Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

Status
Not open for further replies.
Waislam tunaojitambua.

Tatizo lako hauna matusi mapya toka 2006 matusi haya haya, Bavicha bana.

ww Ritz unachopongeza kwa kilaza ponda ni nini?

ilhali ww mwenyewe ni mtetezi wa ccm. Yani leo ccm imekuwa mbaya kwasababu ya ponda.

laaahaula ritz huna msimamo na huelewi unachokisimamia.
 
Last edited by a moderator:
Serikali iache kuingilia taasisi za Kiislamu na kulazimisha wote wawe chini ya BAKWATA.Suluhisho sio kukamata watu

Inategemea tafsiri ya neno tusi ni nini!

Mkuu mkifanikiwa kuchukua ikulu 2015 hawa jamaa watawasumbueni sana maana wana madai magumu kutekelezeka............sipati picha
 
Mbona mimi sio Muislamu lakini Namwamini kwa anachokifanya. Anachofaya Shekhe Ponda ni kuwaelimisha Watanzania kuwa CCM haifai kuongoza tena nchi hii na lazima waondoke je hilo ni mosa?

Mbona waliowahi kumsifia KIKWETE kuwa ni Chaguo la Mungu hawakukosolewa au kwa vile walikua ni Viongozi wa dini ya Kikristo na leo anae wakosoa ni Kiongozi wa dini ya Kiislamu?!

Mkuu nina hakika asilimia mia moja hujui madai ya Shekh Ponda
 
Woteee munao mpinga ponda hamjui ponda anachokidai kwa serekali,ponda anatakahaki sawa kwa wote kuwe na uwiano huko serikalini.mashirika ya uma na kila sehemu kwa sababu nchi hii yetu wote lakini leo ukienda ofice yoyte ile ya serikali ita wafanyakazi waje mbel yako ulize dini gani watakuambia robo tatu cristian,sasa utabaki ukijiuliza inamaana inchi ya wakristo pekeyao au?wasilamu tabaka la mwisho kabisaaa.lakinipoa kwakuwa wasilamu sas watambua hilo itafika final yake
 
Hii nchi ukianza kutaja uozo wa CCM basi wewe ni mchochezi, hivi CCM mnayofanya kuna asiyo yajua kweli?
au mnadhani mtatawala daima?
CUF chukua nchi hii utoe haki sawa kwa woteeeeeeeeeeeeeee

CUF TENAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!! Hapa hapana mtu wangu.
 
mbona gazeti limetaja mambo mengi lakini linajadiliwa jambo moja tu la 'kuimwaga ccm'? Au mengine mwandishi kayazusha???
 
huuu sasa wehu. utamsapoti vp mcheza karate na mteka.misikiti. ponda ni mwe.huuuu na anatakiwa kutokomezwa kama.wale wengine wa UAMSHO

nafikiri kichwa chakokichwa kinahitaji mwekezaji unaushahidi msikit gani uliouteka?serikali yenyewe inajuwa kuwa ponda ushawishi mkubwa hapa nchi sio wewe mbulula unafuata upepo
 
Serikali iache kuingilia taasisi za Kiislamu na kulazimisha wote wawe chini ya BAKWATA.Suluhisho sio kukamata watu

Inategemea tafsiri ya neno tusi ni nini!
After all..toka lini kuishambulia serikali kwa hoja na kutofautiana mitizamo ikawa jinai?Hii ni haki ya Sheikh Ponda ya kikatiba kabisaa!mwacheni atwange siasa....Mbona akina Lowasa wako makanisani on a daily basis!
 
Naikia jamaa alivokuwa rumande waislamu wenzake walimgongea sana mke wake...... akamatwe apelekwe tena huko mwanaharamu huyo
 
Ponda anasema ukweli nani asiyejua kuwa ndani ya Chama na Serikali ya Chama Tawala kumejaa wahuni watupu?It's about time now Ponda beats you at your own game,almost same way you did to sabotage CHADEMA votes in 2010 General election as well as Igunga's by-election.

wote ni wahuni hao!
 
ww Ritz unachopongeza kwa kilaza ponda ni nini?

ilhali ww mwenyewe ni mtetezi wa ccm. Yani leo ccm imekuwa mbaya kwasababu ya ponda.

laaahaula ritz huna msimamo na huelewi unachokisimamia.
Imani issue nyingine,ccm wachague pakuzikwa tu...
 
Last edited by a moderator:
CCM ni janga muda wa kutumiwa na ccm umeisha,waislamu hima kataa ccm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom