Familia moja watoto 20 kama ni baba ukapanga kuwapeleka international school labda ST Mary kila mtoto 2,000,000 utaweza? ndo maana hawana msaada kazi kucheza bao, shule wanakomaa wenye vipaji tu, akili za kawaida kazi yao kuimba madrasa
Kuwakamata viongozi kama Sheikh Ponda na kuuacha ukweli wa kushughulikia tatizo ni njia muafaka ya kukabilianana tatizo?nawasilisha jukwaani
waarabu katika nchi zao huwa na radio maalumu ya kuwachochea watu kuichukia Israel, marekani na Ulaya magharibi. Vile vile wana magazeti maalum ya kuandika propaganda za kuichukia Israek na Marekani na Ulaya. serikali lazima ilifunge gazeti la al noor na kitua cha radio cha imani. halafu lazima ipunguze maofisa wa ubalozi hapa nchini na kubakiza wawili tuu.
w atanzania sio tukubali kugawika kwa dini. Hii ni mbaya sana na mwisho wake tutakuja kuwa kama Ivory Cost, somali na lebanon. halafi ligi kuu haitapendeza.
leo mwema anasifiwa,,,,sio mwema yule anawaambia polisi waue,,,,si yule mnayesema apelekwe ICC???,one step ahead ni sawa na kuuwawa kwa Osama bin laden.Dhaifu amekuwa strong! Big up mwema,kova na msangi
Unauliza nini sasa na ulishasikia ni sheikh¿? Zaidi ya uchochezi unafikiri ni nini tena.
Ni taarifa za kweli na
aliwindwa kwa siku tatu ili akamatwe katika mazingira salama yasiyoweza
kuibua mtafaruku na huu ni mwanzo, huenda hatua kubwa zaidi
zitachukuliwa kwa Redio Imani.
Ndio maana nimeomba mnifahamishe.. yeye kafanya nini na kama unazo hotuba zake niwekee hapa tumjue sote huyu mtu ni wa aina gani?..nasikia tu watu wakisema amekamatwa sielewi kosa lake hivyo nashindwa kuchangia jambo.
Ijumaa hii nahama mji.......
yes kama ni kwel itakuwa kheri kwani jaman ni bonge la kirusi.kwani ukiacha usheke anafanya shughuli gani zingine?
Kama unakubali kile kitendo cha kuharibu na kuiba mali walichofanya waislam kule mbagala ni uhalifu, basi ni lazima ukubali kwamba shehe ponda kafanya kosa kubwa kuwapongeza wale waislam na kuwahimiza waislam tanzania nzima wafanye kile kitendo. Kama serikali iko serious , shehe ponda ni lazima anyee debe kwa kosa la uchochezi!Najaribu kufikiria amekamatwa kwa kosa gani? Au anahusishwa na uchomaji wa makanisa huko Mbagala.
Kama watafuata Rules of Law na kumfikisha mahakamani NI LAZIMA ATASHINDA kwani siku zote mahakama zinasimamia FACTS na sio Rais au Mkuu wa mkoa kasemaje.
Hii nainasibisha na kesi ya Almarhum Sheikh Kassim Bin Jumaa wa msikiti wa Mtoro kariakoo na sakata la Uvunjaji wa mabucha ya Nguruwe. Nakumbuka wakili Mussa Kwikima na Hussein Mucaddam waliigaragaza Serikali.
Ok tuwe na subra. Cha msingi ni haki yake ya kuwekewa dhamana.
Kwa kweli shehe ponda mie binafsi ninampenda sana ila tabia zake za chuki ndiyo ninazichukia.
Unajua watu wengine sijui ni uhuru umewazidi maaana wao siku zote utakuta kazi zao ni kueneza chuki na uchochezi,watu hawa wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Nawakumbusha kuwa kuna sheria ya chuki na uchochezi na ni hai ila basi tu.Hata hii Redio Imani itambue kuwa imeanzishwa kisheria na ni lazima iiheshimu sheria na taratibu za nchi hii kuliko kufyatuka kwa kupandikiza chuki na uchochezi.
Wakina ponda kazi yao ni kutaka kuona nchi hii haitawaliki, ila wajue kuwa wanaachwa tu kwa sababu tz tumezidisha siasa lakini tungekuwa kama URUSSI,USA na nhi nyingine za JUMUIA YA KIARABU ambazo hazitaki ujinga ujinga wa akina ponda.