Ukoo Flani
Senior Member
- Sep 1, 2011
- 156
- 41
- Thread starter
-
- #121
Mimi sioni tatizo kujua idadi ya dini na waumini wake hapa nchini mbona nchi zingine takwimu kama hizi zipo wazi kuna nini Tanzania?
Nafikiri kiswahili kidogo kimekuchanganya hapo.
Mimi nilivyomwelewa ni kuwa zaidi ya 80% ya waislam hawatamsikiliza maagizo ya Mufti wa BAKWATA. na amesema kuwa Waiskam ni zaidi ya 50% ya population ya waTz.
Hivyo ndivo nilivyomwelewa mimi ambaye kiswahili ni lugha ya kigeni kwangu.
Lugha yangu ya asli ni ile inayoandikwa kutoka kulia kwenda kushoto.
nyie mnaongea ila hamna hata rejea sheh issa katoa evidences kibao,walitaja mpaka vifungu vya u.n na o.a.u au hamkusikiliza wala kutizama bali mlihadisiwa,maana ata hiyo faida ya kuingizwa kipengele cha dini pia alikiongelea sasa sijui tatizo nini kwenu,tusiwe wapofu wa fikra,jaribu kufungua milango ya mawazo na lipe uzito jambo kabla hujaliona jepesi.si kila lisemwalo ni duni ila muda mwingine fikra zetu wapokeaji ndio huwa duni.......fikiri kwanza kisha jenga hoja yenye rejea
Utashangaa sana kwanini the western nations pamoja na kuwachukia wanazo standards zinazowazuia kumaliza jamii fulani.Otherwise kuitoa iran ktk ramani ni kitu ndogo tuu one nuke.Nilikuwa nikiangalia sababu za moja ya magonjwa ya kiakili unaoitwa Schizophrenia, ugonjwa ambao mgonjwa husikia sauti na kumuamrisha kufanya vitu, sijawahi kuona huu ugonjwa ukiandikwa ni kitu gani kinachousababisha, je unaweza kutupa sababu za ugonjwa huu?
Utashangaa sana kwanini the western nations pamoja na kuwachukia wanazo standards zinazowazuia kumaliza jamii fulani.Otherwise kuitoa iran ktk ramani ni kitu ndogo tuu one nuke.
By the way ikiwa iran wameshaingia zenj ,soon, mtagawana tuu kanchi hako halafu muanze pigana vita kwa minasaba ya watawala wa madhehebu hayo, kwani wa-shia wale wanawachukia was-sunni.Si mlimkata Imam wao shingo shingo kwa staili ya kuchinja ngamia ?
Ile thread yako ya udini kuhusu uamsho.. umeikimbia baada ya kukosa wachangiaji.. umehamia.huku kumwaga sumu ..haya na hapa tuletee hiyo suna Abu dawud ..
Kwani wewe ni dini ipi?
mie mwanafunzi wa YESU KRISTO
Njoo basi ujifunze aliyoyafundisha Issa Bin Mariam, Uislaam ni katika mafundisho ya Mtume Issa. Hebu jaribu kufunguwa Qur'an uone kuanzia alivyozaliwa, alivyofanya miujiza, mama yake, Nnakuhakikishia katika Qur'an utayakuta mengi ya mema ya Yesu na mama yake Bi Mariam Tazama:
I'sa (Yesu) a.s., alitabiri atakuja Ah'mad s.a.w., 61:6;
anaomba Meza ya vyakula, 5:114;
hakufunza ibada potovu, 5:116-118;
hakusulubiwa, 4:157; kapewa Injili, 5:46;
kunyanyuliwa, 3:55-58; 4:157-159;
kuwa ni Ishara, 23:50; 43:61;
kuzaliwa kwake, 3:45-47; 19:22-33;
mfano wa Adam, 3:59;
Mtume kwa Waisraili, 3:49-51;
Nabii mwema, 6:85;
si Mungu; 5:17, 5:75;
si mwana wa Mungu, 9:30;
si zaidi kuliko Mtume, 4:171; 5:75; 43:59; 63:64;
Ujumbe na miujiza, 5:110; 19:30-33;
ujumbe wake una mipaka yake, 13:38;
wafwasi wake wana huruma na rehema, 57:27;
wanafunzi, 3:52-53; 5:111-115;
wanafunzi wake kuwa ni Wasaidizi wa Mwenyezi Mungu, 61:14;
wanafunzi wake wanajitangaza kuwa ni Waislamu, 5:111;
Mariamu, (mama wa Nabii Isa a.s.), kalinda uke wake, 21:91; 66:12;
kamleta mtoto kwa watu wake, 19:27-33;
katika kujifungua kwa uzazi, 19:23-26;
kuzaliwa kwake, 3:35-37;
Malaika kumwambia atamzaa Nabii Isa a.s., 3:42-51; 4:156; 19:16-21;
kwani ponda nahubiri nini na hii thread ni ya nini?Unapata aibu kusoma Abu dawud?
Mfano wako wa Israel na Palestina sio sahihi, Israeli wangeachwa peke yao wangeshatandikwa siku nyingi na Wapiganaji wa Kipalestina, ila kwa vile Israel inasimamishwa na mataifa ya Magharibi, USA, UK nk
Vatican siyo nchi bali ni city ndani ya nchi ya Italy. Vatican ndo makao makuu ta Kanisa Katoliki. Haihitaji akili kubwa kujua kuwa Vatican ni kanisa ambalo lina kituo chake(balozi wa papa) hapa nchini which is well against the so called Katiba. Hamjui kuwa mambo yote ya vurugu haya ya migomo ya madaktari, mauaji ya watu wakiandamana kisheria yanaratibiwa na kanisa? hamjui? kama hamjui semeni niwapatie takwimu halisi za mambo yote haya(authentic data).
7. Marufuku nguruwe,
8. Marufuku misalaba,
9. Marufuku magovi,
10. Marufuku pombe,
11. Marufuku riba,
12. Marufuku zinaa (rukhsa wake wanne)
13. Marufuku ufisadi !
Abu dawud ni nani..?! mi simfahamu hebu nielimishe ..?
Njoo basi ujifunze aliyoyafundisha Issa Bin Mariam, Uislaam ni katika mafundisho ya Mtume Issa. Hebu jaribu kufunguwa Qur'an uone kuanzia alivyozaliwa, alivyofanya miujiza, mama yake, Nnakuhakikishia katika Qur'an utayakuta mengi ya mema ya Yesu na mama yake Bi Mariam Tazama:
I'sa (Yesu) a.s., alitabiri atakuja Ah'mad s.a.w., 61:6;
anaomba Meza ya vyakula, 5:114;
hakufunza ibada potovu, 5:116-118;
hakusulubiwa, 4:157; kapewa Injili, 5:46;
kunyanyuliwa, 3:55-58; 4:157-159;
kuwa ni Ishara, 23:50; 43:61;
kuzaliwa kwake, 3:45-47; 19:22-33;
mfano wa Adam, 3:59;
Mtume kwa Waisraili, 3:49-51;
Nabii mwema, 6:85;
si Mungu; 5:17, 5:75;
si mwana wa Mungu, 9:30;
si zaidi kuliko Mtume, 4:171; 5:75; 43:59; 63:64;
Ujumbe na miujiza, 5:110; 19:30-33;
ujumbe wake una mipaka yake, 13:38;
wafwasi wake wana huruma na rehema, 57:27;
wanafunzi, 3:52-53; 5:111-115;
wanafunzi wake kuwa ni Wasaidizi wa Mwenyezi Mungu, 61:14;
wanafunzi wake wanajitangaza kuwa ni Waislamu, 5:111;
Mariamu, (mama wa Nabii Isa a.s.), kalinda uke wake, 21:91; 66:12;
kamleta mtoto kwa watu wake, 19:27-33;
katika kujifungua kwa uzazi, 19:23-26;
kuzaliwa kwake, 3:35-37;
Malaika kumwambia atamzaa Nabii Isa a.s., 3:42-51; 4:156; 19:16-21;
Njoo basi ujifunze aliyoyafundisha Issa Bin Mariam, Uislaam ni katika mafundisho ya Mtume Issa. Hebu jaribu kufunguwa Qur'an uone kuanzia alivyozaliwa, alivyofanya miujiza, mama yake, Nnakuhakikishia katika Qur'an utayakuta mengi ya mema ya Yesu na mama yake Bi Mariam Tazama:
I'sa (Yesu) a.s., alitabiri atakuja Ah'mad s.a.w., 61:6;
anaomba Meza ya vyakula, 5:114;
hakufunza ibada potovu, 5:116-118;
hakusulubiwa, 4:157; kapewa Injili, 5:46;
kunyanyuliwa, 3:55-58; 4:157-159;
kuwa ni Ishara, 23:50; 43:61;
kuzaliwa kwake, 3:45-47; 19:22-33;
mfano wa Adam, 3:59;
Mtume kwa Waisraili, 3:49-51;
Nabii mwema, 6:85;
si Mungu; 5:17, 5:75;
si mwana wa Mungu, 9:30;
si zaidi kuliko Mtume, 4:171; 5:75; 43:59; 63:64;
Ujumbe na miujiza, 5:110; 19:30-33;
ujumbe wake una mipaka yake, 13:38;
wafwasi wake wana huruma na rehema, 57:27;
wanafunzi, 3:52-53; 5:111-115;
wanafunzi wake kuwa ni Wasaidizi wa Mwenyezi Mungu, 61:14;
wanafunzi wake wanajitangaza kuwa ni Waislamu, 5:111;
Mariamu, (mama wa Nabii Isa a.s.), kalinda uke wake, 21:91; 66:12;
kamleta mtoto kwa watu wake, 19:27-33;
katika kujifungua kwa uzazi, 19:23-26;
kuzaliwa kwake, 3:35-37;
Malaika kumwambia atamzaa Nabii Isa a.s., 3:42-51; 4:156; 19:16-21;
Mkuu, ingawa sina hicho kitabu ulicho quote, leo umeonesha u great thinker. Hivi ndivo mjadala unavopaswa kwenda - hoja kwa hoja sio hoja kwa jazba. Tukiendelea hivi, hadhi ya the home of great thinkers itadumishwa.
Ni muuza kitimoto pale namanga
Hata kwetu Ludewa ambako hakuna hata mwislam upige ban? Moderator safi sana kwa kuanza kumpiga ban halafu aone uchungu wa kuwapiga ban wenzake vitu wavipendavyo!!!!!7. Marufuku nguruwe,
8. Marufuku misalaba,
9. Marufuku magovi,
10. Marufuku pombe,
11. Marufuku riba,
12. Marufuku zinaa (rukhsa wake wanne)
13. Marufuku ufisadi !
Ni imbalance ya neurotransmitters especially serotonin na Dopamine. Pia kuna biopsychosocial hypothesis kuwa kama una ndugu mwenye ugonjwa basi nawe una chance ya kupata ugonjwa as well as kuwa na stress kwenye maisha kunaweza kuzivuruga hizo neurotransmitters! je ulikuwa na point gani baada ya maelezo haya?Nilikuwa nikiangalia sababu za moja ya magonjwa ya kiakili unaoitwa Schizophrenia, ugonjwa ambao mgonjwa husikia sauti na kumuamrisha kufanya vitu, sijawahi kuona huu ugonjwa ukiandikwa ni kitu gani kinachousababisha, je unaweza kutupa sababu za ugonjwa huu?