Sheikh Ponda akamatwa Dar!


Nianze sai , nianze nkate?

Tuache sharia ichukue mkondo wake. Tuombe haki isimame na kutendeka kwa wote.

 
MGANGA WA KIENYEJI katishie ukoo wako!! pathetic! kama amekosa aadhibiwe kama mwanadamu yeyote yule, na kama hana hatia aachiwe! period! USITAKE KUTISHA TISHA WATU!
 
Last edited by a moderator:

hapo ndipo tofauti ya viongozi wa Kikristo na Kiislamu ilipo , Ni kweli Mokiwa kaomba radhi kwa kadhia ile, lakini Mokiwa hakuwashawishi waumini wake wakachome moto misikiti kwakua kuna Bible ziliunguzwa kwenye makanisa hayo...hiyo ndio Ishara ya uongozi na hekima iliyotukuta.

Huyu Ponda anafanya dini zenye ushari na hatari , anatamani kuishi kwenye Taifa lenye Waislamu watupu, kitu hiko hakiwezekani, na mimi bado nashangaa akili za watu anaowashawishi kuchoma moto makanisa, wakati huo huo wanasema kuwa chanzo cha tukio zima ni mabishano ya watoto wakiislamu na yule kijana aliekojolea Quran, sasa kama ni mabishano ya watoto MAKANISA YANAHUSIKAJE.

Tukio lile lilipangwa , maana Tangu Jumatano wao wanakuja kuchoma moto makanisa Ijumaa, AIBU KWA WAISLAMU WA MBAGALA WALIOHUSIKA NA UHAMBA HUO.
 
Mkuu kwa hiyo Kama Serikali walizembea waendelee kumwacha aendelee na uchochezi?
 

Sasa Barubaru wewe nae ujitahidi kuonyesha utofauti na hawa watu aina ya uamsho.

Waingereza wana msemo wao maarufu "two wrongs does not make it right" lakini wewe unaonekana kuwa na mawazo sawa na sheikh ponda katika suala hili.

Kwanza unaelewa kwamba tayari yule mtoto amekwishafikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayomkabili, na vivyo hivyo waislamu wote walioshiriki kuchoma na kupora makanisa nao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, kwahiyo hapo ni sheria ya nchi tu ndiyo inafanya kazi. Na katika hilo kwakuwa sheikh ponda mekuwa akitoa maneno mengi ya chuki dhidi ya wakristo na hata hili la mbagala amelitumia kuwapongeza waislamu na kuwataka waendelee kufanya hivyo hivyo nchini kote, basi atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili kama wengine.

Na kwa suala la Askofu mkuu wa kanisa la Anglikan kuomba radhi kwa muumini wake kwa kitendo alichofanya huo ndio uongozi wa kiroho unatakiwa kuwa. Sasa ninyi ndugu zetu mbona hatujasikia mkiomba radhi kwa matendo maovu ya wenzenu wa mbagala? Kwanini ndugu zako walifikia hatua ya kupora fedha(zaka na sadaka) pamoja mali nyengine za kanisa? manake baadhi ya vitu vimekamatiwa majumbani mwao.

Kwahiyo ndugu yangu sidhani kama na wewe unaswihi kutetea huu ujinga unaofanywa na sheikh ponda.
 
Last edited by a moderator:
Two wrongs don't make a right. Pamoja na hiyo ni lazima uangalie mazingira yaliyopekea Qoran kukojolewa.

kweli kabisa lakini pia pamoja na hayo ni lazima uangalie mazingira yaliyopelekea makanisa kuchomwa.
 
By MGANGA WA KIENYEJI
Tanzania bado tuna kazi kubwa.
 

na aliyesema TUTAHAKIKISHA NCHI HAITAWALIKI.HATUMTAMBUI RAIS NA NGUVU YA UMMA ITAITOA SERIKALI MADARAKANI...Kama si uchochezi sijui utalisemeaje?
 
Sijajua tatizo la sheikh Ponda.Tujuzane nn matatizo ya huyu sheikh Ponda
 
ni kweli wamemkamata maana ni janga kwa taifa letu akati yeye sio mtz...mbona sheikh mkuu hana reasons kama zake...a behave bwana, hatutaki kuwa kama somalia na vita

Si ana uhakika vurugu zukitokea nchini atakimbilia RWANDA/BURUNDI - he has nothing to loose, kwa mawazo yangu Serikali yetu ianzishe operation maalumu ya kuhoji kiundani URAIA wa baadhi ya watu ambao wanaonekana wana nia thabiti ya kutaka kuanzisha vurugu za kidini nchini. Mtu ambaye hataki kuelewana hata na mkuu wake wa DINI atakuwa na agenda gani za SIRI kuhusu mstakabali wa TAIFA letu!! Nilimsikiliza kwenye luninga jana jioni - yaani kauli yake inaonyesha wazi wazi kwamba hakuwa na hoja yoyote ya msingi zaidi ya kulahumu kila kitu kuhusu Serikali ya JK - mpaka akajisahu kujilahumu mwenyewe.

Baada ya kuona vituko hivi hatarishi ndio nikakumbuka ni kwa nini Raisi J.K.Nyerere alikuwa mkali kupindukia inapokuja suala la kuleteleza mambo ya UDINI, Mzee wangu aliwahi kunieleza kwamba wakati wa enzi za Nyerere sio kwamba mambo yalikuwa shwali - kuna watu walikuwa wanajaribu sana kutaka kuanzisha vurugu za kidini lakini nasikia Kambarage alikuwa anawatia mbaroni kimya kimya at a hypersonic SPEED - JK na Serikali yake nawashauri wamu-emulate Kambarage; tukilaza damu mambo ya BOKA ARAM yatatu-haunt. Wenzetu Serikali ya Kenya suala hili wamekwisha lishtukia na wanalifanyia kazi bila utani.
 
Je mtu aliyosoma na kulelewa kimadili anaweza sio tu kukojolea kitabu cha Cha Dini yake au Ningine. lakin sifikirii hata kama ataweza kukojolea daftari lake la skuli?

Je ina maana mtoto huyo hajapata mafunzo yale ya sunday school?

Ni kweli mtoto aliyekojolea hicho kitabu hana malezi mazuri ya kitabia na kiimani,na unaweza kuta ni Mkristo jina tu,kama tulivyo wengi wetu. Ni wachache sana wanaishi ktk misingi ya dini zetu hizi!
 
MGANGA WA KIENYEJI,

Wewe jamaaa, umejifunzia wapi kutisha mtu? unadhani nyie ndo wenye mikono tu? unadhani wakristo hawapo wenye miguu? unataka sema whole tanzania is for u guys? mbona kwetu musoma idadi yenu hata haiwezi tambulika? usitutishe maaana hatuogopi na usipo kaa sawa maafa yakitokea usijikute we wa kwanza kulala horizontal...maana we wont keep quite bt we gonna start resisting....ila kwa usalama wa taifa tume pozi tu...ila ponda lazima hatiwe hatiani...kwanza nani mkuu ponda ama simba? mbona hana nidhamu huyu mtu? halafu nackia sio mbongo? ila kwakweli inabidi tupeleke vijana wetu katika elimu dunia ili wasitumiwe katika kuiangusha nchi yao kama wajinga..
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mkuu ni GALASA ndio maana hawezi kuwa na reasons km za ponda.
Tunataka hao polisi ccm watueleza ponda kafanya nini mpaka akamatwe.bla ya hzo facts,basi itakuwa ni kupoza mfumo kristo kwa kile kichowakuta mbagala.
sasa unataka sema sheikh mkuu ni galasa? nani aliemchagua? na kama mnaongozwa na galasa wamaanisha nini sijakuelewa? then wewe unaona mtu anaendekeze udini ndo jembe zaidi ya yule anaetaka mema? nadhani Mungu wa sheik simba na yule wa ponda ni tofauti... sasa sijui wewe wamfuata nani? mtaka mema ama mtaka maovu?
 
Barubaru hujui kwamba mfumo kristo ndio unatawala dunia na unawaweka viongozi madarakani? hata dhaifu amewekwa na mfumo kristo

 
Last edited by a moderator:
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa kudhihirisha kuwa serikali ya Iran imekuwa ikishiriki kuanzisha na kuendeleza chuki za kidini Tanzania, japo yawezekana kuna vikundi au watu wa Iran na Sudan ambao wamekuwa nyuma ya ujenzi wa chuki za kidini. Watu hao ni maadui wa Watanzania na ni maadui wakubwa wa Waislam. Kama wana upendo na Waislam, basi wangewasaidia Waislam wa Tanzania kuwajengea shule nzuri, hospitali nzuri na vyuo vizuri. Lakini kwa kuwa furaha yao siyo maendeleo ya Waislam bali kuona Watanzania wanagombana wenyewe kwa wenyewe, kamwe hawawezi kuyafanya hayo maana wakiyafanya hayo waislam wa Tanzania wataerevuka na kukataa kulishwa chuki na mambo mengine ya kijinga.

Kwa sasa amani ya Watanzania inategemea sana busara na hekima ya Wakristo, waislam wenye busara na Watanzania wote wenye nia njema na Taifa letu kuhakikisha Tanzania haigeuki kuwa kituo kipya cha magaidi kama Ponda na wenzake wanataka kiwe. Huko nyuma tumehsuhudia jinsi Mungu wa kweli ambavyo ameendelea kusimamia amani ya Watanzania. Miaka ya nyuma walitokea waliojiita mashekhe (siamini kama kweli walikwa mashekhe) Kassim na Mwaipopo, walipiga sana kelele za kueneza chuki baina ya Wakristo na Waislam, lakini siku ya mwisho, Mwenyezi Mungu kwa mapenzi yake, na kwa wakati alioona unafaa aliwapumzisha na kuiacha Tanzania inaendelea. Wale wenye imani waendelee kuomba, na Mungu kamwe hataacha kuwasikia. Nguvu ya binadamu pekee haiwezi kuishinda nguvu ya Mungu. Ponda na wenzake watapita lakini Taifa letu daima litasimama kwaajili ya Watanzania wote wenye mapenzi mema.

na ule wa roma pia ufungwe
 
ITS REAL AMAZING N EXCITING
ONE PONDA KEEPS THEIR HEADS RINGING....!!
:kev::bump2::bange::msela:
 
Ingekuwa ni amri yangu ningemfanya kama yule sheikh wa Kenya kule mombasa, kwani hili ni janga kubwa kwa taifa hata TV Imaan nayenyewe inahamasisha chuki ifungwe kabisa kwani wao nani katika nchi hii hata viongozi wawaogope kiasi hicho pamoja na vurugu zote hizo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…