Sheikh Ponda akamatwa Dar!

nimeipenda hii from Kamanda Kova"......amesema kuanzia leo watu wote lazima wafuate sheria huku akisisitiza kuhusu jambo hilo amesema 'mambo ya kutofuata sheria, mambo ya kudhani kuna wengine wako juu ya sheria yamepitwa na wakati kuanzia leo..." kumbe huko nyuma kuna watu fulani walikuwa hawafuati sheria na yeye kamanda analijua hilo, wacha tusubiri yatakayojiri
 
Source; Radio One Sterio. Wanataka Ponda aachiwe bila masharti yoyote.
 
Mimi sijui kama kuna mwislamu mwenye akili timamu anaweza kushabikia uhuni wa namna hii! Throughout history, Waislamu wamekuwa watu wa shari na kwa sababu hiyo usilamu unapoteza heshima kila kukicha. Mwezi wa nne nilihudhuria kanisa moja hapa jijini kwa mwaliko wa rafiki yangu aliyekuwa anabatiza mtoto. Siku hiyo 40% ya wabatizwa walikwa ni watoto kati ya miaka 14-18 na % kuwa ni kutoka dini ya kiislamu. Hii inaonyesha ni jinsi gani hata watoto wanashwishika kuuhama uislamu kwa sifa mbaya uislamu unaojijengea. Matatizo haya yote yanatokana na udhaifu wa uongozi katika nchi katika kusimamia sheria na kujali usawa hasa katika elimu. Mimi sidhani swala hapa ni imani tu. Kubwa zaidi ni mapungufu katika elimu inayoweza kuwafanya wenzetu watoke huko waliko, wapate na kupambana kupata fursa mbalimbali, nje na ndani ya nchi. Hata masheikh wenyewe uwezo wao ni mdogo sana wa kuendana na kasi ya mabadiliko. Ndio maana mara nyingi nikisikiliza redio iman, huwa nashindwa kabisa kuamini. Elimu ndio mkombozi wa waislamu na si kuchoma makanisa kwani at the end of the day yatajengwa mengine na wale waliyoyajenga. Kwa kuyachoma, imani inazidi kwa wale waliochomewa. Kwa sasa serikali inapaswa kusimamia sheria, na kama inadhindwa basi jeshi lichukue nchi kwa muda. Looks like Kikwete amekuwa dhaifu mno au anatelekeza matakwa ya watu fulani. Kwa sasa taifa liko rehani. We don't see the state!! Hata usalama wa taifa haupo na ndio maana chochoko na mihadhara kupitia redio kama Iman inaendelea bila shinda huku magazeti yanayofichua ukweli kama Mwanahalisi yanafungiwa. We need a peaceful state, Otherwise we are doomed!!!
 
Mkuu wangu sielewi kabisa ila navyosoma hapa JF inaonyesha kwamba kuna tuhuma ama ushahidi kuwa Sheikh Ponda anahusika na mauaji ya Mbagala. Lakini hizi tuhuma ni za hapa JF sielewi ukweli ni upi ktk kukamatwa kwake na kama amehusika kweli ipo kila sababu ya kukamatwa na kupelekwa mbele ya sheria lakini kinyume cha hapo kama ni sababu ya yale maandamano ya kupinga sensa, akasimama kuiomba serikali iwaachie huru waumini wa Kiislaam waliokamatwa - hapo sioni kama lilikuwa kosa la watu kushabikia kiasi hiki maana hata Dr.Slaa, Mbowe Lema, Tundu Lissu wote wameisha kamatwa kwa makosa ya kutetea wafuasi wa Chadema ambao walikisiwa kufanya vurugu.

Wananchi wana kila haki na Uhuru wa kutoa maoni yao (freedom of expression). Ikiwa leo seirkali inapingana na maoni ya wananchi kwa sababu ya dini yao basi hiyo katiba mpya sijui itakuwaje. Na kila siku mnabishana na kina Ritz na Zomba humu mnawaita wao ndio wajinga, washenzi na wapumbavu wa kuitetea serikali. Serikali imekuwa ikitafuta ushahidi wa kumkamata Sheikh Ponda kutokana na mgomo na maandamano ya waislaam yalofanyika kupinga sensa ile hata kufikia kuharibu sensa nzima ya watu nchini...

Ifike mahala wanaChadema myapime maswala kwa kutazama makalio yenu wenyewe. Mnaiona Haki viongozi wenu wanawatetea wanaChadema lakijni hamuioni haki pale kiongozi wa Kiislaam anapopingana na Uongozi wa CCM. Kama Sheikh Ponda amehusika na njama zozote dhidi ya Wakristu na sio mfumo unaowakandamiza Waislaam basi nifahamisheni ili nami nishiriki ktk harakati hizi za kuwachambua viongozi hawa wa dini wanaosababisha UDINI..All I know Sheikh Ponda huikaripia serikali ya CCM kwa kuwakandamiza Waislaam kwa lugha ambayo hutoa hatadhari ya kwamba itafikia wakati Waislaam na wakristu watakuwa maadui..
 

Mkuu naomba Maxence na Invisible wakupe kazi ya Moderator maana unemwaga mapoint kuliko hata Kardinali Pengo na Askofu Malasusa
 
Hawa waislamu tumeshawachoka sasa, msione wakristo tupo kimya kwani tunajua na tunafata kile bwana wetu YESU KRISTO alichosema kwamba tutafute kuwa na amani na watu wote,
mbali na hapo lakini bado biblia imedeclare CRUSADE pia pale ambapo hekalu la bwana(KANISA) linapotakwa kuharibiwa kwa upanga na maadui, mfano hata kwenye biblia watu mtakumbuka kuhusuu vita vua israel na mataifa mengine like moabu, Sasa nyie tuchezeeni tu lakini pale tutakapoamua kutumia neno la Mungu mkuu alie hai ktk kuemploy CRUSADE WAR against muslims, hakika mtahama wote nchi na kukimbilia makka na madina, hakika mtatambua kuwa Mungu yupo upande wa nani,
note that:
HAKUNA HISTORIA INAYONESHA KUWA ISAKA ALISHINDWA ISMAIL"

Stay tuned!
 
Hapa ndipo mnapokosea sana wakristu kwa sababu wepesi sana kutukana matusi mazito mazito dini badala ya watu waliohusika tena ktk vitu ambavyo hamna ushahidi. Kuna tatizo gani kuifungia hiyo Redio Iman kwani inatakiwa saini ya Rais au..Nimewasoma sana hapa JF nadhani imefika mahala hili swala haina suluhisho lakini najua ukweli nikwamba Watanzania ni WOGA kupita maelezo. Mnauchonga sana mdomni nahata mkizibwa midomo basi maneno yatawatokea nyuma lakini vita hamuiwezi. CCM anatawala miaka 50 na atatawala tena miaka 50 kupitia sandiuku la Kura.
 
Serikali za awamu ya pili hadi ya nne mlimlea huyu Shekhe Ponda hadi leo na matokeo yake mnayaona. Wanasema uzipoziba ufa utajenga ukuta na kidonda kinatibiwa kingali kibichi ili kisijeuke kidonda ndugu/sugu. Sasa huyu mwiba mlikomfikisha ndoo hapa na serikali iwajibike kwa kujenga upwa makanisa, kurejesha bifaa vilivyo chomwa na kubwa zaidi kurejesha amani na udini mlioulea. Leo hii watoto na wajukuu zetu wanaongelea udini, utasikia wale ni waislam nawaogop!! Or wale ni wakristu ni kafri!!! Mh. Rais na Vyombo vya usalama, nchi imewashinda!!! Au kama haijawashinda basi na ninyi mnashabikia udini na ugomvi.
 
He!...kazi kweli, inawezekana waumini walishawahi kufanikiwa kuwatoa wenzao mikonomi mwa pilisi kwa kutumia mashinikizo.....kwani Kamanda Mwema anasemaje kuhusu suala hili la kiimani?
 

hivi we ndugu akili zako sijui huwa ni kambare ama paka, CHADEMA ipoje hapa?

Hapa ni Uislamu vs ukristo na sio CDM vs CCM.
 

Mkandara shida yangu hi hii!!! Gazeti la Mwanahalisi lilifungwa kwa sababu eti liliandika habari za ukweli!!!! Leo hii Radio Iman inachochea moto ambao kuuzima ni mpaka Bahari itumike halafu bado haijafungiwa!!!!! Ingekuea ni Radio Tumaini, Maria, Upendo, Wapo etc ungekuta zimeshafungiwa!!! Tubishe kama si kweli.
 


Kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa Shule ya Kiislamu wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro jana tar 16/10/2012.Baada ya waliotumwa kukamilisha kazi yao sasa tunakuja kwenye harambee ya ku-repair makanisa yaliyochomwa moto Mbagala na Kigoma! Haina cha M4C wala M4D hapa magogoni lazima gamba liendelee kuwepo 2015! Chezea GAMBAZZZZ Propaganda weyeeeeeeeeee!!!
 
Huna sababu yoyote ya kunitukana miye nmeuliza Sheikh Ponda amekamatwa kwa sababu gani?.. Hivi wewe umeona taabu gani kunambia anahusika na mauaji ya Mbagala? nimesema mimi nsijui sababu na ningeomab nielezwe tayari mnaona ni mshabiki kwa sababu tu mnajua Mkandara ni Muslaam. Ningekuwa nauliza kukamatwa kwa Dr.Slaa msingeyasema yote haya. Na kama ungesema unachokifahamu wewe kuhusu kukamatwa kwake ungepoteza nini? au unajua fika hujui sababu isipokuwa unajaribu kuaminisha watu hapa JF kuwa Sheikh Ponda anahusika na mauaji ya Mbagala? Ni swali dogo sana niliuliza niitaka nijue maana tayari nyie mmeisha anza kufanya kampeni za Kidini kuwafanya watu waamini jambo ambalo hamlijui wala hamna Uhakika.
 

Aaaaaaah.
Nawe mzee mzima unaongea uharo kama huu?
Au ndivyo ulivyo fundishwa ukiwa mtoto?
No wonder na watoto wako una wafundisha upuuzi kweli kweli.

Kubwa zima ovyoo.
 
Kilichofanya sheikh Ponda akamatwe ni kitendo chake cha kuzuia kiwanja cha chang'ombe kisiuzwe kwa kujenga msikiti.Kwa vile bakwata(mawakala wa mfumo kristo) wameshakula fedha za hicho kiwanja wameiomba serikali imkamate,
 

hata Rwanda walisema hivi hivi kuwa wananchi yake ni waoga but siku ilipofika hakuna aliyewza kuyameza maneno yake,
nyie wailsamu mtaona tu kwani kisasi ni juu ya Bwana na vita ni vya Bwana.
 
Kuna pahala itabidi tuwe tunaacha kuchanganya dini na siasa.Hakuna connection yoyote hapo zaidi ya kuonyesha hisia zinavyokutuma in a very wrong way...Ni angalizo tu mkuu wangu,kuna namna mnachanganya siasa na dini na ndiyo maana unahisi hayo mambo.Hilo linapelekea kutoa michango ambayo ni out of context.Tfadhali usifanye majumuisho na uangalie uanachama wa siasa tofauti na kuangalia imani ya mtu.Hayo ndiyo yamesababisha matatizo haya tunayoyashuhudia kwa kuwekeza chuki kwenye hisia za wana dini wenzenu,mambo kama mfumo kristo na mengineyo,mambo ambayo yanapelekea waislam kwenda kushambulia watu wa imani nyigine kwenye kila tatizo wanalokumbana nalo,iwe kisiasa,kijamii na hata kiuchumi.It is a very dangerous route.

Nimesema hivyo kwasababu wewe unajiita "Mwanachadema Muislam",kwa mantiki hii,haukisaidii chama chako wala dini yako,i'm just saying.
 
Naona leo Mkandara ameibiwa password na jamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…