu tu. We umeshawahi kuona wapi maoni ya mtu yamesababisha vurugu?Hivi sheikh Ponda ni mtanzania kweli???maana asiwe anataka kuleta vurugu tu aisee,apeleke siasa kwao Burundi
Kabisa... kama ni haki anazungumzaSheikh Ponda is a principled person. Si mnafiki, hamumunyi maneno
Nawe mkuu eid maqubur...!Sasa nimepata jibu la misukosuko iliyomkumba Sheikh Ponda, na Mungu kwa kuonesha utukufu wake yote mabaya yaliyolengwa kwa mja wake huyu yaligonga mwamba.
Ama kweli nimeamini msema mkweli ni mpenzi wa Mungu.
Ishi maisha marefu Sheikh Ponda...
Nami niwatakie Eid El Hajj waislam wenzangu kote ulimwenguni.
Heeh ndg yangu upo?!Furaha inatoka wapi wakati pesa hakuna... kila siku heri ya Jana